urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

    Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini . Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea...
  2. ADC Party

    GE2020 Bi Queen Cuthbert Sendiga Mgombea urais wa Tanzania kupitia ADC, azindua Kampeni Zanzibar, Wavuvi na Wakulima wa Karafuu kuneemeka

    Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao la karafuu kwa kulipandisha thamani ili liweze kuingiza fedha za kigeni na kuwafanya wananchi hao...
  3. Erythrocyte

    GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Songwe na Rukwa

    Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa . Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika ======= Laela , Momba Kumekucha Momba Rukwa moja
  4. The Palm Tree

    GE2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

    å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC. å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti. å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe...
  5. MAHANJU

    GE2020 Namshauri mgombea wangu wa Urais CCM, Dkt. Magufuli aache kufanya kazi ya kumjibu Tundu Lissu, ni kazi ya kina Polepole

    Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu? Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu...
  6. funaku

    GE2020 Dkt. Magufuli: Nitastaafu Urais mwaka 2025 na kupisha wengine

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025. Kauli hii inaondoa kiwingu kilichokuwepo kuwa upo uwezekano wa kubadilishwa katiba ili aendelee kudumu kama walivyo marais...
  7. beth

    Rais wa Zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo azuiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu ujao

    Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa tume ya uchaguzi. Wakili wake Claude Mentenon amelimbia shirika la habari la AFP amesema kuwa kuna matatizo menginezaidi ya kisheria ndani ya Ivory coast dhidi yake...
  8. Replica

    GE2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

    Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili. Hizi ni baadhi ya picha za Rais Magufuli akiwa anaongea na Wananchi alipokuwa njiani katika mkoa Kagera. Picha zikimuonesha Rais Magufuli akiwa katika gari akizungumza na Wananchi...
  9. Erythrocyte

    GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

    Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili . Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika ======== UPDATES Njombe Mjini ========= UPDATES 2 Lissu aingia Mbarali
  10. M

    Swali kuhusu Mahakama zetu na mrundikano wa kesi

    Taarifa iliyotolewa na Jaji Mkuu kwenye siku ya sheria inaonyesha kuna mrundikano wa kutisha wa kesi kwenye Mahakama zetu Mahakama ya Rufani (Court of Appeal) ndiyo kwanza sasa inashughulikia kesi za mwaka 2016 na 2017. Hapo haijagusa kesi za mwaka 2018, 2019 na 2020. Kwa speed hii inamkatisha...
  11. M

    GE2020 Tundu Lissu akifanya hili kwa Watanzania anashinda Urais asubuhi na mapema

    Aombe msamaha Watanzania kwa ile biti ya hatari aliyoichimba maana Watanzania wote kutoka katika vyama vyote na wasio na vyama, haja kubwa ilikuwa inagonga nguo za ndani kwa hofu. Watanzania wengi waliingiwa na hofu kuu hasa ukinzingatia hatuna uzoefu wala mazoea ya kuvamiwa kivita kwani hata...
  12. Kipenzi Changu

    GE2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
  13. sammosses

    Rais unayeutaka Urais tueleze kwanini tukuamini tena baada ya mgawanyo na mpangaranyiko wa umoja wa Kitaifa

    Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani nchini Tanzania kwa mwaka 2020,huenda ukawa uchaguzi bora kuliko yote au uchafuzi kuliko yote toka tuingie chaguzi chini ya mfumo wa vyama vingi 1995. Ubora au udhaifu wa uchaguzi huu unajengwa na kauli za mtukufu rais ambaye ndiye mwenye mamlaka ya...
  14. CHADEMA

    GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  15. Sami Omary Khamis

    GE2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

    MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE === MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
  16. B

    GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Tundu Lissu ni moja ya wagombea wanaoendelea kujinadi maeneo mbalimbali kwa Watanzania akitaka achaguliwe kuwa Rais wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Namfuatilia sana Ndugu Lissu kwenye kila mikutano yake anayonadi Sera zake lakini sidhani kama kwa kiwango cha nafasi ya Urais...
  17. CHADEMA

    GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

    Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman. ===== "Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya Mji Wa Iringa. Mheshimiwa Tundu Lissu Akiwa Jukwaa Amenadi Sera Zifuatazo... 1. Itakuwa Jambo La...
  18. Sky Eclat

    GE2020 Wananchi wa Lamadi wana neno lao kwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ndugu Magufuli

    SALAAM KUTOKA LAMADI KWENDA CHATO ALIKOPUMZIKA MGOMBEA WA CCM NDG. MAGUFULI. Ndg, mgombea na Mh. Rais salaam sana. Hivi majuzi umekuwa kwenye ziara ya mikutano yako ya kampeni kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Watu wamekusanyika kwa hiyari yao na wengine kwa kushawishiwa ili wakusikilize. Mh...
  19. Erythrocyte

    Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Morogoro, ni operesheni Kata kwa kata

    Wakati Wagombea wengine wakiishiwa pumzi , Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu leo tarehe 12/9/2020 bado yuko Mkoani Morogoro akiendelea kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya ukandamizaji na udikteta na kuichakaza ccm bila huruma ========= UPDATES Picha : Akiwa kazuiliwa na wananchi...
  20. CUF Habari

    GE2020 Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Lipumba kuunguruma leo Morogoro mjini

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo septemba 12, 2020 atafanya mkutano wa kampeni Leo Morogoro mjini. CHAGUE CUF, MCHAGUE PROF. LIPUMBA KUWA RAIS.
Back
Top Bottom