upotoshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu, hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kibali mtu namba moja unayempinga

    Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kubali mtu namba moja unaye mpinga. Sasa kibali cha nini kwenye maandamano waulizeni vizuri hicho kibali ni chanini kwenye maandamano na ni kwa matakwa yao wanatoa au sheria imesema ?
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ni nani anasema kwenda kwa mganga wa kienyeji ni dhambi !? Huo ni upotoshaji

    Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa utekelezaji wa Ilani ya chama unaongea maelfu ya maneno kwa Wananchi kuliko usambazaji wa chuki, wivu, upotoshaji na uongo kwa jamii.

    Tunashida kwenye ufanyaji wa siasa hatuna siasa za hoja, tunasiasa za kujengeana chuki na kupotosha watu, hatuna siasa za kwanini chama X na si chama Y Nashangaa kuona mtu mzima kabisa anafamilia eti anaamini watu watakipigia chama kingine kwasabu ya upotoshaji wake hii HAIPO huu ni ujinga wa...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

    Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa...
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania ni Upinzani wa masengenyo, upotoshaji, uongo, uzandaki, chuki, wivu. Ni Upinzani usio na hoja haujitambui

    Tanzania tuna wapinzani wasio na hoja ambazo zinamgusa mwananchi moja kwa moja. Wapinzani wetu wanaroho za chuki, wivu, uongo, upotoshaji, uzandaki wanafanya siasa Kama wanasengenyana wapinzani wanasiasa za masengenyo. Wapinzani wetu hawana elimu ya siasa ndo maana utaona mtu anapost Uzi...
  8. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Mitandao inaweza kutumiwa kueneza upotoshaji wa makusudi

    Ujumbe wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alioutoa Agosti 11, 2025 katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika mkoani Kilimanjaro, unatukumbusha kuwa makini dhidi ya Taarifa Potofu mtandaoni hasa wakati wa uchaguzi. Ni muhimu kuthibitisha uhalisia wa kila...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Acheni upotoshaji: Kelly Doulla ni Muitaliano, sio Mcameroon

    Katika zama hizi za taarifa za haraka, tumeshuhudia tabia inayozidi kuenea ya “kuiba” mafanikio ya watu kwa misingi ya asili ya wazazi, badala ya ukweli wa uraia na uwakilishi halisi. Mfano ni leo mwanadada Kelly Doulla, mwanariadha anayewakilisha Italia, lakini anayepewa heshima na umaarufu...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Je, Waandishi wa Habari Wako Tayari Kukabiliana na Upotoshaji?

    Mwezi Disemba, 2024 ulichapishwa utafiti katika jarida la communication studies in Africa, uliohusu waandishi wa habari wa Tanzania katika kupambana na taarifa Potofu. Katika waandishi wa habari 306 walioshiriki katika utafiti huo 51% ya waandishi walisema hawajawahi kupatiwa mafunzo rasmi ya...
  11. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Tishio la upotoshaji ni kubwa, kuna changamoto ya kutofautisha ukweli na upotoshaji

    Kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ya Julai 15, 2025 inawakumbusha wadau kuendelea kuzuia maudhui ya Upotoshaji yanayotengenezwa kwa kutumia Akili Unde kwani ni tishio kwenye maamuzi ya Wanachi hasa kipindi cha Uchaguzi. Tembelea JamiiCheck.com ujifunze kubaini maudhui yaliyoundwa kwa...
  12. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  13. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania 'Influencers' na watu maarufu wanatajwa kuwa wasambazaji wakubwa wa taarifa za upotoshaji

    Abdallah Katunzi, mhadhiri msaidizi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julai 9, 2025 akizungumza kwenye mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuhusu uchaguzi mkuu, amesisitiza umuhimu wa Kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo mtandaoni bila kujali hadhi ya mtoa Taarifa. Hii inatukumbusha kuwa hata...
  14. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Tuna changamoto ya upotoshaji, watumiaji wa taarifa huziamini bila kuthibitisha

    Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi inakukumbusha kuwa kabla ya kuamini na kusambaza Taarifa unayokutana nayo ndani na nje ya mtandao ni muhimu Kuithibitisha Uhalisia wake ili kuepusha Taarifa Potofu. Unapohitaji msaada wa Uthibitishaji Taarifa...
  15. evangelical

    JamiiForums Tanzania Albert Msando Acha Upotoshaji

    Haka ka dc kamchongo kapuuzi sana kamepost suala la kusitishwa Bunge halafu kamelimit coment . Kajamaa kapumbavu sana kana jua kujipendekeza na tokea wamejua Samia ni mpenda Masina wanasifia hadi upumbavu. Yaani jinsi ulivyompumbavu umeamua kuzuia koment We Mume wa Gigy Money ndivyo huyo...
  16. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Taarifa Potofu ni chanzo cha maamuzi mabovu. Daima pambana dhidi ya Upotoshaji

    Mapambano dhidi ya Upotoshaji yanatuhitaji kutafuta na kuuweka wazi Uhalisia ili kuepuka Taarifa zisizo za Kweli katika Jamii. Maamuzi Sahihi huchochewa na Taarifa Sahihi. Wasambazie jamaa na marafiki ujumbe huu ili wainuke kupambana dhidi ya TaarifaPotofu.
  17. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuzindua mpango wa uhakiki taarifa huku wenyewe wakiwa wapotoshaji wa kwanza, yaani mwizi anaenda kumhakiki mwizi!

    Wakuu, Sijui ni upotoshaji wanaenda kukomesha kama wao ndio wapotoshaji wa kwanza! Tutaona mengi. ==== UVCCM yaindua kampeni ya Kijani Fact Scan kwaajili ya kukomesha upotoshaji Mei 21, 2025, UVCCM Taifa imezindua rasmi kampeni kabambe ya kitaifa ya Kijani Fact Scan katika mkutano maalum...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko Kuhusu Mabaraza ya Uuguzi na Ukunga na Upotoshaji wa Media Dhidi ya Wauguzi

    Kwa heshima kubwa, ningependa kuelezea malalamiko yangu kuhusu jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazopotosha hadhi ya wauguzi, huku mabaraza ya uuguzi na ukunga yakiwa kimya bila kuchukua hatua za kutetea kada hii muhimu ya afya. Mfano halisi ni taarifa iliyochapishwa na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania "TAA yakanusha upotoshaji wa John Heche kuhusu uwaja wa ndege wa KIA kukabidhiwa kwa watu wa Oman

    Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetoa taarifa ya kuelezea kuhusu upotoshaji uliofanywa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kuhusu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kukabidhiwa kwa watu wa Oman. Kauli hiyo ya upotoshaji aliitoa hivi karibuni jijini Mbeya, TAA...
  20. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Epusha taharuki kwa kuacha kusambaza Taarifa ambazo hujathibitisha uhalisia wake

    Hakikisha Taarifa unazozisambaza kwa watu wengine unazithibitisha kwanza uhalisia wake ili kuepuka Taarifa Potofu kwani zinaweza kusababisha taharuki katika jamii. Tumia Jukwaa la JamiiCheck.com kuwasilisha Taarifa unayohitaji kupata uhalisia wake huku ukijifunza namna sahihi ya uthibitishaji...
Back
Top Bottom