Kambi ya upinzani ni nguzo muhimu sana kwenye bunge na kweny siasa za nchi kwa jumla. Sina uhakika kama CCM itaondolewa madarakani mwaka huu, ila ningependa kambi ya upinzani bungeni iimarike zaidi.
Sasa ili kuiimarisha ni muhimu wagombea wa upinzania wateuliwa kwa makini sana ili wawe ni watu...