upinzani

  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mpinzani mkuu wa Rais Paul Biya wa Cameroon aenguliwa kugombea

    Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025. Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa. Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Upinzani wa fikra sio uadui

    Mwana siasa nguli na Mwanachama wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa Watanzania kuenzi misingi ya majadiliano yenye hoja badala ya kuendeleza chuki na mifarakano inayotokana na tofauti za kimtazamo. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mbatia amesema kuwa hali...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Upinzani Tanzania unajimaliza wenyewe?

    Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa vinaonekana kugawanyika kuliko wakati wowote ule. Badala ya mijadala ya sera na hoja mbadala dhidi ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Msumbiji, Venancio Mondlane anakabiliwa na Mashtaka Matano ya Jinai

    Nchini Mozambique, mwanasiasa wa upinzani Venancio Mondlane amefunguliwa mashtaka matano ya jinai, likiwemo la uchochezi wa ugaidi, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2024. Mondlane, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa chama tawala cha FRELIMO, anadai kuwa anashtakiwa kwa sababu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba, aapa kubaki Madarakani licha ya Upinzani kushinda kwa kura nyingi za Bunge

    Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameapa kubaki madarakani, licha ya muungano wa chama chake tawala kupata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge la Juu, hali ambayo imezua mashaka ndani ya chama chake huku upinzani ukifikiria kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani naye Ishiba, ambaye...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ndani ya CCM: Kinachompoza Samia ni kuwa mwanamke?

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya CCM, kinachompoza samia ni ujanajike

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kama vyama vya upinzani visipoweka balance ya kidini kwenye vyama vyao visahau kuja kuitoa CCM

    Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee sana. Wakati mataifa mengi ya kiafrika Yana siasa za ukabila na ukanda sisi hilo hatuna. Ila Kuna mizani...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  10. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "No reform no Election" -2025 yaiangamiza "UPINZANI"

    Inawezekana kauli hii ilipenyezwa kwa walengwa bila wao "kung'amua" Faida iliyopatikana mpaka Sasa ni 100% kwani imewasambaratisha vipande vipande kupitia mtu wao (Urusi ilisambaratika vipande vipande kupitia Mikhail Goberchov mwaka 1990). Hasara; wale wanaokatwa vichwa kwa Sasa wanashindwa...
  11. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni aibu kwa taifa

    Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa. Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Zitto acha kudharaulisha upinzani, wapinzani sio wa kulenga kupata viti 30, 40 au 50 vya ubunge.

    Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Waliohamia CCM toka upinzani hawawezi ongoza kura ya maoni CCM labda Kwa kubebwa na Rais tu hata wakishindwa.

    Hii wanapaswa kulijua mapema. Msigwa, Bulaga, Matiko n.k. Msihangaike hata kutumia pesa kwenye kampeni.
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi

    Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi. Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania tusiruhusu tena Bunge Kibogoyo dhaifu kama hili, lisilo na Meno, kukosa Kambi ya Upinzani na kushindwa kuisimamia Serikali kikamilifu!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani kama Bunge hili la 12!, limekuwa ni Bunge dhaifu kutokana na kukosa meno, hivyo limekuwa kama ni Bunge...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hakuna vita Afrika iliyoanzishwa na chama Cha upinzani

    Kuanzia mapambano ya Biafra Nijeria, UNITA Angalo, RENAMO Msumbiji, POLISARIO Shahara na kwigineko kokote kule Afrika, vurumai huanzia ndani ya chama tawala ama kuanzishwa na chama tawala. Hakuna ushahidi wowote wa kuonesha kuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika kuanzishwa na vyama vya...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanawapa hela upinzani huku CCM inawapa hela wananchi wawachague inatupa picha gani ?

    CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
  18. M

    JamiiForums Tanzania People who win the war, ni wenye IQ kubwa tu, Isrel anapiga vyenye upinzani kwanza, Iran anapiga visivyo na kizuizi, nani ni nani?

    Acha akili kubwa iendelee kuongoza dunia na itakuwa hivyo milele Najifunza mengi sana kwenye hii vita Ukiangalia mashambulizi ya pande zote Mbili, Iran na Israel Huwenda uwezo wao ni mmoja tu na ama wanazidiana kidogo sana ila akili ndiyo inayoamua hii vita Mashambulizi ya Iran yanalenga...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu

    Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
Back
Top Bottom