upinzani

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  2. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkichagua Mbunge wa Upinzani hamtaona Maendeleo

    Samia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havikuanzishwa vije kupambana na CCM

    Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imeshatambua kuwa haikubaliki. Vikao vya ndani kila kona kuomba kura za huruma huku hakuna upinzani toka CHADEMA ya Lissu

    Hakuna upinzani madhubuti zaidi ya waigizaji waliopewa mashangingi yaliyopatikana kwa kodi za wananchi. CCM inatapatapa vikao vya ndani kuomba viongozi wa dini wasaidie kuomba kura Vikao vya ndani vya WanaCCM kwa wanaCCM...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ACT, Mpina awekewa mapingamizi ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Wagombea Urais NRA na AAFP

    Chama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na wagombea urais wa vyama vya NRA na AAFP Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao

    "Tume na mamlaka zote za umma zifanye kazi za umma, zifanye kazi kwa mujibu wa sheria, kama katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowataka wafanye. Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao, hivyo hakuna sababu yoyote ile ya kutumia mamlaka ya umma kuviadhibu...
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze kuzungumza sera sio kuzungumzia watu

    Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Kwenye vyama vya upinzani kuna madalali ambao wanatoka CCM

    Sulemani Saidi Ally Bungara, maarufu kama Bwege, ni mmoja wa wanasiasa wa Tanzania waliotambulika kwa ucheshi, ujasiri, na kauli zenye msisimko. Akizungumza na waandishi wa habari katika nyakati tofauti, Bwege amekuwa akitoa kauli zenye uzito wa kisiasa, kijamii, na hata kiitikadi. Soma Pia...
  10. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu kuhusu upinzani Tanzania,naomba ushiriki kupendekeza angalau jina la kitabu

    Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia 1“Machozi na Damu za Ukombozi” 2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
  11. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Nimefiatilia kampeni za upinzani hawana hoja, wanafanya comedy tu.

    Habari wanajf.kwa kweli nmeona wengi wanafanya vichekesho hawana hoja za msingi kuwashawishi raia za kuweza kuitoa CCM madarakani.
  12. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Umadhubuti wa CCM unategemea upinzani imara

    Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini unatutisha CCM wajibu mkubwa sana wa kuwa kiongozi na mhimili mkubwa na wa pekee wa umoja, maendeleo na ustawi wa Watanzania wote, hata wale ambao siyo WanaCCM. Hilo ni jambo la kwanza muhimu la kuzingatia tunapotafakari haya maneno ya Mwalimu Nyerere...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, inakuwa ngumu zaidi kwa upinzani kuchukua madaraka

    Kwa sasa siasa na uongozi si kwa ajili ya nchi tena, ni kama ajira au biashara nyingine, Serikali ilio madarakani imeajiri watu wengi ambao ajira zao zinatokana na chama kilicho madarakani, kwa sababu hii, na baada ya kuona kua wanaweza fanya chochote kwenye figisu na hakuna impact, ni ngumu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

    Ama kwa hakika hakuna kulipo salama! Kasikika Mwabukusi: 1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
  16. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Nauona Upinzani Ukiichukua Nchi 2030

    Habari wanajamvi, Kwanza kabisa naomba nianze kwa kudeclare my interest. Katika maisha yangu yote sijawahi hata siku moja kujihusisha na siasa kwa namna yoyote ile. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, wala sikuwahi kufungamana na itikadi za kisiasa za upande wowote. Mimi si...
  17. Mmawia

    JamiiForums Tanzania KWA HILI CCM WASHUKURU TANZANIA HAKUNA UPINZANI.

    Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala. Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi wameondoa yoga na kusema liwalo na liwe. Hii tabia ya kuwateulia wagombea wa majimbo na wakubwa Wacha he...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  19. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha upinzani na hakijawahi kuwepo, mkija kuelewa hii mtakuwa mshapoteza muda sana.

    Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo. Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
Back
Top Bottom