MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Mwalimu aliwahi kusema kwamba taifa hili linahitaji vijana shupavu, jeuri, wanaojiamini na wenye kuhoji mambo kuhusu watawala bila ya kuogopa na siyo wale wa ndiyo mzee.
Sasa nimekubali zaidi ya 100% kuwa Tundu Lissu ni moja ya vijana aliwahi kuwasema mwalimu. Lundu Lissu siyomuoga anajiamini, ni shupavu na ana msimamo.
Nikiri kusema kwa tabia alizokuwa nazo mwalimu alivyokuwa akipambana na wakoloni bila kujali uwezo wao kipindi hicho,alikua kijana jeuri, shupavu na anayejiamini na hakujali kua wakoloni wangeweza kumuondolea uhai wake. Sioni haya kabisa kumfananisha Mwalimu Nyerere na Tundu Lissu kwa Characters zake.
Tundu Lissu ni mzalendo ajabu kupigwa na kuumizwa na waovu ambao alijua kabisa kwamba wako nyumbani na alipoona akasema kua yeye atarejea kwenye ardhi yake, huyu mtu anajiamini sana na ni wa ajabu. Anarudi huku akijua kabisa waliotaka kumuua wapo humu humu humu nchini.
ANGALIZO KWA NEC
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC tunawaomba sana msije mkajisahau mkaguzi kuwa watawala ndiyo wenye nchi, Wananchi ndiyo wenye nchi yao msidanganyike mkatutengenezea historia mbaya. Nimesema kua huyu kijana ni shupavu, jeuri na anajiami na anaifahamu vilivyo nchi yake, msikubali kutumika na watu wa kupita. Haitakuwa rahisi sana msimtangaze Lissu akishinda kwa halali.