Kuna kipindi ule upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha ulizidi kiwango chake , hasa kile kipindi cha mwendazake...sidhani kama ule upepo ungemuacha huyu jamaa yangu mwenye tabia za m
Kihaya😀..
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
Gati linaloelea majini lililojengwa Gaza na Marekani kupitishia misaada kabla kufanya kazi yake limeshakumbwa na matatizo mara kadhaa na mwishowe limebomoka kutokana na upepo mkali.
Habari zinazoendelea kutolewa ni kuwa dude lote limeanza kuzama na haitokuwa rahisi kuliokoa.
Muda mfupi kabla...
Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba.
Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa na utafiti katika chuo kikuu cha California, Los Angeles.
Mwaka 2011 Zunyou aliwaacha mashabiki...
Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene.
Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
Mijadala mikuu nchini kwa sasa ni umuhimu wa katiba mpya itakayolinda rasilimali za Tanganyika na Muungano kwa ujumla.
Mjadala mwingine ni kuhusu rushwa katika uchaguzi na namna ambavyo CCM inatuhumiwa kutumia fedha hata kwenye chaguzi za vyama vya upinzani
Mjadala wa tatu ni kuhusu ACT...
Ijumaa, 5.4.2024 mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali vilileta maafa makubwa Kijijini Lyasembe, Kata ya Murangi.
Jumla ya watu walioathirika ni: 685
Watoto 384
Watu wazima 301
Jumla ya majengo yaliyoharibika:
(i) Nyumba zilizobomoka (17):
17 za wanakijiji
(ii) Nyumba zilizoezuliwa...
Habari wakuu.
Leo nimeona nilete kwenu hii hoja kwa mfumo wa swali. Kama nililivyoliweka hapo kwenye heading kuhusu taswira au umbo lionekanalo kwa macho pale inavyowezekana, hawa viumbe ambao tunaaminishwa kupitia imani zetu kwamba wameumbwa kwa moto na upepo wanabeba taswira gani?
Upepo sote...
Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa.
Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani..
Wala sioni damage yoyote kwa kanisa katoliki.
Na hii ni kwa sababu, maneno ya papa yana loop holes nyingi mno na...
Nawasalimu Ndugu zangu.
Kuna ka upepo fulani kanapita hapa nchini. Kwa siku napokea simu hadi 10 zinaomba hela.
Mimi mwenyewe najaribu kutafuta pesa ila imekuwa ngumu. Kila mtu analia na hata Biashara hazijachangamka kabisa.
Kipindi cha sikukuu kama hiki manunuzi yamekuwa ya chini...
Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini.
Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA".
Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
Mwaka 2023: Mabadiliko Makubwa katika Mchakato wa Uchaguzi Kupitia Teknolojia ya Dijitali
Katika miaka ya hivi karibuni, mchakato wa uchaguzi na shughuli zinazohusiana nao umepitia mabadiliko makubwa, yaliyosukumwa na maendeleo ya teknolojia ya dijitali. Hali hii imeleta mazingira mapya...
Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga.
Ndugu Paul Makonda
Wengi wanaamini kuwa umerudisha fadhila kwa kijana aliyepanda mbegu ya fikra ya uteuzi wako kama mwanamke wa kwanza kwa nafasi...
Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo desturi ya watanzania wenzetu ambao 90% ni ya wale waliokimbia shule, hivyo kujikuta wanaangukia katika mikono ya wanasiasa uchwara ambao sasa hivi wanawatumia vijana hao kwa malengo yao (wanasiasa) na familia.
Wanasiasa hao wamekuwa wakiwatumia vijana...
Wakati Israel ikijiandaa kuivamia Gaza, kulitokea kimbunga kikali sana na mvua kubwa iliyoahirisha mipango ya Israel kuingiza majeshi yake Gaza.
Hali hiyo imeweka presha kubwa kwa serikali ya Netanyahu kwanza kudeal na janga hilo la ndani kabla ya kupeleka majeshi Gaza.
Wakati huohuo Hizbollah...