Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika.
Wote wamekutana ni WANAFIKI...
https://www.instagram.com/p/DK-osE9s8y9/
Trump amejifanya msuluhishi wakati ni kidhabu na mnafiki mkubwa. Pamoja na kujificha kote, sasa amejifichua. Si aingie mwenyewe aone cha moto kama ilichoona Marekani toka kwa Muhamed Farrah Aideed huko Somalia.
Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze.
Watu wanatekwa
Watu wanauawa
Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini.
Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa.
Halafu anatokea mtu...
Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana
Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu.
Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma.
Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali...
Bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 inatuonesha dhahiri kuwa tulipigwa na kutapeliwa — jamani ebu imagine! Serikali imetangaza bajeti ya TSh trilioni 49.35, tena kwa mbwembwe zilezile za kila mwaka, kana kwamba Watanzania wote ni mabubu na vipofu wa kifikra.
Hii siyo bajeti, huu ni mkakati wa...
Habari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi...
Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k
Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila...
Nyinyi wanasiasa wewe ni CCM umebahatika umeshika dola haina sababu kwa kuwa wewe una dola unamuona CHADEMA na wananchi unaona ni wabaya, hii ni nchi yetu sote
Siku tutakapopeana makavu live bila chenga, machawa watakaibika. Siku hiyo itakuwa mwanzo sahihi wa kuitokomeza rushwa na kuunyonga unafiki.
Nakumbuka tarehe 13/03/2023, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka — aliyewahi kuwa mtumishi wa mashirika ya kimataifa, Waziri wa Ardhi, Mbunge wa Muleba —...
Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
Matatizo mapya makubwa Tanzania ni
1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa.
2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa...
Kama unasikiaga UNAFIKI lakini hujawahi Kuuona,
Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana AMANI.
Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa.,...
Sogea karibu..!
Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote."
Ukweli unaokoa muda na heshima!
Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
Katika nchi nyingi za Afrika, hususan Tanzania, viongozi wa serikali mara nyingi hujifanya wanakemea ufisadi lakini kwa uhalisia hawawezi kupambana nao. Huu ni unafiki wa kisiasa unaolenga kuwahadaa wananchi. Zifuatazo ni sababu kwanini viongozi waache tabia hii.
1. Wananchi Wanaanza Kuzinduka...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF.
Shirikisho la soka barani humo limekuwa likichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika, hasa kwa Ligi ya Soka ya Afrika, ambayo imefanyika...
Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.