Kauli/Maelekezo/Marufuku zilizowahi kutolewa na viongozi na hazifanyi kazi sasa. Unakumbuka zipi?

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Hebu tujaribu kuwakumbusha viongozi kuhusu kauli ambazo walikuwa wanaamini ni za kujenga lakini kwa namna moja au nyingine hazikuwahi kutekelezwa, au utekelezaji wake unasua sua

1. Marufuku ya kuosha magari kwenye barabara za lami kwamba ni chanzo cha uharibifu wa barabara

2. Marufuku bodaboda zisizo na vibali kuingia katikati ya jiji la DAR

3. Jogging zinachelewesha watu kuwahi ibada, na ni hatari kwa usalama

4. Atakaye msaidia ombaomba barabarani anakiuka sheria, apeleke msaada wake kwenye vituo maalumu faini 200,000/=

6. Marufuku kwa kumbi za starehe sisizo na sound proof kufanya shughuli zake

7. Ukiibiwa simu yako janja, ripoti mara moja kituo cha polisi na number ya utambulishi (IMEI) na simu yako itapatikana

----- Unaweza kuongeza list kwa ajiliya kukumbushana
 
wakazi wa daslama ni marufuku kuja mjini kama hamjaoga.. ila na mgao huu wa maji hawaogi na mjini wapo.
 
Back
Top Bottom