Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 ana urefu Wa mita 2.45

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,274
Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 na yeye ndiye mtu mrefu kuliko wote nchini Tchad 🇹🇩 ana urefu Wa mita 2.45

1641236496883.png

1641236555316.png
 
Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 na yeye ndiye mtu mrefu kuliko wote nchini Tchad 🇹🇩 ana urefu Wa mita 2.45

View attachment 2067512
View attachment 2067514
Ama hakika jamaa ni mrefu kweli naamini kuna huduma za kijamii anapata shida sana kuzipata, Mungu amsaidie changamoto za kiafya apate msaada. Elimu yake ikoje? Nimefikiri mambo mengi sana bila kupata jibu stahiki.
 
Nilimuona kwenye mitandao anapanda pickup nyuma maana mbele hawezi
Maskini huwa wanapata maradhi mengi ila kidogo bahati wembamba hawana complications nyingi kuliko wanene ambao wengi huwa hata kutembea hawawezi kama yule msomali yuko
 
Sorry, he seems to had attended training in islamist camps

What an idiot
Udini umewafikisha wapi mlijaza watu wenu kwenye cabinet mkawa tena kutwa mnafukuzwa kwa wizi

Kila ukiona kanzu ni muuwaji eti kwa hiyo Islam walikuwa nyuma ya alieko belgium eti
Kina azory na B8 wao ama ?
Virobi ilikuwa islam ama
Punguza ujinga wewe kukaa kwetu kimya ni nguvu ya imani yetu tu
Una moja ya familia yako kauwawa na Muslim?
Sema tutoe fidia mbaguzi mkubwa wewe
Watu kama nyie mnakera na chuki zenu za kipumbavu
 
Usikasirike ndugu yangu...
Dini zenyewe sisi watu weusi tumeletewa na wazungu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
What an idiot
Udini umewafikisha wapi mlijaza watu wenu kwenye cabinet mkawa tena kutwa mnafukuzwa kwa wizi

Kila ukiona kanzu ni muuwaji eti kwa hiyo Islam walikuwa nyuma ya alieko belgium eti
Kina azory na B8 wao ama ?
Virobi ilikuwa islam ama
Punguza ujinga wewe kukaa kwetu kimya ni nguvu ya imani yetu tu
Una moja ya familia yako kauwawa na Muslim?
Sema tutoe fidia mbaguzi mkubwa wewe
Watu kama nyie mnakera na chuki zenu za kipumbavu
Huyo mkristo Magu ni jitu la ovyo hakuna mfano wake
What is wrong with your mind, ni bora Samia mara mia kuliko Magu, wewe ndiye unayetazama dini badala ya uhalisia.
 
Kwa hiyo ulikuwa na maana gani kwenye comment yako ya mwanzo kuhusu islamic wakati mada ni ya Urefu wa mtu?

Yameisha
 
Unawaza sana udini ndugu, ndio maana umeipinda comment kuonekana ya kidini
Kwa mfano nikuulize Pauli makonda , sabaya, jiwe no man muislam atawafikia hawa watu kwa ukatili wao?
Je kwa kuwa ni wakristo niwatetetee...
Mbona hapa nyumbani naishi na kijana muislam safi wa machane anauza duka la spea?

Kwa hiyo unadhan naweza kumpa Samia marks chache kisa dini take?
Kwangu mim Samia no mzuri Mara Mia kuliko like jiwe lililokuwa likituamuru tuliombee
 
Back
Top Bottom