upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

    Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
  2. BabuFey

    JamiiForums Tanzania Muungano uangaliwe upya

    Leo nagusa where Satan fears to tread MUUNGANO Kwa mwenendo huu ulionyeshawa na utawala huu unaongozwa na Wazanzibari kuna haja kubwa ya kuungalia huu muungano Hapa kuna mawaziri very senior ni wa kwao na maamuzi yanayo tugusa Watanganyika wanafanya wao ilhali ya kwao hayatuhusu. Angalia...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wakijipanga upya kuivamia Israel ikiwatumia watoto zaidi!!

    Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vibaya kwenye uvamizi wao wa Oct 07,2023 sasa magaidi hao wanajiandaa upya kwa Oct 7 nyingine!! Safari hii inawatoa kafara vijana na watoto wadogo ili wakafe SHAHIDI wakiaminishwa wataenda kukabidhiwa Mabikira 72 wawabikiri na kuwa huko watakuta Mito yenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga km 20 nje ya jiji au manispaa kwenye mji mdogo, utulivu ni wa muhimu

    Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga upya hifadhi yake ya Silaha Mashariki ya Kati baada vita na Iran

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Anaanzaje upya?

    Kuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona. Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lutandula: Biblia ingeandikwa leo, ingeandika Marais wengi wamefanya kazi nzuri, lakini Samia umefanya kazi vizuri zaidi

    Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini Paschal Lutandula akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya madini amesema kuwa kuwa ' Kama Biblia ingeandikwa leo, inawezekana ingeandika hivi, Marais wengi wamefanya kazi nzuri, lakini wewe daktari Samia umefanya kazi vizuri zaidi' Ameongeza kuwa huenda ni...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo Kidonda Kinatoneshwa. Maumivu ya MO29 yanaanza upya

    Leo Chande atatukumbusha wapendwa wetu waliouawa na polisi kwa kupigwa risasi za kichwa. Leo tutakumbushwa yule mama wa Arusha aliyepigwa risasi ya mgongo akiwa na mimba ya miezi mitatu. Leo tutakumbushwa wale vijana wa Mwanza waliokuwa wanaangalia mpira wakatolewa nje wote wakapigwa risasi...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na kuwepo kwa viashiria vya shinikizo na ukosefu wa uwazi. Kwa muda sasa, wananchi wa Sinza tumekuwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya hewa ya Dar (mvua) imenifanya nipitie upya contacts zangu

    Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha. Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania US Senator (Democratic): Kwa yaliyofanyika 29/10, uhusiano wetu na Tanzania lazima uangaliwe upya

    Wamarekani bado wametukalia kooni, hawapoi wala hawaboi. Jeanne Shaheen a senior US senator from New Hampshire. ============= The violent suppression of opposition voices before & after Tanzania’s election was unprecedented in its history. Tanzania’s democratic backsliding is a red flag for...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Afrika hasa kwenye tawala za watu weusi lisigawanye kwenye makoloni ili litawaliwe upya katika phase mpya ya Tatu?

    Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa afrika,mataifa yote haya yanapaswa kupokonywa sovereignty zao,watawala wa mataifa haya 1: wanatumia...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
  15. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI inahitaji kufumuliwa

    Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika. Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema amekuajiri yeye anaweza kukufukuza kazi. Mfumo wa kuthibitisha watu kazini ni mbovu unaweza jikuta...
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Uvaaji wa uniform kwa wanafunzi umepitwa na wakati serikali ijitathmini upya

    Katika dunia ya kisasa na inayoakisi utandawazi wa kipekee hatuitaji tena wanafunzi wetu wa msingi na sekondari kuvaa uniform kwani zinawanyima uhuru wao kuonyesha ubunifu wao katika mavazi na kujiexpress vizuri. Faida za kutovaa uniform ni nyingi sana ikiwemo Kujenga Utambulisho wa...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Krismasi ni Kuzaliwa Kwa Mwokozi Kutukomboa, Ili Tanzania, Watanzania, Tukomboke, Lazima Tuzaliwe Upya!

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Salaam zangu za Krismasi kwenye gazeti la Mwananchi. Leo ni Sikukuu ya Krisimasi, Watanzania tunajiunga na watu wengine duniani, kuadhimisha sikukuu hii ya Krisimasi ambayo ni sikukuu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Masiha, Mwokozi wa Wakristo, Bwana wetu Yesu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makamanda tujipange upya

    Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola. Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT. Chadema wamekuwa wanatumia njia mbalimbali kujaribu kushika dola, na waliwahi kufanikiwa japo kidogo...
  19. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Wahenga Wafikiri Upya Kuhusu Malezi

    Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa na butwaa.
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maseneta wawili wa Marekani wataka Marekani kuangalia upya mahusiano yake na Tanzania baada ya Maandamano ya Oktoba

    Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Chanxo; Risch, Shaheen...
Back
Top Bottom