uraia pacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Je, Tanzania ina uraia pacha?

    Wakuu nina swali naomba ufafanuzi. Katika team yetu ya taifa ya mpira wa miguu(taifa starts ) kuna wachezaji wageni, kwa information wengine hawajui kiswahili vizuri na inasemekana wengine walizaliwa nje ila baba au mama ni Mtanzania ila mtoto kazaliwa nje. Je, hii imekaaje hadi mtoto kuitwa ni...
  2. N

    PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

    Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE...
  3. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania nitaruhusu Uraia pacha kwa sababu una faida kubwa sana

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ntaruhusu uraia pacha sababu unafaida nyingi mfano Uta-facilitate technology transfer Utaongeza wigo wa skilled labour kwenye critical sector Utaongengeza na kuchochea uwekezaji Utatupandisha kwenye michezo sababu kuna diaspora wengi wako tayari kuchezea timu...
  4. Fbn

    Kuna mawaziri na viongozi wana uraia pacha kwa makusudi wanasubiri lolote wasiguswe endapo watashutumiwa mbeleni

    Siwezi kuweka majina wala kupoint watu ila navyosikia za chinichini wengi waliopo madarakani wana uraia pacha ambao wameshatengeneza mazingira la lolote. Kuna mmoja hata nia ya nchii hana malengo nayo. Sasa nauliza kama idara za uhamiaji mfahamu watu wenu tena viongozi mnakwama wapi.
  5. The Father of All

    Kati ya CCM Serikali na Watanzania nani mwenye roho mbaya zaidi hasa kuhusiana na uraia pacha?

    Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
  6. Pascal Mayalla

    Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

    Wanabodi Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!. Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
  7. Pascal Mayalla

    Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024. Paskali
  8. Yoda

    Kipengele gani cha Katiba ya Tanzania kinachopiga marufuku uraia pacha?

    Ni sehemu gani katika Katiba ya Tanzania inaposema ukiwa raia Mtanzania ukachukua uraia wa nchi nyingine unakuwa umepoteza uraia wa Tanzania?
  9. uran

    Uraia Pacha, nini kipo nyuma ya hili suala? Watanzania ndio hatutaki au Serikali?

    Kuhusu hii ishu ya uraia pacha. Pia soma Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha Serikali yatoa msimamo kuhusu uraia pacha Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake? Tanzania na Suala la Uraia Pacha
  10. Suley2019

    Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema haipo tayari kutumia uraia pacha ila hivi karibuni itaanza kutumia utaratibu wa hadhi maalum ambao utatoa fursa kwa wenye asili ya Tanzania waliopo nje kuchangia nchi yao. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo...
  11. GoldDhahabu

    Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

    Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake. Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake? Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000. Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka...
  12. kavulata

    Uraia pacha kwa taifa changa ni kifo kuliko faida

    Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa. Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman...
  13. B

    Serikali iruhusu uraia pacha kati ya miaka 0 hadi 35

    Tunajua serikali inahofia kuruhusu uraia pacha kwa sababu za kisiasa kwamba atatokea mtanzania huko mambele mwenye ushawishi na kuchukua nchi. Hilo tuliache. Tanzania kwa siku za hivi karibuni inajitutumua kwenye nyanja za michezo kimataifa. Mfano hivi karibuni, timu ya Taifa ya mpira wa miguu...
  14. K

    Professor Kabudi apotosha kuhusu Uraia pacha! aombe msamaha

    Msikilize Emanuel akitoa data za ukweli anzia dakika ya 17:05
  15. GoldDhahabu

    Tanzania na Suala la Uraia Pacha

    Katika Bara la Afrika lenye nchi 54, ni nchi chache tu, takriban nchi 10, ndizo zizsizokubali uraia pacha. Nchi hizo ni pamoja na Tanzania, Ethiopia na Congo D.R.C. Hata nchi jirani ambako baadhi ya Watanzania wamekuwa wakijinasibu kutaka kuhamia, yaani, Burundi, wametupiku katika hilo. Lakini...
  16. Mwl.RCT

    SoC03 Uraia Pacha: Kuunganisha Tanzania na Diaspora kwa Maendeleo Endelevu

    URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU. Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
  17. B

    Serikali yatoa msimamo kuhusu Uraia Pacha

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Agnesta Kaiza leo Bungeni Jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
  18. Artifact Collector

    Mapendekezo: Serikali iruhusu uraia pacha kwa kuzingatia masharti yafuatayo

    Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi...
  19. Ileje

    Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

    Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
  20. ubongokid

    Ni nini faida za kuwa na Uraia Pacha?

    Habari za wakati huu, Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Uraia Pacha kwa Watanzania na watu wengine ambao wanahitaji kuwa na Uraia Pacha. Hili ni swala ambalo linahitaji mjadala wa kina, lakini je, ni zipi faida za Uraia Pacha? Mimi leo nataka nizungumzie zaidi faida za Kiuchumi...
Back
Top Bottom