Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limesitisha safari za ndege kuelekea mji wa Solle, kaskazini magharibi mwa Burkina Faso, baada ya mlipuko kutokea karibu na helikopta waliyoikodi na kujeruhi afisa wa serikali pamoja na mhudumu wa ndege. Tukio hilo lilitokea Agosti 12, 2025...
Utawala wa Trump umetangaza kwamba unamwekea vikwazo Francesca Albanese, mpelelezi huru aliyeteuliwa kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu katika maeneo ya Wapalestina, ikiwa ni juhudi ya hivi karibuni ya Marekani kuwaadhibu wakosoaji wa vita vya Israel ambavyo vimedumu vya miezi 21 sasa huko...
Mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo utaanza Juni 30 hadi Julai 3 na miongoni mwa mambo yaliyomo kwenye ajenda ya mkutano huo ni mataifa kuondolewa mzigo wa madeni.
Kuongezwa misaada na marekebisho ya kodi.Viongozi wa ulimwengu watakuwepo katika eneo la kusini mwa...
Hayo yameelezwa Jumapili Juni 22, 2025 na msemaji wa jeshi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki Felix Kulayigye.
Wanajeshi hao walikuwa sehemu ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa Kusaidia Kuleta Utulivu nchini Somalia (AUSSOM) na kilichopewa jukumu la kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab na...
Umoja wa Mataifa umetangaza kupunguza kwa kiwango kikubwa shughuli zake za kibinadamu duniani, na kulaumu kile ilichokitaja kuwa "upungufu mkubwa zaidi wa ufadhili kuwahi kutokea" kwa hatua yake ya kupunguza kwa kiasi kikubwa matarajio ya misaada.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Ofisi ya...
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Serikali ya Tanzania kusitisha mara moja vitendo vya utekaji wa wapinzani wa kisiasa, watetezi wa haki za binadamu na waandishi wa habari, hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
UN imesema kwamba wameshtushwa na taarifa...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza.
Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia.
Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
Mawakili wa mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania ambaye yuko gerezani TUNDU LISSU wamewasilisha malalamiko mbele ya Jopo la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia vitendo vya Ukamataji Watu Kiholela.
Wakili wa Lissu, Robert Amsterdam amesema malalamiko hayo ni sehemu ya kampeni pana ya...
Inatia simanzi kwa kweli!
Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing].
Hamas are no heroes. They are suckers and losers.
Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some.
What kinda hero puts their people through such...
Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.
Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali
Papa ni kama katibu...
Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu.
Nitoe wito kwa umoja wa...
Baada ya Rais Trump kutoa onyo kwa Iran kuwa mashambulio ya Houthis wa Yemen dhidi ya meli za kiraia yanasaidiwa na Iran, kwa Iran kwa Serikali ya Iran kuwapa Houthis makombora, drones na taarifa za kiintelijensia, na kwamba kuanzia sasa kombora lolote lirakalorushwa na Houthis, Iran inalipa...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa wito wa utulivu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa helikopta ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa.
Kulingana na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Sudan Kusini (UNMISS) watu kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya helikopta ya Umoja...
Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine.
Katika kura hizo zilizopigwa mnamo tarehe 24 Februari 2025, kwanza Marekani , Urusi pamoja na nchi nyingine kama Korea Kaskazini...
Baada ya Viongozi wa Africa kufanya vikao vyao vya kunywa kahawa Dar es Salaam na Zimbabwe huku wakipiga picha kwa mbwembwe bila kuupatia suluhisho la kudumu Mgogoro wa Congo naona wazungu wameamua kuwaonesha Waafrika kwa nini wanawaitaga Nyani.
Baada ya jana Wizara ya Fedha ya Marekani...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inawasilisha muswada kwa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi ufanywe katika kile inachokiita ni ukiukaji mkubwa wa haki katika mji wa Goma.
Balozi wa Congo katika baraza hilo Paul Empole Losoko Efambe aliwaambia waandishi habari...
Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha mapitio mapana ya ufadhili wa Marekani kwa taasisi hiyo ya kimataifa
Amri hiyo ilitangaza...
Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini.
Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa...
▪️Ampongeza Rais Samia kwa kwa maono ya kukuza sekta ya Madini
▪️Avutiwa na aonesha utayari wa kusaidia VISION 2030
Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN)
Mhe Amina Mohamed ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mkakati wa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.