uraibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uraibu wa michezo ya bahati nasibu

    STORY CHANGE YA URAIBU WA MICHEZO YA BAHATI NASIBU Nguvu ya uchumi ndio sauti pekee katika Taifa lolote Duniani, hata hivyo wazalishaji wakuu wa uchumii ni vijana , kwa kutambua umuhimu wa vijana katika nguvu kazi ya uchumi Mataifa Mengi yameweka sera mbalimbali za kumuinua kijana katika...
  2. JamiiForums Tanzania Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicts? Kwanini wao wana uraibu mkubwa wa vilevi kuliko miji ya Nairobi, Meru, Kisumu, Nakuru, n.k?

    Dear Kenyans, tunahitaji ufafanuzi Kinacchoendelea kwa sasa Kenya naona kwenye TV na Mitandaoni mkoa ya Coast ikiongozwa na Mombasa hawataki miraa na muguka kuuzwa maeneo yao. The same substances are used all over the country, kwanini ume affect sana coast? Watu wa Pwani ni rahisi kuwa addicted?
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Utangulizi Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua na kuwa janga la kitaifa, likiwaathiri zaidi vijana, ambao ni tegemeo la taifa kwa maendeleo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Chidi benzi anasema ukweli Lakin mbona hasemi jinsi madawa yanavyosababisha vijana kua mashoga kisa uraibu wa unga??

    Chid benzi anadai wasanii wengi michicha miba lakini mbona haelezi ukweli kuhusu uraibu unavowafanya vijana kuwa mapapai
  6. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya kuchunguza uraibu katika Instagram na Facebook

    Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto. Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kula kula ukiendekeza inakua kama bangi, hii kitu vimenipa uraibu mbaya mno, nina collection ya makopo yake ndani

    Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine. Pringles zipo za aina nyingi sana kwa ladha...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naondoaje uraibu wa kusikiliza muziki?

    Yaani hata nikisikia mlio wa ambulance tu basi akilini naisikia 'Brigedier Sabari' ya alpha blond, Yaani nikisikia tu neno 'mpenzi' basi haraka kichwani huja wimbo 'Sanura' wa Tongolanga kwenye kile kipande kinachosema, ''Unachonishangaza mpeenzi, huzoeleki; Huwa unashindwa wapi zaiidi, tele...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili 7 kuwa una Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu

    Simu ni Kifaa muhimu cha mawasiliano kwa binadamu yeyote lakini haitakiwi kuwa sehemu ya mwili wako kiasi cha kukufanya uwe kama mtumwa kifaa hicho. Wataalaamu wa Saikolojia wanasema, ukitaka kubaini kama umepata Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu, anza kuangalia ni kwa muda gani unaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Uraibu wa mizigo yenye makalio makubwa

    Hii imekaaje wanazengwe Yaani nikiona mzigo wenye makalio makubwa akili aifanyi kazi vizuri. Sina uhakika kama ubongo wangu uko-wired vizuri, inawezekana makalio makubwa yanasababisha shoti sehemu Hili tatizo napatwa wapi matibabu yake?
  11. JamiiForums Tanzania Hivi unafahamu wakati mwingine mapenzi ni uraibu pia?

    - Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya. - Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa). - Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

    Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle. Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu. Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
  13. JamiiForums Tanzania Mhandisi aliyeelimika vyema na mraibu wa crack anaeleza kwa nini crack inalevya sana (1981)

    Hii video inaongelea madhara ya madawa ya kulevya. Mhandisi wa Mawasiliano Bob Williams. Alijifunza kutumia Crack Cocaine kutoka kwa mchumba wake wa kwanza. Anadai kuwa alitumia dola 50,000 katika miezi tisa ya kwanza ya kuwa mraibu wa crack. Hiyo ni sawa na $165,478.55 katika pesa za leo...
  14. JamiiForums Tanzania Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

    Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani. 👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa. Kwa miaka ya karibuni kumeibuka baadhi ya mifano ya uraibu, ambayo isipokemewa basi itapelekea kupotea kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Addiction: Nje ya pombe, sex na kubeti una uraibu gani?

    Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
  16. JamiiForums Tanzania Nimepotea naona giza kwa hii anasa

    Habari Wana Jamvi, nahitaji msaada wenu naona kiza nimepotea kwenye msitu wenye giza na mbwa mwitu wakali. Mimi Ni Kijana Below 25 Years, nimefanikiwa Kukwepa Anasa Zote Lakin Nimejikuta Nadumbukia Kwenye Uraibu Wa Kununua Madada Poa. Kama Kijana Mwenye Heshima Mtaani Nisiyeacha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  18. JamiiForums Tanzania Umewahi kwenda umbali gani mrefu ama kupoteza muda kiasi gani ili kutuliza kiu ya sigara, pombe au uraibu mwengine?

    Achana kabisa na addiction ya sigara. Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini. Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara. Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukaingia kwenye uraibu wa kupiga punyeto?

    Wakuu kwema? Nakumbuka ilikuwa 2010 nikiwa kidato cha tatu baada ya kutoka prepo tulikuwa tunaenda saa nne kulala. Bwenini tulikuwa tunakaa watu nane wanne chini na juu watu wanne pia. Basi bhana mida ya saa sita nilibanwa kwenda kukojoa nilivyosituka nikasikia jamaa tuliekuwa tunakaa karibu...
  20. JamiiForums Tanzania Kubeti kwatajwa kuwa chanzo cha mauaji ya mwanamke Dar

    Uraibu wa kamari na michezo ya kubeti, wadaiwa kuwa chanzo cha ugomvi uliosababisha mauaji ya Mwanahamisi Pauline (Mwana Mjeshi). Jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kusema: “Taarifa hizo ni za kweli na yeye amejirusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…