umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wazee ambao umri umeenda na hawajajipata Dar es Salaam The best and wise choice ni kurudi kijijini.

    Kuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya. Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni...
  2. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mke umri 20-32

    Huu ujumbe umetoka kwa ndugu yangu . Sifa zake Umri 35 Kazi Mwalimu wa secondary Kazi anaendesha Biashara pia Ana Kazi mbili Biashara na ameajiriwa government Kama Mwalimu . Elimu degree BAED Kabila muhaya Sifa za mke Umri 20-32 Kama Ana mtoto pia inaruhusiwa Elimu awe amefika form four...
  3. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Mnaofunga ndoa na watu ambao mmepishana umri kwa zaidi ya miaka kumi huwa mnaongea mnapokuwa chumbani?

    Tajiri huwa hasalimii kila wakati. Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22. Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26. Hivi huwa wanaongea nini huko chumbani. Kuna kipindi (kabla sijajiunga na KATAA NDOA, ) nilihitaji mke kwa ajili ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha

    INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetoa tangazo kuhusu watu wanaohusishwa kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  6. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Pili Umri kuanzia 20-40 (Binti wa Kiislam)

    Habari Wakuu!!! Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika) Umri 20-40 Ajue mapishi Ajue kujiremba na ni msafi. Usiwe na tumbo kubwa. Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili) Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali Kama sio mfanyakazi au...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

    Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani? Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 - 35 ndio umri mgumu zaidi kwa vijana wahitimu wa degree, Presha ya kupata mafanikio au kuwa mtu wa level fulani inakuwa ni kubwa mno

    Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
  9. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze umri wa kuanza kubeti (na sisi wenye miaka 14 tupewe nafasi

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+. Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza kamari ambayo katuletea. Maana leo vituo vya habari vya taifa vyote vinahamasisha sasa hii inatunyima...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?

    Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
  11. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G afariki dunia

    Voletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg, Pennsylvania. Inasemekana alikuwa katika uangalizi wa hospice wakati wa kuaga kwake. Voletta...
  12. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  14. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Usitafute mapenzi umri wa kutafuta pesa

    "USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA" Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA. Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa Nje Nje, Na Unazipata Haraka. Ila Kuna Umri Ukifika Hata FURSA Kuzipata Inakuwa Mtihani wa Chuo...
  15. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Angalia umri wako ujue kundi lako

    Kumbuka umri wako Vyombo Kumbuka kikundi chako cha umri leo katika mwaka huu 2025 usije ukasahau kusudi lako maishani! Umri wa nyongeza 1925 - miaka 100 1926 - miaka 99 1927 - miaka 98 1928 - miaka 97 1929 - miaka 96 1930 - miaka 95 1931 - miaka 94 Umri wa jua 1932 - miaka 93 1933 - miaka 92...
  16. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Umri gani siyo poa kumzalisha mshangazi au jimama?

    Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito? Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40. Vipi ingekutokea wewe, ungeelewekaje huko kwenu?
  17. KyemanaMugaza

    JamiiForums Tanzania Umri wa Tupac na Martin Luther King Jr unatia shaka

    Salama wakuu wote wa hili jukwaa Mara nyingi nimekuwa na wasiwasi juu ya umri sahihi wa hawa watu wawili maarufu katika historia ya dunia, mwanamziki Tupac Amar Shakur na mwanaharakati wa haki za binadamu Martin Luther King Jr Huwa naona maumbile yao au mwonekano wao unaonyesha kuwa walikuwa...
  18. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

    Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
  19. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo Aveiro Dos Santos. Heri ya kuzaliwa

    05 February 1985 05 February 1992. Wote Hawa ni wazaliwa wa tarehe hizo na miaka hiyo. Wote Hawa wanacheza eneo moja kiasili ( Winger ) kutokana na mahitaji na mifumo wamejikuta wakiangukia Ushambuliaji. Mmoja alinukuliwa akisema " Hana nguvu tena za kupigana katika level za ushindani" Hii...
Back
Top Bottom