Kaeni mbali na vibinti vyenye umri wa miaka 2-14; Kama Hautaki Kubaka

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
KAENI MBALI NA VIBINTI VYENYE UMRI WA MIAKA 2-14; KAMA HAUTAKI KUBAKA.

Anaandika, Robert Heriel

Msijesema sikuwaambia;
Wewe unajijua kabisa Mkeo anakunyima na kukupangia Michezo ya chumbani kama Ratiba ya CAF. Wewe unajijua kabisa kutongoza hujui, yaani ukitongoza Wanawake 10 huambulii yeyote. Na unajijua huna Pesa ya Kuhonga au kununulia Dadapoa. Na Pesa yako ni ya leo unayo kesho hauna; siku ukiwa nayo hauna Hamu ya ngono, siku ukiwa hauna Pesa mwili unakuwasha. My Furendi! Kaaa mbali na Binti za Watu.

Unajijua kabisa, unahonga pakubwa na bado Wanawake wanakusumbua, yaani hawakupi. Yaani una-stock ya kutosha ya hamu mwilini Mwako. Na kama utaitoa basi utatoa kidunchu tuu Kwa Njia za kujichukulia sheria mkononi kupitia Usajili wa Chaputa. My Furendi kaa mbali na Binti za Watu.

Usijefikiri hata siku moja unaowaona wanabaka ukawacheka, ukadhani waliobaka waliwahi kudhani watakuwa Nyuma ya nondo Kwa KUBAKA. Wewe ni mmoja wa Watu waliopo kwenye mazingira hatari ya kufanya jinai hiyo ya ubakaji.

Hasa ukiwa na Sifa tajwa hapo juu alafu ukawa katika mazingira ya ukaribu na VIBINTI vya umri wa kuanzia miaka 2 mpaka 14.

Unakuta mwanaume anamazoea na kibinti au vibinti vya umri huo. Kibinti kina miaka labda Saba hivi au Mitano. Unajua kisaikolojia Binti WA umri huo anavutiwa na jinsia ya kiume.

Wanakuwa na matamanio lakini hawajui ni matamanio ya nini. Binti anaweza akawa anakudandia dandia na kutaka umpakate mara umkumbatie, mara ajiweke katika mazingira ya kuwa karibu sehemu zako za Siri, namaaanisha katikati ya Mapaja yako mpaka aguse uume wako. Hapo atatulia.

Kwa Sisi Watibeli, wasema mambo bayana bila kificho, ikiwa ni Kwa lengo na dhamiri njema. Tunakushauri kaa mbali na vibinti vya watu hasa ukiwa na Sifa nilizokwisha kuzitaja. Usijeingia majaribuni.

Kama una-stock ya kutosha ya hamu. Mkeo anakupangia mechi au huzipati Kwa wakati, kutongoza hujui, Pesa ya Kuhonga na kununua Malaya huna. My Furendi kaa mbali na vibinti hivyo. UTABAKA siku sio nyingi nakuhakikishia.

Kuna ubakaji wa Aina nyingi;
I. Kubakakwa kumtomasa mtoto pasipo kumuingilia.
Hii inafanyika Sana. Unakuta Mwanaume anacheza Michezo isiyoeleweka na kibinti mara akitomase huku na huku, mara akibinye hapa, mara akishike tupaja(Mapaja) twake. Kwa sababu kunaa vibinti ni vidogo lakini vimejaa.

Ogopa Michezo au kuona Binti yako anacheza na Mwanaume alafu mara Kwa mara anajiingiza katikati ya Mapaja ya Mwanaume, iwe ni Kaka, Mjomba au Mwanaume yeyote.

Ogopa Binti Wakati anajifanya anacheza na Mwanaume iwe ni Kaka, Mjomba au jirani au Mwanaume yeyote alafu akiwa anacheza(anashikwa Kwa kutekenywa, kutomaswa) akawa anabinuka kimgongo mgongo akimlalia huyo Mwanaume, alafu Wakati akifanya tukio Hilo anashindwa kumtazama anayecheza naye. Yaani anaona aibu. Lakini hataki kuacha mchezo huo. Hapo kinachoendelea ni mchezo wa ngono ingawaje haingiliwi kimwili.

Mpoo?
Bado hujamuelewa Taikon. Subiri. Utamuelewa nipo kwaajili ya vichwa ngumu.

2. Kumtania Binti maneno ya kingono
Kikawaida wanaume Watu wazima ambao hawana hamu, ugwadu, nyege na hawapimiwi na Wake zao, huwezi kuwasikia wakitaniana na vibinti vidogo kuhusu maneno ya kingono. Mfano mchumbaangu huyo, MKE wangu huyo, nitakuoa. Jamani MKE mdogo mzuri.

Mara nyingi maneno hayo hutolewa Kwa Njia ya utani lakini ni ukweli. Ukichunguza wanaoambiwa maneno hayo utaona ni vibinti vyenye muonekano Fulani WA kingono. Yaani vyenye mvuto. Kwani utani ni ukweli Kwa sehemu kubwa.
Na wanaume wanaotoa utani huo mara nyingi Wana stock ya kutosha ya hamu, nyege, na ugwadu. Ingawaje sio wote lakini wengi wao.

