upinzani

  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ado: Kuwa mwanasiasa wa upinzani nchi nyingi Afrika ni kujiingiza kwenye misukosuko

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu hiyo aliitoa alipoamua kuwa mwanasiasa wa upinzani. Ameongeza kuwa, kwa nchi nyingi za Afrika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa ni kwa nini watu kutoka upinzani wakihamia CCM wanapewa vyeo haraka sana tena vikubwa!

    Wanabodi kumekuwa na utaratibu licha ya ccm kujigamba kwamba Ina rasilimali watu ya kutosha lakini inaonekana watu smart sana wanapatikana upinzani. Mwanzo nilijua tu kuwa labda ni kivutio cha kuwashawishi wapinzani wengi kuhamia huko ila baada ya kuona jinsi mashabiki wa ccm wanavyojenga hoja...
  3. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania NGOs na vyama vya siasa vya upinzani Afrika ni watengeneza maudhui katika karne hii

    "Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi. Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo imeendelea kuwa "kumbukumbu ya kila mwaka" isiyo na matokeo ya kisheria kwa wabadhirifu wa mali za umma...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani waitaka IEBC iachane na teknolojia ya Smartmatic kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027

    Viongozi wa Upinzani Wote wametaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iachane kabisa na teknolojia ya Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao, wakiwemo Kalonzo Musyoka wa Wiper Patriotic Front, Justin Muturi wa DP, na Eugene Wamalwa wa DAP-K, pia waliwaomba Mahakama...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Idu: Dk Nchimbi amewathibitishia watanzania kuwa CCM inanyanyasa upinzani kwa kutumia mabavu.

    Kuanzia ngazi zote CCM huwa wanatumi mabavu kuleta ghasia na kunyanyasa wapinzani kwa kutumia jeshi la Polisi na mahakama. Angalia zile vurugu alizofanyiwa Heche alipokuwa Igunga. Kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA ambao hawana hata makosa Green guard wa CCM kuwa wanabeba siraha wakati...
  7. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani haumalizwi Kwa mkono wa chuma, bali Kwa njia mbadala kisayansi na kisaikolojia Kwa wahitaji wa upinzani wenyewe!

    Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika! Tambiko hubadilika kutokana na mahitaji ya nyakati na kizazi ili kuepuka madhara makubwa Kwa taifa! Kama ccm ndio Tambiko...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani walalamikia serikali matumizi ya nguvu kupita kiasi kuvuruga mikutano yao

    Wakizungumza Jumapili Februari 22, 2026 katika ibada ya kanisa la PCEA Utawala jijini Nairobi, Viongozi wa Upinzani Kenya Wamedai kuwa serikali kupitia polisi na magenge ya vijana imekuwa ikivuruga mikutano ya kisiasa ya Upinzani, ambapo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i alihoji...
  10. hamis77

    JamiiForums Tanzania Simoni wa Zelote, mwanasiasa wa upinzani aliyemfuata Yesu

    Katika kipindi cha karne ya kwanza BK, kulikuwa na harakati ya Kiyahudi iliyoitwa Zealots Hawa walikuwa kama chama cha upinzani dhidi ya utawala wa Roma katika Yudea. Mimi nawafananisha kama chadema ya sasa dhidi ya ma ccm Walikuwa na misimamo ifuatayo Walikataa kutawaliwa na Roman Empire...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Katavi: Unaazimisha pikipiki ya Samia kwa Upinzani halafu tukusamehe?

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, amewataka vijana nchini kuwa na uchungu wa kukilinda na kukitetea chama hicho, huku akionya dhidi ya tabia ya kubeza au kuwasema vibaya viongozi waliopitishwa na vikao halali. Akizungumza leo, Februari 3, 2026, katika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kiongozi wa Upinzani Guinea-Bissau apata uhuru kutoka gerezani

    Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa. Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raisi Museveni :Hakuna upinzani Uganda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametilia shaka tena uadilifu wa upinzani nchini humo, akikishutumu chama cha upinzani cha National Unity Party – NUP kwa kuhusika na vitendo vya udanganyifu kwenye uchaguzi. Museveni, ambaye amekuwa madarakani tangu 1986, alidai kwamba Jukwaa la NUP liliongeza...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wasimamizi wa uchaguzi Uganda waliowatangaza wagombea wa upinzani kushinda nafasi za Ubunge na Udiwani wakamatwa na polisi na kushushiwa kipigo

    Afrika ni ngumu sana kwa baadhi ya mataifa! Mfano mataifa ya Afrika Mashariki yanatia aibu sana katika mchakato wa uchaguzi walau Kenya kuna misingi ya Haki na sio Tanzania wala Uganda na mataifa mengine ni kunaukandimizaji wa haki mkubwa sana katika kipindi cha uchaguzi! Ukoloni mpya unazidi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Wana bahati wafuasi wetu hawakupiga kura wote, vinginevyo kusingekuwepo na Upinzania Uganda

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania RIP Upinzani

    Upinzani Tanzania ulale pema peponi. Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto. Kauli ile ndio ilikuwa karata yao ya mwisho kabla kupigwa Three people let us count our cards. Bahati...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kuzalisha upinzani bila kujijua

    Kwa ujinga wanaofanya CCM wanajikuta wanazalisha kundi kubwa linaloipinga CCM pamoja na Serikali yake au kwa akili ndogo za Viongozi waliopo. Magufuri hakutumia nguvu kubwa kuirudisha CCM iliyokuwa kwenye shimo huku akipendwa na kila mtu mpaka wapinzani ingawa alikuwa dikteta uchwara. Baada...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi chama kikuu cha upinzani CHAUMMA?

    Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hata wafuasi wa vyama vya upinzani walitupigia kura kwa sababu vyama vyao vilikimbia uchaguzi.

  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Upinzani na Wanaharakati ijibu so called hotuba kwa weledi mkubwa, bila jazba wala vijembe kama alivyotumià. Onesha dhamira safi

    Mjibu kwa ufasaha, one point after another. Bila jaziba, dharau wala mipasho kama alivyotumia yeye. Consult wataalamu wa kila uwanja wa weledi. BILA KUCHELEWA as the saying goes: Strike the Iron when still hot! Mwonyeshe kuwa mna dhamira safi na nchi yetu.
Back
Top Bottom