Leo ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kwa upotoshaji mkubwa unaofanywa na huyu daktari pamoja na madaktari wengine uchwara wanaolazimisha ionekane kuwa nchi ipo kwenye tatizo kubwa la unene uliopitiliza wakati ni kinyume chake.
Tumekuwa tukiwasikia msile wanga mara...
Viongozi wanaweza kupotosha umma kwa njia mbalimbali ili kujiongezea umaarufu na kukubalika kwa wananchi. Mojawapo ya njia wanazoweza kutumia ni kutoa ahadi ambazo hawawezi kutekeleza au kuficha ukweli ili kuepuka lawama. Aidha, wanaweza kutumia propaganda na mawasiliano ya kisiasa yenye kuleta...
Tafsiri ya lugha inaweza kuwa ngumu na kuweza kusababisha upotoshaji wa taarifa kulingana na utofauti wa lugha, na uwezo wa mtafsiri. Wakati mwingine, maneno au misemo inaweza kuwa na maana tofauti katika lugha nyingine, na mtafsiri anaweza kushindwa kuchagua maneno yanayofaa au maneno sahihi...
Ukataji wa Video ni mbinu ya kidijitali ya kuchukua sememu ndogo ya video fulani kwa kusudi fulani.
Katika matumizi ya teknolojia hii mtu mwenye nia ya kupotosha taarifa anaweza kuchukua video nzima na kuikata Kisha kutumia sehemu ndogo ya video hiyo kupotosha muktadha wa taarifa nzima...
Kuambatisha picha katika habari yoyote ni muhimu katika kuongeza uelewa na kufafanua tukio au taarifa fulani.
Ili kutumia picha katika kutoa taarifa kuhusu jambo fulani, unapaswa kuzingatia uhalali wa hiyo picha, uwiano wa picha hiyo na tukio unalokusudia kulitolea taarifa au kulifafanua...
Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani...
UPOTOSHAJI JUU YA KAULI YA PAPA FRANCIS NA KANISA LA ROMAN CATHORIC KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI
Na Mansour Jumanne (Senior Journalist )
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa saana ,ambao umenukuliwa na Vyombo vingi vya habari vya ndani na nje kuhusu Kauli aliyoitoa Papa...
TAMTHILIA YA HUBA HAIENDANI NA JINA LAKE. KINACHOENDELEA NI UPOTOSHAJI NA UHUNI TUU.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wanafilamu wengi walikuwa wakilalamika hakuna wawekezaji katika tasnia ya filamu ndio maana kazi zinazotoka ni mbofumbofu. Miaka ya hivi karibuni kumetokea mabadiliko kidogo...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres wakati akizindua ripoti maalumu iliyoundwa ili kuimarisha uadilifu wa habari kwenye majukwaa ya kidijitali.
Kengele ya hatari kuhusu tishio linaloweza kusababishwa na maendeleo yanayokuwa kwa kasi ya Akili Bandia (AI) haipaswi kuficha uharibifu...
Takwimu ni taarifa (data) zilizokusanywa, zikahesabiwa, na kuchambuliwa ili kutoa ufahamu au maelezo kuhusu kitu fulani. Kwa mfano, takwimu zinaweza kuwa idadi ya watu katika eneo fulani, matokeo ya utafiti, au hata vipimo vya kisayansi.
Takwimu zinaweza kutumika katika nyanja mbalimbali kama...
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kumeibuka Application nyingi za kutengeneza picha, ambazo zinaweka kubadili muonekano wa picha kwa namna nyingi na hata kuleta sintofahamu baadaye
Upotoshaji katika picha ni kitendo Cha kuhariri (edit) picha kwa kuongeza kitu, kupunguza kitu...
Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU)inayohusika na uchunguzi wa Maudhui Mitandaoni, #VeraJourova ametoa agizo hilo baada ya kufanya kikao na Viongozi wa Mitandao hiyo iliyolalamikiwa kuwa na kiasi kikubwa cha maudhui kuhusu Mgogoro wa #Israel na #Palestina.
#TikTok imesema...
MBUNGE SUBIRA MGALU - MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT TAIFA ATEMA CHECHE UPOTOSHAJI WA HOJA ZINAZOHUSU BANDARA YA DAR ES SALAAM AKIWA WILAYANI MBOGWE
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha Ndg . Subira Mgalu ameeleza kwa kufanua upotoshaji wa hoja...
Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga...
Regarding the contention that Article 4 (2) of the IGA is violative of theAct No. 5 of 2017 and the constitutional provisions on sovereignty, our unflustered view is that the petitioners' construction of the said provision is ill-thought-out, if not misleading.
Our unfleeting reading of Article...
Nashangaa wizara ya Ardhi inaposhindwa kujibu propaganda za Lissu kwamba awamu ya sita imekuwa ikinyanganya watu ardhi. Serikali iliunda kamati ya mawaziri ambayo ilipitia migogoro ya ardhi, na watanzania kwa maelfu, waligawiwa ardhi iliyokuwa Ina mgogoro na hifadhi za taifa au taasisi za umma...
Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma.
Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli.
Maonesho ya Expo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.