upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  2. T

    Hii hali ya hewa ya Dar (mvua) imenifanya nipitie upya contacts zangu

    Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha. Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
  3. Q

    US Senator (Democratic): Kwa yaliyofanyika 29/10, uhusiano wetu na Tanzania lazima uangaliwe upya

    Wamarekani bado wametukalia kooni, hawapoi wala hawaboi. Jeanne Shaheen a senior US senator from New Hampshire. ============= The violent suppression of opposition voices before & after Tanzania’s election was unprecedented in its history. Tanzania’s democratic backsliding is a red flag for...
  4. S

    Kwanini bara la Afrika hasa kwenye tawala za watu weusi lisigawanye kwenye makoloni ili litawaliwe upya katika phase mpya ya Tatu?

    Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa afrika,mataifa yote haya yanapaswa kupokonywa sovereignty zao,watawala wa mataifa haya 1: wanatumia...
  5. DuaZaMama

    Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
  6. A

    TAMISEMI inahitaji kufumuliwa

    Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika. Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema amekuajiri yeye anaweza kukufukuza kazi. Mfumo wa kuthibitisha watu kazini ni mbovu unaweza jikuta...
  7. Poker

    Uvaaji wa uniform kwa wanafunzi umepitwa na wakati serikali ijitathmini upya

    Katika dunia ya kisasa na inayoakisi utandawazi wa kipekee hatuitaji tena wanafunzi wetu wa msingi na sekondari kuvaa uniform kwani zinawanyima uhuru wao kuonyesha ubunifu wao katika mavazi na kujiexpress vizuri. Faida za kutovaa uniform ni nyingi sana ikiwemo Kujenga Utambulisho wa...
  8. Pascal Mayalla

    Krismasi ni Kuzaliwa Kwa Mwokozi Kutukomboa, Ili Tanzania, Watanzania, Tukomboke, Lazima Tuzaliwe Upya!

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Salaam zangu za Krismasi kwenye gazeti la Mwananchi. Leo ni Sikukuu ya Krisimasi, Watanzania tunajiunga na watu wengine duniani, kuadhimisha sikukuu hii ya Krisimasi ambayo ni sikukuu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Masiha, Mwokozi wa Wakristo, Bwana wetu Yesu...
  9. M

    Makamanda tujipange upya

    Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola. Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT. Chadema wamekuwa wanatumia njia mbalimbali kujaribu kushika dola, na waliwahi kufanikiwa japo kidogo...
  10. Oscar Wissa

    Wahenga Wafikiri Upya Kuhusu Malezi

    Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa na butwaa.
  11. McLaren

    PostGE2025 Maseneta wawili wa Marekani wataka Marekani kuangalia upya mahusiano yake na Tanzania baada ya Maandamano ya Oktoba

    Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Chanxo; Risch, Shaheen...
  12. R

    Watanganyika i.e vyombo vya usalàma vyote, vyote, mnaomlinda Mzanzibari anauza Tanganyika , jitafakari upya. Kwa nia njema tu kuweka mizania sawa.

    Tujitafakari sana wote, wote Watanganyika kwa nia njema tu na si kwa uhasama au mawazo hasi bali kuwekà mizania sawa
  13. R

    PostGE2025 DC Ilala ahimiza ujenzi upya wa Ofisi zilizoharibiwa wakati wa Vurugu Oktoba 29

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa. Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
  14. K

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
  15. A

    CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  16. Lord Denning

    Hitimisho langu: Hakuna Taasisi iliyooza Tanzania kama TISS. Ni au ivunje na kuundwa upya au isiwepo kabisa

    Kwa yanayoendelea Mkuu wa hii Taasisi kuhusishwa na tuhuma nzito za rushwa na ufisadi, pamoja na wafanyakazi wengine kadhaa. Kwa yanayoendelea hadi siri za nchi zinafika kwa majirani zetu kuhusu maofisa wa hii Taasisi wanavyotumiwa na Wanasiasa kufanya mambo ya hovyo ikiwemo kununua programs...
  17. Pdidy

    HII DHAMBI YA.KUZINI KWA KUTAMANI TU INGEANGALIWA UPYA JAMAN HUKO KUZIMU KUTAJAA SIJUI MTAWAWEKA WAPI WENGINE.. 😆 😂 😆 😂 😆

    ushauri tu viongozi wa dini tuliangalie hili upya kama ukiwezekana kufanyia marekebisho iwe hivyo mapema maana kila Misa ya marehemu tunayoenda Kuala nikikumbuka hii dhambi sioni anaerobooaa naona wote mlemle otherwise huko.motoni kutajaa jaman niongeze sauti sijui?? UUshauii tu
  18. Beira Boy

    Kwa hili la Yanga CCM wajitafajari upya hakika wanachukiwa hakuna mfano

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo Walidiriki kwenda mbali wakimtaka aachie kabisa nafasi ya urais pale yanga Na wao kama mashabiki wako tiari kukaa hata...
  19. L

    Kura Za Maoni Kufanyika Upya Jimbo La Hayati Ndugai Na Fomu Kutolewa Kwa Laki Tano

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu. Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo. Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
  20. K

    GE2025 Ninaishauri CCM irudie upya kura za maoni nchi nzima

    Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki. Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
Back
Top Bottom