urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, kufanya mkutano wa kampeni Tunduma leo huku kukiwa na mpasuko mkubwa kwa majimbo ya Momba na Tunduma

    Mgombea urais wa JMT ndugu John Magufuli muda mfupi ujao anatarajia kufanya mkutano wa kampeni hapa Tunduma. Pamoja na mambo mengine yanatatajiwa kutoka maneno makali yasiyo ya kawaida kabisa kutoka kwa mgombea huyo kufuatia mgogoro mkubwa uliopo baina ya wanaccm hapa Tunduma. Mgogoro huo...
  2. JamiiForums Tanzania Hadi saa 12 na nusu jioni; Mgombea wa Urais wa CHADEMA anasubiriwa kwenye Mkutano Moshi Mjini

    Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni. Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali

    "Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM Kama wewe kweli ni Rais wa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Rais Magufuli ni mgombea Urais kama mimi na anasimama sehemu yoyote anasalimia na hazuiwi lakini mimi mnataka kunizuia

    RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA" KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kuna mgombea urais CCM aliwahi kupiga magoti akiomba kura tofauti na Magufuli?

    Bila shaka kampeni za mwaka huu ni ngumu zaidi ya zile za 2015 na hata za 1995. Jana tulishuhudia mgombea uraisi kupitia CCM akiwapigia magoti wananchi akiwaomba kura, Je, hii ni heshima kwao au maji ya shingo? Watu haohao anaowapigia magoti, ni haohao wanaoongozwa na Chama Tawala tangu uhuru...
  6. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunatafuta maisha kwa style ya wagombea Urais Vijana tungekuwa mbali

    Jamaa wana kula Masada aisee. Yaani mtu unazunguka wiki Tatu mfululizo bila kupumzika. Unavuka mabonde na milima kila Kona Tanzania unapita. Unapoteza virutubisho vingi kwa kuongea ili ushinde. Cha ajabu hawa wote ni watu wazima miaka 50+. Sasa wewe Kijana (20-35) unazunguka vimitaa viwili tu...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu A.M. Lissu: Mgombea Urais wa upinzani machachari zaidi kuwahi kutokea katika chaguzi zote chini ya mfumo wa vyama vingi kurudi 1992

    Tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi mkuu wa kwanza wa mwaka 1995, Tanzania haijawahi kushuhudia na kupata mgombea wa upinzani machachari na mwenye ufahamu wa hali ya juu wa mambo mbalinbali kitaifa na kimataifa katika nyanja za elimu, siasa, historia, sheria, uchumi nk kama...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo 6 yatakayotawala Mdahalo wa Urais kati ya Donald Trump na Joe Biden

    Rais wa Marekani na mgombea wa chama cha Republic, Donald Trump anatarajiwa kukutana uso kwa uso na mpinzani wake, Joe Biden katika mdahalo wa kwanza wa urais unaotarajiwa kufanyika baadaye hii leo katika ukumbi wa Chuo cha Case Western Reserc, Cleveland, Ohio. Mdahalo huo unatarajiwa kufanyika...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kampeni ya Dkt. Magufuli kuwania Urais 2020-2025 mikoani Iringa na Njombe (Sept 29, 2020)

    Leo mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya. Ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia ameelezea walishaanza na wamejitahidi kutoa huduma za bure kwa wazee, watoto wenye umri chini ya miaka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Namtabiria Mtanzania huyu na mgombea urais ipo siku atakuja kupewa nishani ya Nobel

    Apate urais asipate urais naamini ipo siku atapewa nishani ya Nobel. Kupenda kwake na wazungu ni kwa sababu za msingi kuu 3 wala siyo kwa ahadi ya kuwauzia mali asili zetu kama tunavyoaminishwa. 1. Wazungu hawasali makanisani kama sisi lakini wanautu kuliko sisi walala makanisani. Wamejaa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Urais 2020 wasiendelee kujichosha

    Inaweza kuonekana kama mzaha lakini amini nawaambieni mpaka leo tarehe 28 September 2020 watanzania wameishaamua ni nani awe Rais wao. Kwa hiyo mizengwe vitisho na maneno matamu ya wagombea wetu hayabadilishi maamuzi ya wapiga kura wa mwaka huu. Taja makundi yote katika nchi hii, yote yaliamua...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

    Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja. Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni Mgombea Urais Kijana, shupavu, ana akili nyingi, jeuri, anajiamni ni msafi na mzalendo wa kweli

    Mwalimu aliwahi kusema kwamba taifa hili linahitaji vijana shupavu, jeuri, wanaojiamini na wenye kuhoji mambo kuhusu watawala bila ya kuogopa na siyo wale wa ndiyo mzee. Sasa nimekubali zaidi ya 100% kuwa Tundu Lissu ni moja ya vijana aliwahi kuwasema mwalimu. Lundu Lissu siyomuoga anajiamini...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  16. JamiiForums Tanzania Huku ndiko tulikofika, TBC chombo cha UMMA hakirushi hotuba za mgombea Urais, Mh. Tundu Antiphas Lissu lakini kinatumika kurusha matusi ya Polepole!

    Huko ndiko CCM imetufikisha kama taifa. TBC chombo kikubwa cha UMMA kinatumika kuwatukana Watanzania wanaopinga utawala wa kibabe usiozingatia sheria wala Katiba. Badala yake TBC chombo kinachowafikia wananchi walio wengi kinatumika kusifia uvunjaji wa wazi wa kanuni na sheria tulizojiwekea...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kanuni na sheria za Uchaguzi kwa taifa letu zinaruhusu mtu mwenye uraia pacha kugombea nafasi nyeti ya urais?

    Wakuu leo katika press conference ya Ndugu Humphrey PolePole nimemsikia akisema kwamba ana taarifa kwamba kuna mgombea wa Urais ameshapata uraia wa nchi nyingine, ndio maana anachochea watu kufanya vurugu baada ya uchaguzi. Je, sheria na kanuni za uchaguzi mkuu wa nchi yetu zinaruhusu mtu aliye...
  18. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

    Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

    Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mara

    Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio . Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika ========= UPDATES 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…