uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini BBC hua inapenda sana kuzua taharuki kwanza kwa jamii kwa upotoshaji, halafu inakuja kurekebisha uongo huo wa makusudi baadae?

    Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi. Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania. Na hapa sio...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi uongo ni ugonjwa au tabia tu mbaya ?

    Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu . Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ? Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na wakati mwingine kutaka kujilinda, au kutafuta faida hasa kwenye ishu za pesa, na wakati mwingine mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Ila uongo nao kazi kweli kweli

    Yani unasema uongo ili kuulinda uongo unongezea uongo mwingine juu yake. Ukiulizwa kwanini ulidanganya unaongezea sababu za uongo tena.
  6. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
  7. JamiiForums Tanzania Ni uongo gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli?

    Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu. Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti? Shiriki mawazo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa lips za mdomo wa mwananamke ni sawa Uke ?

    Eti ukubwa wa lips za mdomo wa mwananamke ni sawa na Uke yake.Kuna yoyote amewahi kufanya utafiti huuu?
  9. JamiiForums Tanzania Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

    Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

    Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana. Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar]. Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar. Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane. Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu...
  11. JamiiForums Tanzania Boniyai afika Polisi Oysterbay kuhojiwa, asema tuhuma za kupanga maandamano ni za uongo, aulizwe Kihongosi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai ameripoti katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Juni 16, 2026, akisema amehojiwa kuhusu tuhuma za kuratibu maandamano yanayotarajiwa kufanyika Julai 7, 2026 akisema tuhuma hizo ni za uongo. Akizungumza...
  12. JamiiForums Tanzania Video ya Paloma nyimbo ya Mr P ft Singh ndo video ya uongo zaid kuishudia maishani mwangu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ndani Kuna mpaka maji ya kandoro anapewa mke wa tajiri anywe, hahaaaaaa ila hii dunia hii Sasa hapo mgerasi kama MIN-me akiiitazama anajifariji et IPO siku naye atapata demu wa kishua Dah acha nicheke mie LONDON BOY
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iache Uongo. Walisema kufikia Juni 2026 Bwawa la Kidunda litakuwa limekamilika

    Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu mwaka jana walijitapa kuwa bwawa la kidunda litakamilika kufikia June 1 2026 Tena wakijitapa kuwa mradi upo asilimia 40 kwa wakati ule Leo hii ni june lakini ndo kwanza mradi wanasema upo 50% means kwa miezi 7 yote wamejenga 10% tu means kwa hesabu ya haraka...
  14. JamiiForums Tanzania Taifa lisipoheshimu logic hutawaliwa na kelele, hofu na usanii wa uongo

    “Logic is a practical science of correct thinking.” Hii si sentensi ya darasani tu. Ni msingi wa ustaarabu wa mwanadamu. Ni tofauti kati ya jamii inayotafuta ukweli na jamii inayotafuta washangiliaji. Ni mpaka unaotenganisha dola yenye busara na dola inayotegemea jazba, propaganda na uaminifu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni makosa kujadili nondo alizoshusha Jaji Warioba juu ya uongo ulioelezwa na tume ya Jaji Chande ukiwa kazini?

    Nimeshangaa sana mwalimu mwenzangu kunibwatukia na kunizuia kujadili suala muhimu kama hili Sawa tupo kazini. Ofisini tusijadili kisa tu sisi ni walimu? Kosa nini kuwa mtumishi wa umma usijadili mustakabali wa taifa lako?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaifungia Televisheni ya Ufaransa 'TV5 Monde' kwa habari za uongo

    Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na mamlaka ya kusimamia vyombo vya habari nchini humo siku ya Jumanne Mei 5, 2026. Hii si mara ya kwanza...
  17. JamiiForums Tanzania Mtu ameamka tu akaandika "hezbollah anamchakaza israel vibaya mno". Mimi nafikiri ni wakati sahihi JF kuanzisha community notes ili kuuchamba uongo

    mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁 Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed. Itengenezwe community...
  18. JamiiForums Tanzania Je ni kweli wanawake wanapenda pesa au ni uongo unaoenezwa na watu wasio na pesa?

    Wakuu naomba nielewe kidogo bila kubishana 😅 Je ni kweli wanawake wengi wanapenda pesa, au ni kauli tu ya watu waliopitia experience tofauti na wale wanaotafuta excuses na faraja ya umasikini wao Nauliza kwa ajili ya kuelewa mtazamo wa watu 🙏 NACHANGANYIKIWA MIMI Funny boe
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye nyakati hizi, uongo hautaiweka huru CCM ya Samia itateseka sana

    Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa. Alafu kuja kudanganya umma eti kuna vijana walililpwa fedha ili waandamane Oktoba 29 hii haiwezi kuisaidia CCM...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwenye ukweli uongo hujitenga!, Baada ya idadi ya Vifo 518 kutolewa; Je, tuwashitaki wazushi waliotuchafua kwa Uzushi wa Maelfu ya Vifo?

    Wanabodi Moja ya jambo kubwa lililokuwa linasubiriwa sana na kwa hamu kubwa na watu wengi kwenye Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, kubwa la kwanza ni idadi ya vifo vilivyotokea kwenye vurugu hizo za October 29, 2025 na la pili kubwa ni who ordered the killings?. Ripoti imetoa tuu idadi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…