unakumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 6 Pack

    Miaka ya 80, 90 hadi 2000 Dar ilikuwa inachangamshwa na ngoma mbali mbali za kitamaduni, je wewe unakumbuka ngoma ipi?

    Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma hiyo ni wamakonde haswa wale waliochanjwa chale. Siku hizo hizo za ijumaa hadi jumapili ilikuwa...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Ukisikia jina la beki Kelvin Yondan unakumbuka wapi?

    haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
  3. Suley2019

    Ukisika maneno haya unakumbuka wapi?

    Salaam Ndugu zangu? Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu. Je maneno haya umeshawahi kuyasikia Ngawira Ndarama Fagilia Shangingi Chekibobu Utajiju Utaji JJ Unakumbuka wapi au mwaka gani? Maneno gani mengine unayakumbuka?
  4. Mohammed wa 5

    Je Unakumbuka Nini?

    Nilikuwa fundi Sana wakutengeneza box kwenye Shati la shule
  5. BARD AI

    Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?

    Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania. Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati akisoma International School of Tanganyika. Majani amehusika kwa kiasi kikubwa kujenga heshima ya...
  6. JanguKamaJangu

    Wahu (mke wa Nameless) ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi, unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?

    Wahu, yule mke wa Nameless ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi,2023 unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?
  7. Analogia Malenga

    Unakumbuka kazi za hawa wakulungwa wa Uganda

    UGANDA CENTRAL ( +256) Hili lilikuwa jina la kipindi cha ngoma za Uganda pale East Africa Radio miaka hiyo (sijajua kama bado kipo maana sisikilizi tena redio). Umewahi kusikiliza muziki wa Uganda? Ulivutiwa na kazi za nani? Wimbo gani unaukumbuka mpaka leo? Binafsi nawakumbuka wafuatao na kazi...
  8. Deadbody

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya mapenzi?

    Dah nakumbuka me ndio nilikuwa naanza nikakutana Na demu Fundi balaa basi nilikuwa nazidiwa possession kila round. Me ndio sijui chochote zaidi ya stori za kitaa.Nikapapasa kama nilivyokuwa nasikia maana wanasema sijui kumwandaa basi ikawa fujo tu ,Mara nibonyeze tako Mara nishike ziwa full...
  9. Dr am 4 real PhD

    Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

    Can't Be With You Tonight You Caught My Eye That Night We Met Dreaming of a Little Island Turn Back the Time Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas 🎄 Moja udogoni udogoni baada ya kula pilau na kunywa soda Inachukuliwa Redio cassettes then zinawekwa...
  10. crome20

    Kauli/Maelekezo/Marufuku zilizowahi kutolewa na viongozi na hazifanyi kazi sasa. Unakumbuka zipi?

    Hebu tujaribu kuwakumbusha viongozi kuhusu kauli ambazo walikuwa wanaamini ni za kujenga lakini kwa namna moja au nyingine hazikuwahi kutekelezwa, au utekelezaji wake unasua sua 1. Marufuku ya kuosha magari kwenye barabara za lami kwamba ni chanzo cha uharibifu wa barabara 2. Marufuku bodaboda...
  11. Mcqueenen

    Unaikumbuka mara yako ya kwanza?

    Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza? Ladies and gentlemen, how y'all doing? I have some true story to tell. I hope you cherish thee. kwanza naanza na disclaimer: I was 14 at the time Sasa tuweke kimalkia pembeni twende mojakwamoja kwenye story Nakumbuka mpaka nilipofika form 2 nlkuwa bado...
  12. mchemsho

    Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    Salaam wana fikra pevu. Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu (mf. Kanisani, sokon, baa...etc) mlipokutana kabla ya kuanzisha mahusiano? Mwisho kabisa, ni sehemu...
  13. EAPGS

    Ni mara ngapi huwa unakumbuka kukagua filter hizi za gari yako?

    Wanajf , nawasalimu. Leo tena ningependa tukumbushane mambo haya ya msingi kwenye magari yetu. Ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa matumizi makubwa ya mafuta au ya wastani. Moja kati ya njia ambazo watengenezaji magari walitumia katika suala zima la kuifanya gari itumie mafuta kidogo ama...
  14. Slim

    Kama ulishawahi kusweka mahabusu unakumbuka kituko gani au kimbwenga gani ulichokutana nacho huko ndani?

    Salaam Wakuu! Kwa wale walioshawahi kukaa mahabusu ni kituko gani unakumbuka au tukio gani unalikumbuka ulikutana nalo huko ndani wakati ukiwa unanyea ndoo na uliingia kwa kosa gani? 😊 😊 Tupieni uzoefu🤭
  15. The Dictator

    Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

    Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano 👉Waptrick 👉Toxicwap 👉Redwap Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
  16. Extrovert

    Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika mahusiano huwa tena sio raha bali karaha tu na hapa ndipo hekima hutakiwa ku kick in. Hii ni kutokana...
Back
Top Bottom