Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi

Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
Nimecheka mkuu maana umeongea ukweli kuna mchungaji alisema mke wake anamletea vitimbwi anajua hatamuacha au kuchepuka na saa ingine hata unyumba haupati😅😅😅
 
Mwanamke gani amewahi kumpenda mwanaume?

Kimsingi ukiona mwanamke yupo kwako, ujue amekuja kula pensheni yake kwako; ikiisha, anasepa kwingine. Ni vile tu wanaonaga aibu kuondoka mapema.
 
Back
Top Bottom