umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. Wacongo wangejitambua tangu wakati wa Lumumba wangefika mbali sana

    Hawa Wacongo wangejitambua enzi za Lumumba wakifanikiwa sana wameamua kutumia nguvu ya umma kuungana na kuandamana kuutangazia ulimwengu kwamba wanaibiwa madini yao mwizi wanamfahamu ,na bahati nzuri mwizi anajulikana. Nawatakia kila kheri kwenye MAPINDUZI .
  2. L

    Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  3. CHADEMA sio kwamba mnalazimishwa kuwa kama ACT Wazalendo bali mnakumbushwa kuwa waaminifu kwa pesa za umma

    Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma? Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma? Kwa nini msitumie vyema mali ya umma? Kujenga ofisi ya kudumu ni dalili kuwa mna uwezo wa kusimamia rasilimali na mali za umma. Miaka 30...
  4. Mtumishi Serikalini kushiriki mashindano ya ku-rap ni sawa?

    Nina rafiki ambae ni mtumishi wa umma katika shirika mojawapo kubwa tu, hivi sasa kuna mashindano ya freestyle ya kurap yanaendelea na yeye ni mshiriki. Kuhusu kipaji anacho cha kuchana mistari na anavutia hadhara pale anaposhika kipaza akianza kurap , ubaya ni kwamba kwenye hizi freestyle...
  5. Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani. Napenda kuwakumbusha tu taifa hili lina watu maskini wengi sana tena wanateseka mno wakati mwingine kwa sababu ya mifumo...
  6. Watumishi wa umma simamieni miradi ya maendeleo kwa uadilifu

    NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewataka watumishi wa umma nchini kuwajibikaji kikamilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini ikiwemo ujenzi wa madarasa, zahanati, vituo vya afya na miundombinu ya barabara na...
  7. Changamoto ya upatikanaji kwa njia za mawasiliano zitolewazo na Taasisi za Umma, makampuni na sehemu zote zitoazo huduma

    Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya. Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo. Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
  8. C

    Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

    Leo tarehe 13 Oktoba 2022, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata shehena ya mizigo ya vitenge ya marobota 290 katika kontena mbili yenye thamani zaidi ya tsh. Billioni 5 iliyopitishwa kwa magendo katika bandari zetu. Mfanyabiashara mwenye shehena hiyo alitorokea Dubai majuma matatu...
  9. Sukuma gang ni kina nani?

    Wadau Nawasabahi Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI? Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
  10. Swali fikirishi kwa wadau wa elimu kinachoendelea shule za umma

    Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu...
  11. Idugunde: Tusipotoshe umma wafuasi na wanachama wa CHADEMA hawatetei majambazi wala uhalifu. Criminal justice must prevail

    Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi. Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi. Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu...
  12. Vishoka wakithiri ofisi za umma

    Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa, ofisi za umma zimesheheni vishoka, na hii imekuwa ikijidhihirisha hasa kwenye mambo ya ajira. Ajira zinatangazwa kwa mfano TAMISEMI au Utumishi lakini kuna watu wanaambiwa leta vyeti na kiasi flani cha pesa halafu tulia wewe utapigiwa simu tu au utalikuta...
  13. B

    Kwa nini Zungu anaachwa kuendelea kuupotosha umma?

    Amesikika Zungu akiongelea masuala ya Internet: Zungu hana ufahamu wowote wa kuhusu Internet zaidi ya kuwa yeye ni mtumiaji kama mtu mwingine tu. Cha kushangaza ni kuwa ameachwa kuendelea na upotoshaji wake tena kwa raha zake. Wataalam, TCRA, wasomi, vyuo nk wapo ila wote kimya! Utadhani...
  14. L

    Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Mheshimiwa waziri Mhagama , kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni mwanamama shupavu ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini. Nikiwa kama mdau mkubwa wa utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako kilio change cha kukuomba...
  15. Tozo ni kufidia wizi wa mali za umma?

    Kila mwaka ripoti ya CAG anaonyesha wizi na ubadhilifu mkubwa wa fedha za wananchi unaoipunguzia serikali uwezo wake wa kuwahudumia wananchi wake kwenye elimu, afya, usafiri, nk kama anavyosema waziri wa fedha, Dr. Mwigulu. Badala ya kudhibiti wizi na ubadhilifu kwenye vyanzo vya mapato...
  16. Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma! Msimcheke, anasimamia anacho kiamini

    Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani! Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru, Sio kama Sabaya anashindwa kulipa kiasi hicho cha fedha! Ila nafasi yake katika utumishi wa Umma ndiyo...
  17. M

    Serikali iache kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane

    Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali Kubehave kama genge la wachawi!. Sisi tunajua kuwa mida hiyo wananchi wengi wanakuwa wamelala na hata...
  18. J

    CCM ina hazina kubwa sana ya vijana mahamu, Mtanzania Ndg. Benedict Faustine Kikove Mshauri wa Maswala ya Siasa na Mahusiano kwa Umma Ubalozi wa Japan

    Kidumu Chama Cha Mapinduzi Mimi; BENEDICT FAUSTINE KIKOVE Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya...
  19. Bashungwa: Bilioni 55.57 kujenga nyumba za walimu kwenye maeneo yasiyo fikika kirahisi

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ameelezea mafaniko ya Serikali ya awamu ya sita katika kwenye kada ya elumu ambapo amesema mwaka 2021/22 walimu wapya 24749 wameajiriwa huku malimbikizo ya mishahara pamoja na ulipaji wa pesa za pensheni kwa wastafu vikifanyika kwa wakati. Pamoja na...
  20. Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii

    Afya ya umma ni namna ya kulinda usalama na kuboresha afya ya wanajamii kupitia elimu, utungaji sera na utafiti wa kuzuia magonjwa na majeraha Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii huku ikihakikisha usalama wa wanajamii na kuwalinda dhidi ya kuenea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…