umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waombe radhi Umma wa Watanzania kwa kutaka kuleta uvunjifu wa Amani japokuwa wamedhibitiwa

    Mpaka sasa hivi wamedhibitiwa kwa maghasia waliokuwa wanaratibu kuyafanya kwa kisingizio cha kutaka kudai katiba mpya. Madhari hiki ni Chama cha Umma na kwa kuwa kipo chini ya mwavuri wa msajiri wa vyama vya siasa. Basi wanapaswa kuomba radhi ili umma wa watanzania wawasamehe. My take: Kuwa na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Utumishi wa Umma ni Useless tu kwa siasa za Tanzania

    Mtu hajawahi kuwa hata Mkuu wa Kitengo au Principal Officer au hata tu Senior officer kwenye Utendaji wa Serikali eti leo anateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na anaenda kuwaongoza watu ambao wameshakuwepo kwenye nafasi za Ukuu wa Vitengo kwa miaka na miaka. Huyu mtu pengine hakuwahi hata kuwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

    IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu. Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi. KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED 1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration; 2. Securing compliance with the...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!

    Wanabodi, Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu! Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio...
  7. ImanHB

    JamiiForums Tanzania Ujio wa kodi mpya ni nini? Serikali inalenga nini kwa umma kuongeza tozo mpya kwa mlipa kodi kupitia miamala ya mitandao?

    KODI (ushuru) ni malipo ambayo kila mtu mwenye shughuli za kuingiza kipato anatozwa na serikali kulingana na kipato chake. Hivyo kodi ni chanzo cha mapato ya serikali ambayo hutumika kugharamia huduma za jamii zinazotolewa na serikali kama ujenzi wa miundombinu, ujenzi wa mahospitali, shule...
  8. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma kuna la kujifunza hapa!

    Ni kwamba katika utawala wa Magufuli mwaka 2018/2019 baadhi ya Watumishi kwenye Taasisi ambazo zina majina walifanyiwa uchunguzi wa kimya kimya kwenye Akounti zao za mabenki. Nasikia kuna mzee moja alikuwa anafanya kazi MSD, wakamkuta bank na fedha kiasi cha shilingi Bilioni 2 za Kitanzania...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Julius Malema sio busara kumfunga mzee wa miaka 73 katika jela ya umma

    Katika moja ya mahojiano na kituo cha tv Malema amesema sio busara kumfunga Jacob Zuma katika jela ya umma ukizingatia umri wake wa miaka 73, angeweza kutumikia kifungo cha nje akiwa nyumbani kwake "under house arrest" nimeona hii busara. Na sie kwanini tusiweke sheria mtu akifikisha umri wa...
  10. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Alietudanganya kuwa CHADEMA ni nguvu ya umma yuko wapi?

    Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa. Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunawashukuru wananchi Jimbo la Konde kwa kukiamini chama na kukipatia ushindi wa kishindo

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa jimbo la hilo ambapo mgombea wa CCM Ndugu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania ACT- Wazalendo, matokeo ya uchaguzi mdogo Jimbo la Konde ni ya kupika

    Hii inaitwa: mtoto akililia wembe, mpe.
  13. R

    JamiiForums Tanzania M/kiti wa chama - Mkoa anaweza kuwa Mtumishi wa Umma?

    Wakuu Heshima kwenu, na pia habari za weekend! Naomba kuuliza, kulingana na taratibu na sheria za nchi hii za Utumishi wa Umma; Je mtumishi wa Umma anaruhusiwa kugombea nafasi ndani ya Chama chake kwa ngazi MKOA ( Mwenyekiti wa Chama mkoa ) angali ni mtumishi wa Umma? Kama anaruhusiwa, je...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni upatikanaji wa dawa katika hospitali za umma?

    Tumeaminishwa na Serikali kuwa mgonjwa anatakiwa kwenda hospitali za umma na atapata matibabu bure. Leo nimeenda Kituo cha Afya ya Buzuruga kumwona mgonjwa wangu sikuamini macho yangu nilipoambiwa kanunue gloves, kanunue pamba, kanununue dawa ya kusafisha jeraha nk. Hivi Mtanzania wa kawaida...
  15. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma anawezaje kupata ajira kwenye International organisations kama UN, SADC, AU, EAC

    Bandugu salama? Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka. Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31. Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata). 2013 nikaenda Shule na kupata...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakosoaji wa Hayati Rais Magufuli wanatetea nafasi zao na sio umma

    Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma. Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

    Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma. Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo...
  18. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

    Kama ambavyo Mashehe wa uamsho walivyotolewa. Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu). Mdude kuachiwa(kushinda kesi). Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni. Singasinga. Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Sarungi: Suluhu ni mtumishi wa Umma siyo Malkia

    "Wengine kwa kujua au kutojua mnaingia mtego wa kupiga propaganda za kiCCM eti ā€œmkosoe kwa stahaā€ really!. Samia Suluhu ni mtumishi wa umma siyo malkia! Mamlaka yote aliyo nayo ni kutokana na SISI wananchi! So tukimhoji, kumkosoa azingatie substance not the style"-Maria Sarungi
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ā€˜timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
Back
Top Bottom