Licha ya kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na mashujaa waliolitumikia Taifa kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, kaburi la Balozi na Luteni Jenerali mstaafu Silas Peter Mayunga limeonekana kuwa katika hali ya kusikitisha, kana kwamba limetelekezwa.
Kaburi hilo lililopo katika makaburi ya...
Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi.
Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote .
Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye .
Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa .
Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani
Je...
Wakuu,
Leo tunashuhudia jambo ambalo si la kawaida kwenye siasa za Tanzania. Humphrey Polepole mwanasiasa wa muda mrefu wa CCM, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa zamani, Mbunge, na kisha Balozi – ameandika barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake ya uongozi wa umma na ubalozi.
Lakini si kujiuzulu tu...
Nina mashaka na uraia wa Viongozi wengi wanaotuongoza kwa Sasa .
Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyosifika kwa amani haki na utulivu katika miongo 5 iliyopita toka mwaka 1961 hatukupata Uhuru kwa kumwaga damu lakini Sasa damu imekuwa kawaida kumwagika!!
What if tuna Viongozi wenye itikadi Kali...
Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira....
Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake
====================
The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
Sheria ya Mafao ya kukosa ajira (Unemployment benefits) kwa sasa mwanachama anapata 33.3% ya msharaha wake. Ambayo yanalipwa kwa miezi sita tu. Baada ya hapo mfuko unakuchoka na kukuacha upambane na hali ngumu ya maisha.
Ukizingatia ugumu wa kupata ajira ilivyo, napendekeza yafuatayo:
1. Mifuko...
Kwa sasa imekuwa jambo rahisi sana katika kuanzisha hizi taasisi kupitia mifumo ya kieletroniki .
Ni vyema Regulatory authorities kujitathmini na kufanya mapitio ya kina namna mtu au taasisi anavyoweza kuanzisha taasisi yake.
Uwepo wa mifumo ya kieletroniki usitafsiriwe kuwa ni rahisi tu...
Kuna watu wanaweza kuyaona maisha haya ni sinema ila kuna wengi huyapitia.
Kwenye kujitafuta safari huwa ina mabonde na makorongo, kuna muda hadi mtaji unaisha ama umeibiwa unarudi zero kabisa.
Kwenye hustle zangu niliwahi kupatwa na hii hali, yaani nilikuwa mtupu kujumlisha na madeni...
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory
Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha
Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
Habari wana JF.
Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa...
Wanajamii mko fresh eee...
Ebwana haya maisha ni noma sana, mambo yanachanganya na mengine yanachosha moyo.
Baada ya kujitafuta sana kwa miaka mitano kwenye harakati mbalimbali, hatimaye leo nmeamua kubadili mwelekeo wa mambo.
Nilianza na kupanga chumba kimoja, baada ya mwaka nikaona nina...
Je tuna jeshi hapa au ? Lazima tujiulize inakuwaje jeshi letu limeshidwa kirahisi na M23. Je tuna uhakika gani kama kundi dogo kama M23 likiingia Tanzania jeshi letu liko tayari na uwezo wa kisasa wa kupambana nao. Tunajua ni wajenzi wazuri na miradi mpaka ya sehemu za starehe lakini Jeshi letu...
Makamu Mwenyekiti Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema Zanzibar wakati inaungana na Tanganyika mwanasheria mkuu wa Wakati huo hakushirikishwa na alipelekwa likizo ya lazima.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema kuna haja ya...
Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya kihistoria kwa kufikia mchango wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa mwaka 2024, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya lengo lililowekwa kwenye Sera ya Madini ya mwaka 2009 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka...
Kabla ya uchaguzi wa CDM, baadhi yetu tulisema CCM ilitaka Lissu ashinde kwa sababu ni rahisi zaidi kum handle kuliko Mbowe. Mojawapo ya sababu ya kusema hivi ni campaign za wazi ambazo wafuasi maarufu wa CCM walikuwa wanamfanyia Mbowe. Lengo lao lilikuwa watu wahisi kuwa Mbowe ni kibaraka na...
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.
Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.
Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.