Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello Great Thinkers,
Hii sentensi ya Mama ilileta confusion kwa wengi.
Wengi, walidhani Mama amemaanisha sasa Mafisadi ruhusa kuvuna.
Kiukweli mimi nadhani alikuwa anamaanisha kitu tofauti. At that moment labda alikuwa amejua jinsi 'wenzie; walivyokula kushinda Urefu wa Kamba zao...lol.
Kuna mambo mawili:
1. Being a woman and of faith, alikuwa shocked kuona watu wanakula to that extent, therefore she felt powerless.
2. Na yeye kadokoa, sema kidogo, sasa akaja kujua wenzie wamekula zaidi, so she felt a little bit guilty.
She was doing well, and she is still doing well, amejijengea profile nzuri within shortest time,
Honestly, nilikua namuamini na kwenye Context ya Ufisadi niliamini, ni number moja kati ya hayo Mawili niliyotaja ndiyo inamzungumzia mama.
Member mmoja sijui kama ni ukweli ama ni uongo alivyotaja mama na yeye 'yumo' na sasa amejiwekea dollar million 256 Kibindoni, nashawishika kuamini sasa ni number Mbili kati ya hayo niliyotaja ndio inamuelezea yeye.
Kama ni Uongo, please Moderators, muwe mnachuja comments manake nyingine ni mbaya sana, na hii thread yangu muifute, lol
Ila kama ni kweli,
Hii ni doa kwenye Uongozi wake,
Na ni hasara kwa watanzania..
Na hio Whistle Blowing Policy iondolewe tu...
Sababu, its pointless kujua fulani ni Fisadi, A Crook, Kama huwezi kumface na kumpeleka kwenye Justice,
Ama wewe Mwenyewe kama Rais kuwega Maigizo, kuwa ufisadi this, Ufisadi that, kumbe na wewe umedokoa, sema kidogo
Tunachohitaji watanzania ni Accountability
Not Maigizo,
Najua kuna wapenzi wa Mama Kindaki ndaki humu.
But, we need to talk about this.
Ufisadi ni Adui,
Tanzania will reach her full potential kama hakuna Ufisadi.
Say No to ' MAIGIZO',