upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Belarus: Kiongozi wa Upinzani ahukumiwa kifungo cha miaka 18 gerezani

    Sergei Tikhanovsky ambaye aliongoza maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela kwa hatia ya kuandaa machafuko na kuchochea chuki Tikhanovsky alipanga kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 dhidi ya Rais Lukashenko lakini alikamatwa Lukashenko...
  2. JamiiForums Tanzania Taifa letu limekosa upinzani thabiti, nani atainyoosha CCM?

    Sisi Chadema ndio tumekosa hoja kabisa za kunyoosha na kuikosoa hii CCM ya wakandamizi. Act wazalendo ndio wamebakiza mipasho huko Twitter na kwa ujumla wameunga juhudi. Sisi Chadema hatuna mwelekeo wa kisiasa kabisa. Sioni ajenda au mkakati wa kupambana na Ccm zaidi ya kuwa washabiki wa...
  3. JamiiForums Tanzania Upinzani, wanaharakati; hamjahodhi ujuaji na Uhuru wa Kujieleza

    UPINZANI, WANAHARAKATI; HAMJAHODHI UJUAJI NA UHURU WA KUJIELEZA Katika maisha ya binadamu, moja ya haki ya msingi kabisa ya kiasili "natural right" ni kumpa binadamu uhuru wa kusema mbele ya mwenzake. Uhuru huu huitwa Uhuru wa Kujieleza, na huwa sio msaada bali kila mtu anastahili kuupata kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

    Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wapinzani hasa CHADEMA kusifia wastaafu wa CCM inatukanisha upinzani

    Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi na mashabiki wa upinzani kuwasifia viongozi wa CCM pindi wanpokuwa wamestaafu toka kwenye majukumu yao ya kiserikali/chama. Utamaduni huu unawachanganya wananchi hasa wale wenye uwezo mzuri wa kutunza kumbukumbu, kwani mara nyingi unakuta huyu mstaafu wanae...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kausaliti Upinzani Tanzania ?

    Jukwaa Huru ! Binafsi siamini kabisa kwamba Mbowe ana kesi yoyote ile, hii yote kwa maoni yangu ni geresha tu na siajabu hata Mbowe analala kwake na siyo Mahabusu. Kwa nini nasema hivi ? Iweje Mbowe awe na kesi na yuko Mahabusu kwa miezi sasa halafu kila mtu yuko kimya? I mean Askofu Shoo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani si Uadui: Julius Malema, Raha siyo Raha?

    Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF: Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana. Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya? Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui. Siyo siri...
  8. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani tusaidieni Watanzania kujibu maswali haya tafadhali

    Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni. Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika ikiwemo Tanzania tumeshuhudia uanzishwaji wa vyama vingi ambavyo vinasema kuwa kuna njia rahisi sana ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe; Mgao wa Umeme na Maji: Pengo la Upinzani bungeni laonekana

    Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao! Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta. Nionavyo, Wabunge wa Upinzani...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zipo kwa ajili ya upinzani wa vyama kuliko mambo mengine

    Hili suala kiukweli nchi za Afrika zimejikita kutokomeza upinzani wa vyama kuliko vitu vingine. Poleni Uganda kwa matukio ya kigaidi. Nchi ya Uganda ni bora kupoteza pesa kwa ajili ya upinzani hata kutumia jeshi lakini kuliko kutafuta usalama wa yale yaliyotokea Jambo moja la Afrika ni kama...
  11. JamiiForums Tanzania Kama siyo Magufuli kuwaokoa 2015 na agenda ya mabadiliko CCM, leo ingekuwa chama cha upinzani

    Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania MUNGU ametuumba kusahau milele bila kukumbuka. Mungu aliwaumba Watanzania kuwa wapole na wavumilivu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa Mbowe amebambikiziwa kesi kwasababu ya mambo ya kisiasa

    Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuachane na soka la upinzani tubakie na free style

    Tanzania kama nchi hatupigi hatua yoyote kwenye soka la upinzani. Si kwa Afrika Mashariki(CECAFA), sio Afrika(CAF), wala dunia(FIFA) Tunazidi kujidanganya kua pengine kesho mambo yatakua mazuri, sijui tupeane muda hususan kuwapa muda makocha na blahblah kibao Mwaka hadi mwaka viwango(quality)...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba chama cha upinzani kikishika madaraka kitaleta maendeleo ni kujidanganya!!

    Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
  15. JamiiForums Tanzania Suala la wamachinga; Nchi imekomaa au upinzani umepata pigo kwenye mfumo wake wa uzazi?

    Kwa kawaida tulitarajia... 1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo. 2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa. UHALISIA 1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo. 2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao. TATIZO NI...
  16. JamiiForums Tanzania Sitaki niwe mnafiki; siasa za Vyama vya Upinzani zinatakiwa kubadilika kimtizamo kulingana na nyakati

    Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo. Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali...
  18. JamiiForums Tanzania Historia inathibitisha kuwa Kiongozi mkubwa wa upinzani anapofungwa, mabadiliko ya kidemokrasia yanakaribia

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa historia na msomaji mzuri matukio ya kisiasa duniani na mabadiliko ya kidemokrasia katika nchi mbali mbali na hata kwenye ukombozi, utakubaliana na mimi mabadiliko ya demokrasia na katiba katika nchi hizo yaliambatana na maumivu makali ya viongozi wa vyama vyama vya...
  19. JamiiForums Tanzania Belarus: Serikali yaainisha chaneli maarufu za Upinzani kama Mashirika yenye itikadi kali

    Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili. Chaneli katika Mitandao ya Kijamii zilitumika kwa wingi katika kuandaa maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander...
  20. JamiiForums Tanzania Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

    Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema. Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm. Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…