upinzani

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Polepole alizunguka nchi mzima kuinadi CCM na Magufuli, upinzani walikatazwa kufanya siasa 2020 bado wakapora uchaguzi

    Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku? Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Upinzani wetu jueni hamna kitu mtakifanya mkafanikiwa

    CCM IMEJIPANGA! MWAKA HUU MTAISOMA 🎹 Upinzani jueni kuwa KAZI ya CCM ya kuwaletea maendeleo ishafanyika toka mwaka 2020 mpaka Leo kilichobaki kwa CCM Wananchi na Wana CCM ni kusema ASANTE CCM ASANTE CHAMA TAWALA kupitia KURA Upinzani hamuwezi mkakurupuka from no where Leo eti fyokofyoko...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Video Tbt: Sugu akiwa bungeni akieleza sakata la wabunge upinzani (Tundu Lissu) kupigwa risasi kwa sababu ya hoja zao bungeni

    Wakuu, Nimekutana na hii video ya zamani Mbunge wa CHADEMA Sugu akieleza kile kilichotokea kwa Mbunge mwenzao Tundu Lissu kupigwa risasi akidai wakileta hoja wanatishiwa kupigwa risasi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  6. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kama wagombea urais wa upinzani wamelipwa kuongea Comedy

    Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja...
  7. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume: Upinzani unahitaji wadau siyo Malalamiko

    Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X-Twitter ameandika kuwa " Vyama vya Upinzani vinapaswa kujenga uhusiano thabiti na wadau wakubwa wa ndani ya nchi ili kupata nguvu na rasilimali za kuendesha harakati zao. Kuishambulia CCM pekee si mkakati wa ushidi angalieni mfano wa Trump...
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ccm inadumu kutawala kwa kukandamiza upinzani

    Ni miaka yote ila imejidhihirisha sana awamu hii kwamba tegemeo kubwa la ccm kuendelea kutawala ni kukandamiza upinzani. Suruhu ya hilo ni moja , nguvu ya Umma. Umma utakapokua tayari CCM ndipo wataondoka kwa nguvu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania: Tishio kwa CCM uchaguzi 2025

    Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani. Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya TaNU kukawa na tishio la upinzani mkubwa uliotishia falsafa za Hayati Nyerere. Wakaibuka akina...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la katiba nchini Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kumuondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa Urais

    Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
  11. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Upinzani unaodhibitiwa

    Upinzani Unaodhibitiwa Mstari wa Mwisho wa Udanganyifu --- Adui Hatari Zaidi Tusiyeona Kamwe --- Wakati pazia linaanza kuinuliwa, unapaanza kuuliza maswali kuhusu mfumo, kuona kupitia simulizi, na kukumbuka wewe ni nani kwa hakika, kitu cha hila na cha hatari hujitokeza kukukabili. Sio...
  12. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 10 sasa tangu hayati Mkapa atuite watanzania tunaopenda upinzani “malofa”

    Nyakati zinakimbia sana! Miaka 10 iliyopita wakati wa kampeni za kumuweka madarakani John Pombe Magufuli, hayati Benjamin Mkapa alitupa tusi lenye kejeli ndani yake la kutuita malofa. Sijui nini kilimsibu mzee wa lupaso mpaka apayuke neno lile gumu kwa Watanzania. Anyway yeye na Magufuli...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi". Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel. Mpango...
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Israel: Netanyahu akabiliwa na upinzani wa jeshi kwa ukaliaji kamili Gaza

    Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga ukaliaji mpya kamili wa eneo la Palestina. Waziri Mkuu wa Israel anakabiliwa na upinzani mkali kutoka...
  15. Adharusi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ni muda wa kuungana na kuunda UKAWA Part II, tofauti zenu wekeni kando

    Vyama vya upinzani niwaombe turejee kwenye UKAWA I ule wa mwaka 2015 ulitusaidia kuleta wabunge wengi bungeni,na kiasi fulani watanzania waliona tija ya upinzani kwa sababu muda umekwenda mnaweza kukubaliana baadhi ya maeneo mkaachiana majimbo,na nafasi ya Urais,kama kweli mna nia ya dhati...
  16. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
  17. I

    JamiiForums Tanzania Walioenguliwa uchaguzi wa ndani kuhamia upinzani na kuteuliwa kuwa wagombea ni kukua kwa demokrasia au udhaifu wa upinzani kukosa wagombea wenye sif?

    Tumeshuhudia uchaguzi ndani ya chama tawala nchini ukitamatika hivi karibuni. Uchaguzi ambao umewaacha/ kuwaengua waliokuwa wabunge katika majimbo mbalimbali. Licha ya rafu katika chaguzi hizo; baadhi ya waliokua wagombea wameingia katika vyama vya upinzani kwenda kupeperusha bendera kupitia...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na upinzani wa Tanzania

    Wacha Mpina, January, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia, shikamoo siasa, shikamoo ccm, sikamoo Tanzania
  19. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa Matokeo haya ya uchaguzi wa CCM, Ni dhahiri hakuna Jimbo la Bure kwa Upinzani

    Maneno mengi yalisambaa kwamba CCM watawapa upinzani kama Chauma au ACT Wazalendo baadhi ya majimbo. Hata hivyo, kutokana na jinsi uchaguzi wa ndani wa chama ulivyofanyika, imekuwa wazi kwamba uvumi huu hauna ukweli wowote. Mchakato huo ulikuwa na ushindani mkali na ulipelekea kuchaguliwa kwa...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

    Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi. Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano. Kwa sasa Chadema imetekwa na...
Back
Top Bottom