umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Umri huu ni kete yako ya mwisho, ukikosea ni majuto hadi unaingia kaburini

    Nina miaka 37, katika umri huu nimekuwa nafanya mambo mengi ya kiuchumi na kijamii hivyo najikuta nakutana na watu wengi sana tunaobadilishana nao mawazo yanayohusu mambo mengi ya uchumi na jamii, nilichokibaini wengi wa watu wanajutia makosa yao na wameshindwa kuyarekebisha makosa yenyewe ni...
  2. JamiiForums Tanzania Laana ya Umri inavyoitafuna China

    Kwa sasa nchini China watu wenye umri wa miaka 35 wanakutana na laana ya kuwa na umri huo. Kwa sasa Wachina wengi wenye umri wa miaka 35 wanakumbana na tishio la kukosa ajira ama mikataba yao ya ajira kutokuongezwa kutokana na kuonekana kuwa wana umri mkubwa. Uchina ambayo kwa sasa ina...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Naona aibu kuwachukulia hatua viongozi Walionizidi Umri

    Asalam, Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe. Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Mapenzi na heshima utayapata kwa mgeni wa mapenzi uliemzidi umri, Tafuta binti mwenye 16 hadi 20, usije kufanya kosa la kuoa mwanamke mliefanana umri

    MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15 Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya hayakuwa na budi kufata sheria za ulaya, kwenye biblia binti akifika miaka hata 13 mwanaume anaweka order...
  6. JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho kuhusu maisha ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56

    Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 “Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha yangu ni mafanikio. Hata hivyo, kando na kazi yangu, nilikuwa na furaha kidogo sana. Mwishowe, utajiri ni ukweli tu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana...
  8. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

    habari wanajf, Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini. Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu 👉...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wapendekeza Umri wa Kustaafu upunguzwe ili Vijana waajiriwe

    Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe. Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ulioa au kuolewa ukiwa na umri gani?

    Kipindi ukiwa na umri gani ndo uliamua KUOA AU KUOLEWA? ✨Ulimpata wapi your partner? HAPO ONGEZEA ULIMPATA WAPI HUYO MWENZA WAKO?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wakiwa kwenye umri mzuri (prime age) lazima wachague wanaume wasio sahihi?

    Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

    Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe, Haya ni mambo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya tume ya Haki jinai yasisimamiwe na hawa wazee; umri umeenda wanahitaji kupumzika. Kazi hii wapewe vijana ni ngumu sana.

    Nampongeza Mhe. Rais kwa kuona umuhimu wa kuunda sub committee za kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya haki jinai Lakini nadhani kuna jambo ambalo Mhe. Rais alipaswa kuliona; kamati ina wazee wengi kuliko vijana: waliochakata na kuandaa taarifa naamini ni sekretarieti na ndiyo maana...
  14. JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 10 tu, kuna tofauti KUBWA SANA kati ya mtoto wa kiafrika na mtoto wa kizungu

    Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabarani😂😂😂 At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads? Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi...
  15. JamiiForums Tanzania Kaeni mbali na vibinti vyenye umri wa miaka 2-14; Kama Hautaki Kubaka

    KAENI MBALI NA VIBINTI VYENYE UMRI WA MIAKA 2-14; KAMA HAUTAKI KUBAKA. Anaandika, Robert Heriel Msijesema sikuwaambia; Wewe unajijua kabisa Mkeo anakunyima na kukupangia Michezo ya chumbani kama Ratiba ya CAF. Wewe unajijua kabisa kutongoza hujui, yaani ukitongoza Wanawake 10 huambulii yeyote...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia. Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama...
  17. JamiiForums Tanzania Je, vijana wa kitanzania wanafahamu juu ya faida za kuwekeza katika umri mdogo?

    Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji. Hii ni Kwa kwa sababu zifuatazo; 1. Ni vizuri kupata uzoefu WA kutosha katika uwekezaji, hivyo ni vyema...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika. Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala! Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha...
  19. JamiiForums Tanzania Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

    Haya mods njoo uandike na mada nzima kama ulivyoedit kichwa cha habari kila saa
  20. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mpya wa Elon Musk ana umri wa miaka 14

    FAHAMU: Kairan Quanzi ametengeneza historia ya kuwa binadamu mwenye umri mdogo zaidi kuajiriwa na kampuni ya Space X inayomilikiwa na Elon Musk. Tofauti na watoto wengine, Inasemwa alipokuwa na umri wa miaka miwili (2) alikuwa anaweza kuumba maneno yanayotengeneza sentesi kamili, ndipo walimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…