Kama wewe ni developer, una Ideas, ya software, unapenda mambo ya Programming Huu uzi ni kwa ajili yako

Kama wewe ni developer, una Ideas, ya software, unapenda mambo ya Programming Huu uzi ni kwa ajili yako

claudematemu

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
317
Reaction score
480
Wadau ..kwema

bado kumekua na mijadala mingi sana kuhusu Programmers au developers wa Kibongo lakini nitaelezea hapa matatizo kulingana na uzoefu wangu nitaelezea Sababu tatu tuu zinazotufanya developers wa kibongo kuendelea kuwa Maskini.

1.FINANCIAL STABLE
Hili ni tatizo kubwa saana unakuta mtu ni mzuri sana kwenye coding anajua sana ila Hana hela ya server, kupelekea projects sokoni so unakuta projects unabaki nazo tuu kwenye PC yako huna pa kuzipeleka.

2.LACK OF GOVERNMENT SUPPORT
Ni jambo la aibu saana huu mwaka wa 2025 serikali bado inatumia analogy yaani unaandika records kwenye makaratasi tena very sensitive taarifa kama za hospital, kilimo, wanafuzi walishindwa kwenda shule waliopata mimba , etc ni aibu na hata ukiwapelekea project ambayo ni potential watakupiga chenga.

3.KULIPUA KAZI(CONSISTENCY SMARTNESS)
Hapa ndo shida ilipo unakuta unapewa kazi utengeneze mfumo , mfumo una bugs kibao UI mbovu, yaani vuluvulu unalipua kazi Trust me ukifanya kazi vizuri SMARTNESS utapata wateja wazuri tuache kulipua kazi kama unaona kazi ni ya hela ndogo kataa jipe standard yako jipe value.

LENGO NI NINI LA HUU UZI?
Kama wewe ni developer Competent toa wasifu wako hapa, kama wewe una Idea toa ideas yako hapa utapata wataalamu ideas ifanyiwe kazi
ILI SOFTWARE DEVELOPMENT IFANYIKE LAZIMA KUWE NA WATU WATATU
1.DEVELOPER
2.FINANCIAL MANAGER.
3.MARKERTING MANAGER.

WASIFU WANGU
LANGUAGES
1.JAVASCRIPT,PHP,DART,KOTLIN
FRAMEWORK MOBILE
2.FLUTTER ,REACT NATIVE
3.WEBSITE FRAMEWORK
REACT, ANGULAR
4.DESKTOP APPLICATION
ELECTRON
5.DATABASE
MYSQL, POSTGRESS, MONGODB,FIREBASE ,SQLITE

LET'S US TO CONNECT TOGETHER.
 
napenda sana haya mambo ya programmiing ila ndo kwanza ninaanza kujifunza python
 
Back
Top Bottom