Usimshtaki mtumishi wa umma kwa bosi wake, utaaibika

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,742
17,979
Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo.

Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa mhusika, Nikaamua kwenda kwa boss wake na kumueleza A - Z. Ili anisaidie yeye. Akampigia simu na kuweka loud, nilishangaa wanaongea friendly kabisaa jamaa wa upande wa pili anacheka na kuongea kwa dharau utadhani yeye ndiye boss. Wakaongeaaa.. Baadae huyo bosi akaniruhusu niondoke bila kunisaidia japo swala lipo chini ya uwezo wake.

Usimshtaki mtumishi wa umma kwa bosi wake, utaaibika. Kama hujaridhishwa na huduma, ni Bora utafute alternative tofauti.
 
Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo.

Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa mhusika, Nikaamua kwenda kwa boss wake na kumueleza A - Z. Ili anisaidie yeye. Akampigia simu na kuweka loud, nilishangaa wanaongea friendly kabisaa jamaa wa upande wa pili anacheka na kuongea kwa dharau utadhani yeye ndiye boss. Wakaongeaaa.. Baadae huyo bosi akaniruhusu niondoke bila kunisaidia japo swala lipo chini ya uwezo wake.

usimshtaki mtumishi wa umma kwa bosi wake, utaaibika. Kama hujaridhishwa na huduma, ni Bora utafute alternative tofauti.
Huyo mtumishi na boss wake ni Pete na kidole, hukulijua hilo
 
Tz hakuna huduma kwa wateja, yaani mfumo mzima ni uozo. Hivyo bosi wasaidizi, wote wapo kunyanyasa wateja.
 
Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo.

Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa mhusika, Nikaamua kwenda kwa boss wake na kumueleza A - Z. Ili anisaidie yeye. Akampigia simu na kuweka loud, nilishangaa wanaongea friendly kabisaa jamaa wa upande wa pili anacheka na kuongea kwa dharau utadhani yeye ndiye boss. Wakaongeaaa.. Baadae huyo bosi akaniruhusu niondoke bila kunisaidia japo swala lipo chini ya uwezo wake.

usimshtaki mtumishi wa umma kwa bosi wake, utaaibika. Kama hujaridhishwa na huduma, ni Bora utafute alternative tofauti.
ungeingia kwa boss ukiwa una record kwa kificho! halafu ungewaweka humu tuwachane! leo wikiend yao ingekuwa mbaya
 
Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo.

Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa mhusika, Nikaamua kwenda kwa boss wake na kumueleza A - Z. Ili anisaidie yeye. Akampigia simu na kuweka loud, nilishangaa wanaongea friendly kabisaa jamaa wa upande wa pili anacheka na kuongea kwa dharau utadhani yeye ndiye boss. Wakaongeaaa.. Baadae huyo bosi akaniruhusu niondoke bila kunisaidia japo swala lipo chini ya uwezo wake.

usimshtaki mtumishi wa umma kwa bosi wake, utaaibika. Kama hujaridhishwa na huduma, ni Bora utafute alternative tofauti.
Mfumo huu wa ajabu duniani, unaletwa kwenu kwa hisani ya Chama Cha Kijani a.k.a CHANZO CHA MATATIZO
 
ungetaja kampuni ili wajulikane na pia ungeelezea nani ulimuona pale ni mwanamke au wote ni wanaume mada yako haina mshiko
 
Nenda mpaka kwa katibu mkuu wa wizara inayohusika na hiyo taasisi, kama una sababu za msingi watashughulikiwa tu, ila inahitaji uvumilivu sana kufanikisha huo mchakato🐒
 
Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo.

Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa mhusika, Nikaamua kwenda kwa boss wake na kumueleza A - Z. Ili anisaidie yeye. Akampigia simu na kuweka loud, nilishangaa wanaongea friendly kabisaa jamaa wa upande wa pili anacheka na kuongea kwa dharau utadhani yeye ndiye boss. Wakaongeaaa.. Baadae huyo bosi akaniruhusu niondoke bila kunisaidia japo swala lipo chini ya uwezo wake.

usimshtaki mtumishi wa umma kwa bosi wake, utaaibika. Kama hujaridhishwa na huduma, ni Bora utafute alternative tofauti.
Hili jambo nilikutana nalo nssf sitakaa nisahau. pale posta mpya kwenye jengo refu
hawa watu wanajisahau sana.
 
Nenda mpaka kwa katibu mkuu wa wizara inayohusika na hiyo taasisi, kama una sababu za msingi watashughulikiwa tu, ila inahitaji uvumilivu sana kufanikisha huo mchakato🐒
Kama Jambo ni urgent sana hii njia ni ngumu
 
Back
Top Bottom