umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa UN waipongeza Tanzania kwa mchango wake kulinda amani

    Tanzania to the World!!!!! Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 UN yatoa wito kwa mamlaka kutoa taarifa za waliopotea, kufa Oktoba 29

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imesema ina wasiwasi kuhusu taarifa za vifo, majeruhi, watu kupotea na kukamatwa katika muktadha wa uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba nchini Tanzania. Hayo ni kwa mujibu wa Kamishna Mkuu wa Ofisi hiyo, Volker Turk, ambaye ametoa wito wa familia kupata...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Umoja wa Mataifa: Tangazo la Tanzania kukataza maandamano liondolewe

    Wakuu, Shirika la Umoja wa Taifa Tanzania Ofisi ya Human Rights imetoa taarifa ikisisitiza wajibu wa mamlaka kulinda haki za msingi za binadamu, ikiwemo uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani na kushiriki katika masuala ya umma, kwa mujibu wa sheria za kimataifa Kwenye taarifa yao wametaka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Africa Yanga umoja wa mataifa, Africa inawategemea na taifa linawategemea

    Mwenye macho aambiwi tizama, na mwenye masikio anasikia, hivyo ndivyo unavyoweza kusema juu ya mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania Yanga! Siku zote form uwa inakuja na kupotea lakini class uwa aipotei Abadan,, Yanga kaonyesha kwa vitendo baada ya kupitia changamoto kidogo na sasa wanarudi...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Umoja wa Mataifa ulete mchunguzi huru, Mauaji yaliyofanyika ni makubwa kuliko inavyodhaniwa

    Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia. Jana kuna familia wamefanya ibada ya mazishi kwa kutumia picha ya mpendwa wao ambae hajaonekana tangu oktoba...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na Jeshi la Polisi Tanzania, Tuombe Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Lilitangaze Kuwa ni Kundi la Kigaidi

    Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua; Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ulaya, Umoja wa Afrika na SADC, wakatangaza rasmi kuwa kinachoitwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nicki Minaj anatarajiwa kuhutubia Umoja wa Mataifa kwa niaba ya utawala wa Trump

    Huu ni ushirikiano ambao hakuna aliyewahi kutarajia … Nicki Minaj anashirikiana na Utawala wa Trump kuhutubia Umoja wa Mataifa. Msanii wa “Anaconda” anaripotiwa kuungana na Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Mike Waltz, kutoa hotuba Jumanne jijini New York, ikilenga kuangazia ukatili...
  8. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  10. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Je polisi wanatoa wapi nguvu ya kututisha watanganyika ikiwa polisi Mmoja anahudumia wananchi 1,300 tofauti na kiwango vya umoja wa mataifa

    Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi mmoja nchini Tanzania anahudumia wastani wa wananchi takriban 1,300. Hii ni tofauti na viwango...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatuzwa Nishani za Umoja wa Mataifa kwa Uhodari wa Kulinda Amani Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinachoshiriki katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kimetunukiwa Nishani za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na mchango wake mkubwa katika kurejesha na kudumisha utulivu...
  12. Zacht

    JamiiForums Tanzania Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza. Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
  13. Zacht

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa UN wametoka ukumbini baada ya Netanyahu kupanda jukwaani

    Katika hali ya kufedhehesha mamia ya wajumbe kwenye mkutano wa umoja wa mataifa wamesusia kumsikilizia Netanyahu mara baada ya kupanda jukwaani , Hivi karibuni kumekuwa na Matukio ya raia wengi wa mataifa ya ulaya na dunia kwaujumla kulaani na kupinga matendo maovu ya taifa dhalimu la Israeli...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Dkt Mpango: Tanzania tunataka Afrika ipate nafasi mbili kwenye Baraza la Usalama wa Umoja wa Mataifa pamoja na kura ya VETO

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Philip Moango ametaka nchi za Afrika pia zipate nafasi kwenye UN Security Council na ziweze kuwa na VETO Power
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Iran imesema itasitisha ushirikiano wake na IAEA baada ya Umoja wa Mataifa kuzuia uondoaji wa vikwazo

    Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kupinga kuondolewa kabisa vikwazo dhidi ya Tehran. Katika taarifa iliyochapishwa na...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wameshtushwa sana na kuzorota kwa hali katika jimbo la al-Fasher la Sudan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan baada ya shambulio baya la ndege isiyo na rubani siku ya Ijumaa kuwauwa waumini zaidi ya 70 huko El-Fasher, na kueleza hofu kubwa kuhusu hali inayozidi kuzorota. "Mapigano lazima...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mataifa Waibana Vikali Tanzania Kuhusu uonevu Kwa LISSU na Mdude Kutekwa

    17 September 2025 #BREAKINGNEWS! Umoja wa Mataifa Waibana Vikali TANZANIA Kuhusu UONEVU Kwa LISSU na MDUDE Kutekwa https://m.youtube.com/watch?v=SgApzTckEaA Source : JasusiTV UN UMOJA WA MATAIFA YASEMA TANZANIA KUPELEKWA MAHAKAMA YA ICC THE HAGUE UHOLANZI IKIWA BARUA YAKE ITAPUUZWA UN kesi...
  18. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa kuhamishia kikao cha General Assembly kwenda Geneva

    Kutokana na figisu za Trump na Netanyahu, UN imesema isiwe taabu. Tunaondoka,tunahamia Geneva Chanzo ni kumkatalia member wa UN Mahmud Abbas wa Palestina kuingia Marekani kwenye kikao cha General Assembly cha mwaka huu 2025 --------------- The United Nations General Assembly will convene its...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Palestina wapiga marufuku kuingia Marekani

    BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani. Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu. Marekani HAITAWAPA thawabu wale wanaotukuza mauaji.
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Wasilisho kutoka kwa wataalam wa haki za binadamu - Umoja wa Kimataifa kwa Serikali ya Tanzania

    Hili ni wasilisho lenye maswali magumu yanayohitaji maelezo ya kiina kuhusu kukamatwa, kutekwa na kuteswa kwa @bonifacemwangi na Agather Atuhaire @un_sp_experts kupitia @unhrcommittee wanahitaji majibu kuhusu yafuatayo:(nimetafsriri) 👇🏾👇🏾 1. Tafadhali toa maelezo yoyote ya ziada na/au maoni)...
Back
Top Bottom