Mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia maswala ya Libya Stephanie Williams amesema anapendekeza kufanyika uchaguzi wa Libya ifikapo Juni, baada ya kushindikana kufanyika uchaguzi huo wa rais mnamo mwezi Desemba mwaka uliopita.
Stephanie Williams ameliambia shirika la habari la...
Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na dharura inasema zaidi ya watu milioni sita katika maeneo kame ya mashariki na kusini mwa Ethiopia watahitaji msaada wa kuyaokoa maisha yao mwaka huu.
Shirika hilo linasema zaidi ya watu milioni 6.4 katika maeneo yaliyoathirika...
Ufunuo 13:2 BHN
Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu
DANIELI 7
Wanyama wanne wakubwa
1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
Zaidi ya watu Milioni 2 Nchini Somalia wanakabiliwa na uhaba wa Chakula na Maji kutokana na hali mbaya ya ukame, ikielezwa Vyanzo vya Maji vinakauka.
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) takriban watu 100,000 wamekimbia makazi yao kutafuta Chakula, Maji na malisho kwa ajili ya mifugo yao.
UN...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote
Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale...
- Binadamu hua tunaitwa SELF DESTRUCTIVE specie, maana yake ni viumbe wenye uwezo wa kujimaliza wenyewe ukilinganisha na viumbe wengine wote basi binadam tuna sifa hizo, kila nkiwaza vita ya kwanza na ya pili ya dunia, napata wasiwasi sana na kasi ya uundaji wa rocket za masafa marefu ya china...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26).
Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia...
Maandamano ya kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan yameendelea, huku Ripoti zikidai idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka kufikia 11.
Watendaji katika baadhi za Wizara na Taasisi za Serikali wamepinga hatua ya Jeshi kuchukua Mamlaka na wamekataa kuachia nafasi...
NA CAROLINE NASSORO
Wananchi wa China wamevamia mitandao ya kijamii wakitoa heshima kwa mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya amani na ustawi wa taifa hilo, na pia kwa China kujitolea kulinda utaratibu wa kimataifa na amani ya dunia.
Hayo yamefanika wakati wa kumbukumbu ya miaka 50 tangu...
Leo China inaadhimisha miaka 50 tangu irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa. China inaadhimisha siku hii wakati ikikumbuka safari yake hadi kurudishiwa kiti chake, na mchango iliotoa kwa Umoja huo na uwajibikaji iliounesha.
Ikumbukukwe kuwa Umoja wa Mataifa ulianzishwa kwa lengo...
Umoja wa Mataifa umesema fedha hizo zinahitajika kuhakikisha Chanjo dhidi ya CoronaVirus zinasambazwa kwa usawa duniani kote ili kutoa fursa kwa Nchi zote kupambana na janga hilo ambalo limesababisha vifo zaidi ya Milioni 5
UN imesema kutokuwepo na usawa katika usambazaji ni hatari kwakuwa...
Uingereza imefanikiwa kutengeneza chanjo ya Malaria ugonjwa unaosumbua sana Afrika.
Majaribio ya Chanjo hii yalifanyika katika nchi tatu za Ghana, Kenya na Malawi ambapo watoto zaidi ya 800,000 wamechanjwa.
Chanjo hii imelengwa maalumu kwa ajili ya Afrika hivyo nchi zote barani humo zitapatiwa...
Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Jumatano ameitaka serikali ya Ethiopia kuruhusu utoaji wa haraka wa misaada ya kibinadamu kwa mamilioni ya watu kaskazini mwa nchi bila pingamizi.
Hayo yanajiri wakati maafisa wa Umoja wa mataifa wakiripoti vifo kutokana na njaa.
Wakati wa...
Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi.
Hadi sasa vita hivyo vimesababisha maafa na mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo
Ameeleza hayo Septemba 24, 2021 katika Mahojiano Maalum na Habari za UN huko New York Nchini Marekani...
Hivi karibuni Rais Samia Suluhu wa Tanzania alifanya ziara nchini Marekani, ambako alikwenda kuhudhuria mkutano wa 76 wa baraza kuu la umoja wa mataifa nchini Marekani. Ziara hii ambayo ni ya kwanza kwa Rais wa Tanzania nje ya Afrika katika kipindi cha zaidi ya miaka sita, imepokelewa kwa...
Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York.
Katika hotuba yake ya kwanza kwa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa...
VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN)
Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote
Rais Samia: Virusi vya Corona...
Waungwana, nawasalimu!
Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.
Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na...
🔥 NI LEO! RAIS SAMIA KUHUTUBIA DUNIA KUPITIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA 🔥.
Mabibi na Mabwana, leo Alhamisi Septemba 23, 2021 kuanzia saa 3 usiku majira ya Afrika Mashariki, Mwanamke wa shoka Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia dunia kupitia Mkutano Mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.