upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  2. Kijana Hamim asaidiwe amuone Mh. Rais kumshukuru kwa moyo wake wa upendo

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam "Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia. Unaenda kufanya nini, watakupiga." Hayo ni maneno ya Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji...
  3. Kulikoni Upendo FM kujitoa online?

    Shalom. Upendo FM wamepatwa na shida Gani Hadi wajitoe online? Nimekua msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya maombi; Morning and Evening Glory, kile cha SAA Tano/sita mchana hadi saa Saba, ibada za jumapili n.k. kwa muda mrefu sana. Nashangaa ni week ya pili sasa wamejitoa kabisa online...
  4. Upendo, Muda na urafiki

    FAHAMU MAMBO MATATU(3) KWENYE MAISHA HAPA DUNIANI. [ ] MUDA. [ ] URAFIKI. [ ] UPENDO. • habari za wakati huu... Kijana unatumia vipi muda wako katika (nyakati hizi) Muda ni mali aya muda unakuwaje mali sasa maana muda wote tuko bize mitandaoni vipi tunatumia mitandao kufanya mambo SAHIHI au...
  5. Wachungaji wa Upendo TV kumuiga Mwakasege

    Sijui kama ni mimi tu, hivi kuna tatizo gani kila mhubiri anayehubiri upendo TV, awe Mchaga, Mhaya, Mndengereko, Msukuma au mnyakusa nakadhalika, anaiga sauti ya Mwakasege? au ndio wanaamini kuhubiri ni kutumia sauti ya Mwakasege? Yule mwenzenu ile sauti ni ya kinyakyusa, pamoja na kuishi...
  6. Ukiijua kweli hutoteseka kamwe

    Kuna watu hawaendi Msikitini wala kanisani, ila wako na Imani kubwa mno wako na matendo mema wanasaidia maskini wako na adabu wanamuheshimu kila mtu wenye dini zao na watu tofauti. Unajilipua... unategemea upate pepo ya Muumbaji inakuingia akilini kweli? Waliotetea waafrika hawapo kwenye vitabu...
  7. L

    Kanuni za "Udhati, Matokeo Halisi, Upendo na Nia Njema" zafungua enzi mpya ya mustakbali wa pamoja kati ya China na Afrika

    “Kanuni zilizotolewa na rais Xi Jinping wa China za "Udhati, Matokeo Halisi, Upendo na Nia Njema" zimefungua enzi mpya ya maendeleo ya pamoja kati ya China na Afrika.” Hayo yamo kwenye makala iliyotolewa na gazeti la Daily News la Tanzania yenye kichwa “Tanzania imepata mengi kutokana na Ziara...
  8. D

    Hongereni 107.7 Upendo fm Radio kwa kujitenga na Waongo

    Tuwapongeze upendo Radio kwa kusimamia maadili ya Vyombo vya habari Radio nyingine zote sasa zimekuwa ni Kamari,Kamari hata ile ya taifa ni kuhamasiha Kamari tu, matangazo ya waganga wa Kienyeji, Manambii ambao mienendo na matendo yao yanatiliwa shaka, shuhuda za Uongo kuna Radio moja kila...
  9. W

    Mama Janeth Magufuli nikikuangalia naona upendo, nikikusikiliza nasikia upendo; Mungu akubariki sana!

    Kupitia TBC jana, katika kipindi kinachozungumzia yaliyojiri wiki hiyo, nimekuona ukiwa katika ibada/misa ya kumuombea marehemu mume wako ambaye pia alikuwa raisi wa JMT. Ulipokaribishwa mbele kwa ajili ya kutoa neno, kinywa chako kilinena vema kabisa. Katika mengi uliyoongea, kamwe hukusahau...
  10. Njia 3 Rahisi Za Kukusaidia Kuhakikisha Unadumisha Upendo Wa Mwanamke Wako

    Ukiwa na mwanamke mwenye furaha ni raha sana ndani. Vitu vinakua rahisi, pia utaweka nguvu zako kwenye kazi/ biashara kwa amani. Raha ya upendo wa dhati. Wote mnakua mpo kwa ajili ya kuhakikisha mwenzio ana furaha. Wengi hudhani mwanamke anakua tu ivo bila kushughulika. Lakini ukweli ni kuwa...
  11. 5 tricks to make girls or women chase you

    I hope every Tanzania back home is doing pretty fine. Today I would love to share with a brief talk on how as man you can trick women and girls so that they may forced to chase you Basically this a Psychology Thread so if you can picture yourself as a person capable of doing these following...
  12. Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

    Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia. Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema...
  13. M

    Imani, Upendo na Utendaji kwa Wateule wa Rais Samia

    Moja ya sifa ya Kiongozi bora ni kuibua viongozi wengine na kupelekea kutimiza ndoto zao na hii imekua moja ya sifa kubwa na zakipekee za Rais Samia Suluhu Hassan. Kwenye teuzi za hivi karibuni Rais Samia ameweka imani kwa maingizo mapya kwenye Baraza la Mawaziri kwa kumleta Hamis Mwinjuma...
  14. Amri Kuu ni Upendo. Kwaresma Hii na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Watanzania Tupendane, Tuonyeshane Upendo Kama TotalEnergies Inavyofanya

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Kwa Maslahi ya Taifa NIpashe ya leo. Safu ya Kwa Maslahi ya Taifa, inazungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, kwa vile sasa tumeingia kipindi cha Kwaresma, mfungo wa siku 40 kwa ndugu zetu Wakristo na mfungo wa mwezi...
  15. Nimrudishie nini Bwana?

    Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12. Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa umenipa makumi mawili matatu hapa kwenye ardhi yako nikiwa timamu na afya tele, ahsante Mungu kwa...
  16. Napoteza hamu ya mahusiano muda mfupi baada ya kuyaanzisha. Je, hii ni hali ya kawaida?

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua...
  17. Njia ya kuongea na mwanamke ipasavyo ili afunguke kukwambia kila kitu

    Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke anaona haujali hisia zake. Njia hii ya kumfanya mwanamke aongee unaweza kuitumia kwa mama yako...
  18. Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake. Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa. Sent from my TECNO...
  19. Ifahamu siri ya kubwa ya ndoa

    Hamjambo wanangu? Kama mwanamke mpumbavu anao uwezo wa kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, je, vipi kuhusu mwanaume mjinga, anaweza kuivunja ndoa yake kwa kutumia nini? Anyways, kutembea kwingi kuona mengi. Sasa nisikilizeni wanangu na wajukuu zangu; mwanamke katika ndoa anahitaji...
  20. Fanya Hivi Kama Mwanamke Alikupenda Ila Sasa Amepunguza Upendo Kwa Kuwa Haukumjali Lakini Bado Unamuhitaji.

    Aidha ulikua unamchukulia poa tu au kazi zimekulemea kiasi kwamba mahusiano yakaterereka. Kipindi chote iko mwanamke huvumilia lakini akishachoka kuvumilia basi. Mwanamke hupenda taratibu vilevile upendo hupotea taratibu, na kipindi chote hiko hukupa ishara kwamba fanya mpango unijali la sivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…