Halafu Mungu aingilie kati watu tusifanye sherehe? Thubutu! Yaani ntashangilia hadi nizime, nikiamka naanza upyaaaaaaa!

Halafu Mungu aingilie kati watu tusifanye sherehe? Thubutu! Yaani ntashangilia hadi nizime, nikiamka naanza upyaaaaaaa!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,955
Reaction score
8,122
Wakuu,

Si hata Mungu mwenyewe anaona vile wanatusogezea sabufa na wali wa hitima!

Yaani yeye na genge lake wakiendelea kuanguka mmoja baada ya mwingine mabosi huo msiwe na hiyana, Boss usitubanie siku hiyo, tujipatie siku zetu mbili za kusherekea kwa kichwa😌😌

Siku hiyo ntapiga maji hadi nihakikishe nazima😂😂😂, nikiamka tunaanza upyaaaaaaaa!

Aki nimekasirika hadi nimekarika tena, kama huyu Mungu yupo kweli na anasikia vilio vya wananchi hawa waliobagazwa na kupokwa uhai basi atatenda na kila aliyeidhulumu nafsi ya mtu atapata mshahara wake.

Nimekosa hata hamu ya kula ugali wangu hapa😒😒
 
Kwa aina hii ya kiburi na dharau, nafikiri mko sahihi kabisa kushangilia kwa raha zenu.
 
Back
Top Bottom