upinzani

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba chama cha upinzani kikishika madaraka kitaleta maendeleo ni kujidanganya!!

    Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
  2. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Suala la wamachinga; Nchi imekomaa au upinzani umepata pigo kwenye mfumo wake wa uzazi?

    Kwa kawaida tulitarajia... 1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo. 2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa. UHALISIA 1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo. 2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao. TATIZO NI...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Sitaki niwe mnafiki; siasa za Vyama vya Upinzani zinatakiwa kubadilika kimtizamo kulingana na nyakati

    Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo. Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali...
  5. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Historia inathibitisha kuwa Kiongozi mkubwa wa upinzani anapofungwa, mabadiliko ya kidemokrasia yanakaribia

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa historia na msomaji mzuri matukio ya kisiasa duniani na mabadiliko ya kidemokrasia katika nchi mbali mbali na hata kwenye ukombozi, utakubaliana na mimi mabadiliko ya demokrasia na katiba katika nchi hizo yaliambatana na maumivu makali ya viongozi wa vyama vyama vya...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Belarus: Serikali yaainisha chaneli maarufu za Upinzani kama Mashirika yenye itikadi kali

    Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili. Chaneli katika Mitandao ya Kijamii zilitumika kwa wingi katika kuandaa maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

    Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema. Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm. Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe angefungwa zamani sasa hivi Upinzani Ungekuwa Umeshakufa. Na hii ndio namna Bora ya kutumia Akili kuzuia Jambo kuliko nguvu

    Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima. Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake wanaokosea. Alishamtetea Zitto Mara kaadhaa. Kuongoza upinzani Afrika na ukasimama ni zaidi ya kuwa...
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Kuna wanachama wa Upinzani 400 gerezani halafu mnasema kuna utulivu?

    Nasikitishwa sana na wanaosema eti Tanzania kuna amani na utulivu wakati wanachama wa chama wa CHADEMA takribani 400 na zaidi wako gerezani kwa kesi mbali mbali za kubambikizia za mauaji na uhujumu uchumi, huo utulivu unatokana na nini? Haikutosha mmeamua kumtupia kesi ya Ugaidi mwenyekiti wao...
  10. Frustration

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa matukio ya ugaidi, upinzani na vyombo vya ulinzi Tanzania

    Sina tafsiri halisi ya GAIDI ya Tanzania ila TERRORISM /noun the killing of ordinary people for political purposes. UGAIDI/jina[nomino] ni kuua watu wasio na hata kwa mlengo wa Kinshasa. MAANA YA HATIA Hatia ni ile hali ya kuvunja sheria au kuwa na kosa kisheria. MAANA YA BILA...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Tofauti kubwa ya wadau wa upinzani wa Kaskazini na sehemu nyingine

    Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio barabara au madarasa ya shule. Ni sehemu ambayo ilikuwa na barabara nyingi za lami na shule nyingi...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yaondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani

    Serikali ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa madarakani rais Yoweri Museveni ambaye ametawala kwa kipindi cha miaka 35. Besigye, amegombea nafasi ya urais mara nne na alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

    Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo. Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani. Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa. Britanicca
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Wabunge wengi wa CCM wakashindwa kurudi 2025 na upinzani ukalamba dume

    2020 Kulikuwa na upepo wa ajabu kwa wabunge wengi wa CCM kwani walibebwa kama watoto wachanga na JPM na Livingston Lusinde ni shahidi kwani yeye alisema kuwa kunawabunge hata kwa kuzikiri bila nguo wasinge rudi ila Magufuli aliwabeba na mbeleko. Taarifa nilizo zipata kutoka chanzo cha uhakika...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Besije alienda kenya kupata ushauri wa kuendesha siasa za upinzani. Angetaka kujifunza kwetu angeambulia nini!?

    Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Iwe uongo au kweli, hapa Upinzani wana cha kujifunza

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa. Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini upinzani Tanzania Wana rasilimali watu wachache sana kuliko CCM!?

    Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha. Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM kwenye hazina yao. Nadhani ndiyo sababu hata inawawia ngumu kubadilisha viongozi wao hasa wakuu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania au CHADEMA wana hatimiliki

    Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha Democrasia na Maendeleo Chadema kina baka hadi ukuu wakati kina mbunge 1 wa kuchaguliwa. Nini tafsiri...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa Kizazi Kipya cha Uongozi wa Upinzani haukwepeki?

    Uhitaji wa kizazi kipya kabisa cha upinzani chenye agenda mpya, dira mpya na mwelekeo mpya wa kisiasa haukwepeki tena kutokana na kwamba CCM chini ya Mwenyekiti wake rais JPM kilichukuwa mwelekeo mpya kabisa wa kujihuisha kama chama kongwe duniani kilichobeba dhima ya uhuru wa nchi yetu na wa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Mvutano upinzani na dola mfitini ni katiba?

    Nyanja: Demokrasia/Utawala Bora Ninaandika andiko hii nikijuwa wazi kabisa kuwa wapo watakaopingana nami jambo ambalo ni kawaida kabisa kwa ufahamu wangu, sijui wa kwao, lakini pia raha ya kujifunza ni kutofautiana kimantiki ya hoja, kwa sababu ni ustaarabu kukubaliana kutokubaliana (agree to...
Back
Top Bottom