urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. barafu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, hii ndiyo sababu ya NEC kutochapisha fomu za wagombea Urais kwa "Alphabetical order"?

    Tofauti na miaka mingine ya Uchaguzi Mkuu, mwaka huu Tume ya Uchaguzi Tanzania(NEC) imechapisha form ya kupigia kura kwa ngazi ya Urais wa JMT isiyo na mfumo rasmi wa mpangilio wa alfabeti. Hii ni tofauti na form ya Urais wa Zanzibar chini ya ZEC ambayo imechapishwa kwa kufuata alfabeti. Form...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

    1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania 2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini 3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani 4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga. Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, sheria inaruhusu Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu kumpigia kampeni mgombea urais Zanzibar, Maalim Seif?

    Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu? Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif? Maendeleo hayana vyama!
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais AAFP: Ukikutwa na msokoto mmoja wa bangi hutakamatwa

    Mgombea huyu wa urais kwa Zanzibar ametoa sera zake na kaweka wazi kabisa ktk serikali yake ukikutwa na bangi 1 hutokamatwa.
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapiga kura wapya takribani Milioni sita na nusu (6.5M) kuamua mshindi wa Urais mwaka huu 2020

    Wapiga kura kwa mwaka 2015 walikuwa 23,161,440 na mwaka 2020 ni 29,804,992 Hivyo mshindi wa uchaguzi mwaka huu ataamriwa na hawa wapiga kura wapya takribani milioni sita na nusu. Ikumbukwe kuwa hawa ni vijana angalau waliomaliza darasa la saba na kuendelea ambao walikuwa UNDER 18 mwaka 2015...
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kampeni ya mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli Bagamoyo, Pwani. Kikwete asema haoni hofu ya CCM kushindwa

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo mkoa wa Pwani eneo la Bagamoyo na anaeongea sasa ni aliyekuwa mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Pia kwenye mkutano wa leo yupo Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. Ridhiwani kawaomba Wanachalinze wenzake kumchagua Dkt...
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

    Leo Babati Mjini. Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta Chanzo: BAVICHA TAIFA Asanteni Babati Tukutane 3010 kujipongeza...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu amjibu Mama Samia Suluhu kuhusu uhakika wa CCM kuunda Serikali

    Siku chache zilizopita mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM na makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan alinukuliwa ktk moja ya mikutano yake ya kampeni akisema.. Hata kama kura hazitatosha mwaka huu, wao (i.e CCM) wana uhakika wa kuunda serikali na kuendelea kutawala kwa miaka mingine...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

    Huku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba nafasi hiyo kubwa kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha. Kama kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea...
  11. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, ni wakati mwafaka mgombea Urais Mh. Tundu Lissu kutumia Helicopter kwa siku 10 hizi zilizobaki

    Natoa ushauri kwa CHADEMA Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe. Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia. Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

    Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi. Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbeba maono amevuna mioyo yetu, kila itikadi.

  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Trump akubali kuachia madaraka akishindwa

    HATIMAYE RAIS TRUMP AKUBALI KUACHIA MADARAKA AKISHINDWA RAIS Donald Trump wa Marekani amesema yupo tayari kuachia madaraka baada ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, kama mshindi halali atapatikana kuanzia kwenye kampeni zinazoendelea na uchaguzi. Mgombea huyo wa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

    Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora . Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika ======== Wananchi wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  17. Patrick Girigo

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa mgombea urais wa CHADEMA

    Naomba kuuliza maswali mawili kuhusu ILANI ya uchaguzi Mkuu ya CHADEMA 2020 kuhusu sera yao ya MAJIMBO au Dby D (1) CHADEMA wanainadi sera yao ya Majimbo lakini kuna MIKOA/HALMASHAURI ambazo zina makusanyo yake yapo chini, wanashindwa hadi kuwalipa Madiwani wao, Je,serikali yake ya itawezaje...
  18. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Miundombinu kila mtu anaweza kujenga, ugumu wa kazi ya Urais uko hapa...

    Habari wakuu. Ugumu wa kazi ya Urais upo katika maeneo haya yafuatayo: 1. Kuwaunganisha watu, 2. Kuwafanya majority wawe na furaha na nchi yao 3. Kuboresha uchumi wa raia maana ndio tegemeo lao kuu walipo kuchagua. 4. Usalama wa raia, 5. Huduma bora za afya, maji, elimu, umeme 6. Uhuru kwa kila...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

    Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu mwenye mvuto kuliko wote na ambaye ni tegemeo la wananchi . Leo tena Mh Tundu Lissu anaendelea na...
Back
Top Bottom