Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,205
- 4,695
Shule ya Msingi Benako haina Maji Wiki Ya 3 baada ya Kukatiwa Maji Na Dawasco kwa deni La 200,000.
Shule hii inapatikana maeneo ya Salasala Kata ya Wazo, Jimboni Kawe Jijini Dar es Salaam.
Taarifa zilizopo ni kuwa muda wa wiki 3 sasa maji shuleni hapo hayapatikani hali inayotishia afya za Wanafunzi takribani 2,500.
Inadaiwa Maji hayo yamekatwa na Mamlaka ya Maji Dar es Salaam ( Dawasco) kutokana na deni a tshs 200,000 tu!
Inadaiwa Uongozi wa Shule hiyo na Kamati ya Shule wanadai wamekatiwa maji kutokana na Serikali kushindwa kuleta fedha kwa wakati.
Hali hii inatishia afya za Wanafunzi na Walimu wa Shule hiyo.
Ni vema Shule hiyo ikafungwa mara ili kuwaepusha Wanafunzi na janga kubwa la maradhi ya kuambukiza kama Kipindupindu & Covid-19
Nashauri Mamlaka husika zilizoshindwa kuwajibika kutatua changamoto hii wakati zichukuliwe hatua.
Ni hatarii
Ni aibu
Ni Fedhea