upinzani

  1. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

    Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000. Ameendelea kudai...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda sana mabadiliko lakini viongozi wa upinzani hawapendi mabadiliko ila pesa

    Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi. Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM Gwajima ni Manara wa Kisiasa aliyeko Kwenu, ila ana Mapenzi ya dhati huko UPINZANI endeleeni Kumlea ili aje Kuwachafua na Kuwavuruga zaidi

    Rais Samia na Mwenyekiti Taifa CCM endelea tu Kumlea Askofu Gwajima ( Manara wa Kisiasa ) ili awachafue na awavurugeni vizuri. Na nikusaidie tu Rais Samia kuwa Askofu Gwajima Wala hakupendi na hakukubali na hizo Sifa anazokupa ni za Kinafiki na anakudharau mno. Kama kuna Sumu kubwa, mbaya na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kosa kubwa kama Hayati Magufuli kuhusu upinzani

    Ni miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani. Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jana nimeona BBC Swahili usiku wakizidi kuudhalilisha upinzani Afrika

    Kikeke alimuuliza swali repota wake kutoka Dar kuwa huyo rais wa Zambia je unadhani atashirikiana na viongozi wengine wa vyama tawala ambavyo ni vya ukombozi akiwa na maana vyama kama CCM, ZANU PF na ANC. Jamaa wa BBC akajibu kuwa ni swali zuri sana hila siwezi lijibu mpaka tuje tumuone...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Tusimtafute mchawi, Upinzani wa Tanzania unakwamishwa na Wapinzani wenyewe

    Habari zenu ndugu zangu, Wana JF wenzangu, kuna watu wamekuwa wakijiuliza kwamba inakuaje nchi kama vile Malawi, Kenya, Zambia na kwingineko wapinzani walifanikiwa kushinda chaguzi mbalimbali na kuvitoa vyama tawala katika madaraka, huku kwa Tanzania hilo limeshindikana. Jibu ni kwamba wakati...
  10. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Tuna la kujifunza kutoka Zambia kwenye Uapisho wa Rais Hakainde Hichilema

    Habari Ya Machweo Wakuu. Kwenye sherehe nyingi za uapisho wa Rais kwa nchi za Kiafrika vyama pinzani toka nchi mbalimbali huwa ni nadra kualikwa. Rais wa Zambia Mh. Hakainde Hichilema amevunja mwiko kwa kuvialika vyama pinzani toka nchi mbalimbali za Afrika kuhudhuria uapisho wake! Nchi...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

    Wanaukumbi. CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani? Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vyataka mchakato wa Katiba mpya uanzie pale ulipoishia kwenye BMK ili kuokoa fedha na muda

    Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa. Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
  13. B

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro anasema hawezi kumkamata Askofu Gwajima mpaka apate barua. Je, hivi ndivyo anafanya kwa makundi yote?

    Hayupo ambaye hajavishuhudia vimbwanga vya askofu Gwajima kuhusiana na Corona na Chanjo zake. Hadharani tuhuma za Gwajima kumhusu mheshimiwa Rais na wasaidizi wake zimesikika. Haya yakiendelea ni kweli kuna Watanzania wasio na hatia wanaendelea kuwekwa hatarini kuhusiana na ugonjwa huu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Edgar Lungu Ameonesha Njia, Tuige Kulinda Amani

    Na Nkuruma wa Karne ya 21. Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka. Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania IGP wa Zambia aliwaonya wapinzani kuhusu kuandamana mwaka 2019, leo kiongozi wao ni Rais Mteule

    IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia. HII IMEKAAJE SASA
  16. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa chanjo ya ‘mwendokasi’ ya COVID-19 haupo Tanzania pekee

    Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali halisi ilivyo lakini watu wamejitolea kupita mitaani na magari ya matangazo kuhusu athari za...
  17. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo na CHADEMA, achananeni na dhana ya ukuu/ukubwa miongoni mwa vyama vya upinzani nchini

    Siku chache zilizopita, niliongelea swala la kuwataka CHADEMA kujiepusha na matumizi ya neno "chama kikuu" cha upinzani nchini kwasababu mbalimbali mojawapo ni katika kuimarisha upinzani nchini na kuondoa inferiority complex miongoni mwa vyama vingine vya upinzani. Katika dhana hiyo hiyo ya...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa upinzani Zambia uwe somo kwa polisi ya Tanzania na CCM

    Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu...
  19. mkulima gwakikolo

    JamiiForums Tanzania Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

    Usiku wa leo mda wa saa 0200, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nchi hiyo amtangaza Mpinzani wa Chama cha UNDP kuwa Rais wa nchi baada ya kushinda Kwa kura 2.8m akimuacha Rais Edga Lungu wa PF kwa kura kama 1M. VivA Zambia! ====== Hichilema is popularly referred to by his initials 'HH' or...
  20. Hell is real

    JamiiForums Tanzania Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

    Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda...
Back
Top Bottom