Ukichunguza vibinti vinavyobakwa au wazee wanaotembea na vibinti wengi wao walianza Kwa maneno hayohayo ya utani Wakati ni ukweli.

Taikon nikimsikia MTU mzima akimtania Binti mdogo tena Kwa maneno ya ajabuajabu yanayohusu ngono moja Kwa moja kengele ya hatari inapiga.
Hairuhusu Binti yako ataniwe maneno ya kijingajinga na Mwanaume yeyote hata kama ni Babu yake.

Hakuna mwanaume anayejiheshimu anayeweza kumtania mtoto kwa maneno ya kingono na hovyohovyo.

3. Kumuingilia Kingono.
Tutaanza na Michezo
Tutakuja utani wa hapa na pale hasa WA kingono na Michezo ya kingono kutomasana tomasana, ili kumuandaa Binti kisaikolojia Kwa tukio ambalo halitamshtua.
Kisha hatua ya kumuingilia Kingono itakuwa rahisi.

Wengi wanaobakwa hubakwa na watu wenye mazoea naye. Anaenda nyumbani kwake, anampa pipi na vizawadi vya hapa na pale, vipesa vidogo vidogo mwisho wa siku Watu wanapasua na kumharibu Binti yako.

Ubakaji wa Aina hiyo kuja kuushtukia inaweza kuchukua muda mrefu na mara nyingi wengi wanaobakwa hawashtukiwi.

Ni ubakaji wa kirafiki yaani ubakaji wa maridhiano. Binti kaharibiwa muda mrefu wazazi hawajui. Na inafikia hatua mpaka Binti anazoea na kufurahia, hasemi Kwa sababu kuna Wakati ni mchezo unaifuhisha lakini pia anapata faida labda hivyo vizawadi.
Achilia mbali wale wanaotishwa ndio wapo wanaotishwa lakini wasiotambulika na kesi zisizoripitiwa nyingi huwa ni wale ambao hawatishwi ni mpaka Mama au mzazi au Mlezi ashtukie.

Binti anabakwa tangu akiwa na miaka Saba, Fikiria ni unajisi na ukatili wa kiwango gani.
Lakini ukichunguza Makosa ni ya Wazazi hasa kina Mama ambao kikanuni hasa Kanuni za Asili Mama hatakiwi kukaa dakika tano au kumi pasipo kumtia mtoto wake machoni.

Sio Kwa binadamu tuu hata wanyama, chunguza, Wamama wa viumbe wengine hawezi kukaa dakika au muda mrefu pasipo kumtia machoni au kumsikia mtoto wake.

Nafahamu, Dunia inaenda Mbele Kwa Kasi. Wamama NAO siku hizi wanafanya kazi za uzalishaji, ni Jambo zuri lakini haiwi sababu ya kushindwa kumlinda mwanao. Ukiwa kazini hakikisha kila mara unamfuatilia mtoto wako Kwa Njia ya simu.
Hakikisha ukirudi unakaa na mtoto unamkagua na kumsahili Kwa Kutumia Akili.

Hakikisha mtoto anakuwa huru na wewe kujieleza. Sio uwe mkali na ukali WA kijingajinga kama Mama jinga.

Hakikisha mtoto anakuamini na anauwezo wa kukuambia Jambo lolote. Mind you sio kila kitu anaweza kukuambia hata kama ni mtoto Mdogo wa miaka 5. Mengine utajirahidi ufuatilie na kuchunguza ili umlinde mwanao.

Vijana na wanaume wenzangu, acheni mazoea na binti za Watu. Kuweni na adabu yaani mipaka. Mazoea Zoea ya kijinga achaneni nayo.

Ooh! Sisi ni waafrika, tuna Mila na desturi zetu. Kutaniana sijui Michezo ni sehemu ya utamaduni. Sawa lakini kama Kupata kwako ngono ni Kwa mbinde kaa mbali na watoto wa Watu.

Mazoea Acha. UTABAKA na ukikutwa utakaa Nyuma ya nondo Nusu ya uhai wako.

Ni Yule Mtibeli. Taikon Master.

Ijumaa Kareem. Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mimi mtoto yoyote 18 kurudi chini akiwa anasoma au hasomi sitaki kabisa mazoea.

Tena kuna wale wadogo kabisa sijui miaka 4 , 5 ndio hata mlangoni kwangu sitaki wakatize.

Dunia imeharibika watoto wadogo wakiume wamekuwa wakilawitiwa mzazi anashituka muda umeenda wanaanza kutafuta wakumuangushia msala.

Juzi hapa mjuu wa mwenye nyumba amenusurika kubakwa na bodaboda wao ambae wanamtumia hata kukapeleka hako katoto shuleni. Katoto kenyewe ukikaona kana miaka 3

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Nmejifunza kitu kikubwa sana kwenye swala la malezi ya binti angu.
Asante sana.
 
dAwa ni kujihukumu tu kupiga nyeto.
mimi hapo nina sifa zote ela sina kutongoza cjui sina mpenz hatua nlochukua ni kupiga nyeto mpaka nimekua na ganz na mwqnamke.
nIkilud kutoka saiti kaz nguvu kwq nguvu ni kulalq usngz wq kifo nq kupiga puli
 
Back
Top Bottom