Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika..
by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana..
unawakaaaa yani.
simu ina bando hadi la hakiba..
Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2...
Kama kawaida yako na Leo umeharibu Uchaguzi wa Umoja wa Vijana Kawe kwa Kuwahonga baadhi ya Watendaji wa CCM Kata ( Hasa Mlevi Dokta Komba ) ili wahakikishe Mpinzani wako Mkuu Mwanamama Nasma hapiti na asiwepo katika Kinyang'anyiro.
James Rocky Mwakibinga tokea nikufahamu ( na bahati mbaya au...
Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa.
Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha mabinti, niliamua kutoka na pisi kali tu, yaani nikiona demu mzuri mwenye hips na tacle nikipata...
Salama wadau, nimekutana sehemu na hili andiko la ndugu yetu, nadhani linaweza kusaidia jamii, wale wenye Kisukari na ambao hawana kwa lengo la kujilinda
--------------------
JE UNASUMBULIWA NA KISUKARI NA UNAPENDA KUJITIBU MWENYEWE KWA LISHE?
Katika miaka ya karibu kumekuwa na ongezeko kubwa...
Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka.
Huwa napata raha ya ajabu sana timu kama SIMBA SC pamoja na MAN U either zikifungwa ama zikipatwa na kitu chochote kibaya.Nafarijika zaidi...
a. Lyrics
b. Instrument's
c. Beats
Mimi instrument + beat tamu lain hunifanya nioze mazima kwenye music
Mfano wa nyimbo zinazonimalizaga
Bryan adams - everything I do*
Harmonize - one question
Enrique - hero
Heart - alone
Ken G - forever in love
Maher zain - forgive me
Marco hendez - if ur...
Salam wakuu,
Straight to the point. Kuna jamaa yangu anaitwa bwana X, huyu mwamba anatabia zote za kihuni unazozifahamu. Dazi,tungi, ma tattoo hereni sijui takataka zote na tabia kwa ujumla ni mshenzi pro max. Ana muonekano au haiba ya kuvutia kiukweli msela ila tatizo kubwa mwana uhuni...
Hello!
Nadhani kila mtu anakitu ambacho kinampa furaha akikifanya Mimi binafsi kungalia movie ndio hobby yangu kubwa Sana ,na enjoy Sana kuangalia.
wakati nipo mdogo nilikuwa naangalia Sana muvi hadi nasahau muda kula yaani nilikuwa nikienda asubuh basi kurudi jioni ,nikirudi home nachezea...
Je, ni Tabia Gani hupendi au unapenda ukiwa safarini
Binafsi Napenda kukaa na binti nikiwa safarini ila asiwe na Smartphone kubwa kunizidi. Utakuta wewe una Tecno pop2 F harafu yeye ana iPhone 13. Yaani unakuwa unaona aibu hata kuitoa.
Unakuta kabinti kanajikuta kako busy na Simu kameweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.