urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Unayopaswa kujua kuhusu mdahalo wa wagombea urais

    5 facts about presidential and vice presidential debates After the Democratic and Republican party conventions, the next big events on the U.S. political calendar are the debates. The Commission on Presidential Debates, which has sponsored the events since 1988, has scheduled three debates...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini 'Ajira' za kuwa Mshauri Mkuu wa Rais/Kampeni Meneja wa Mgombea Urais nchini Tanzania huwa hazitangazwi wengine tuziombe?

    "Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula. Kwa haya...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

    Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.
  4. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa mgombea Urais CCM kufanya haya?

    Kuna Jambo haliko sawa kwenye Kampeni za Wagombea Urais hasa kwa mgombea wa CCM Bwana John Pombe Magufuli. Bunge la JMT lilivunjwa mwezi June, 2020 ili Rais, Mawaziri na Wabunge waende kwenye Uchaguzi kuomba ridhaa ya wananchi ili warudi tena Ikulu, Wizarani na Bungeni. Katika Kampeni zake...
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida Abdallah Huweishi mgombea mwenza Urais: Mkitupa ridhaa ya kuongoza nchi hii tutaboresha sekta muhimu za uchumi na kilimo

    MKITUPA RIDHAA YA KUONGOZA NCHI HII TUTABORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO. BUHIGWE, KIGOMA Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi ya kilimo. Ongezeko la uzalishaji na tija katika sekta ya kilimo huongeza...
  6. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Tutawaandikia NEC wachukue hatua dhidi ya mgombea Urais wa CCM kwa kukiuka maadili ya uchaguzi

    Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena. Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

    Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
  8. Molleli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ningependa kuona wananchi tunapewa nafasi za kuwauliza maswali wagombea urais kwenye kampeni zao

    Hili Jambo la wagombea kutowapa wananchi nafasi walau tano za kuwauliza maswali katika kampeni zao ni uwoga wao au haipogo hi kitu kwa mujibu wa Sheria za kampeni?
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Kigoma na Kagera

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu Jana ameingia Kigoma kwa kishindo kikuu. Alilakiwa na Maelfu Elfu ya watu waliojipanga majiani huku wakitandika mikeka chini shujaa huyo wa karne hii apite juu yake. Akihutubia umati mkubwa unaokadiriwa kuwa na watu zaidi ya Elfu 30 katika...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama. "Wanaohama CCM...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  12. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Urais Kikatiba na usawa wa wagombea, napendekeza Katiba itamke ukomo wa Urais pale tunapoingia katika kampeni

    Salaam Wakuu. Napenda kushare nanyi wakuu wa jukwaa hili kuhusu Ibara moja wapo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanania ya mwaka 1977. Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 42(3)(a) inasomeka hivi- (3) Mtu aliyechaguliwa kuwa Rais atashika kiti cha Rais hadi-...
  13. Matojo Cosatta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Umuhimu wa Mawakala wa Wagombea Urais, Ubunge na Udiwani kupatiwa nakala za matokeo ya uchaguzi katika vituo vya kupiga kura

    KILA WAKALA WA MGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ANA HAKI YA KUPATIWA NAKALA YA FOMU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, MBUNGE NA DIWANI. SEHEMU 1: UTANGULIZI. Makala hii inaangazia haki ya kisheria ya wagombea Urais, Ubunge na Diwani kupatiwa Nakala za Fomu za Matokeo...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

    Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini . Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea...
  15. ADC Party

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bi Queen Cuthbert Sendiga Mgombea urais wa Tanzania kupitia ADC, azindua Kampeni Zanzibar, Wavuvi na Wakulima wa Karafuu kuneemeka

    Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao la karafuu kwa kulipandisha thamani ili liweze kuingiza fedha za kigeni na kuwafanya wananchi hao...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Songwe na Rukwa

    Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa . Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika ======= Laela , Momba Kumekucha Momba Rukwa moja
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

    å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC. å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti. å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe...
  18. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namshauri mgombea wangu wa Urais CCM, Dkt. Magufuli aache kufanya kazi ya kumjibu Tundu Lissu, ni kazi ya kina Polepole

    Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu? Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Nitastaafu Urais mwaka 2025 na kupisha wengine

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025. Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo azuiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu ujao

    Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa tume ya uchaguzi. Wakili wake Claude Mentenon amelimbia shirika la habari la AFP amesema kuwa kuna matatizo menginezaidi ya kisheria ndani ya Ivory coast dhidi yake...
Back
Top Bottom