umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa na watumishi wa umma tafuteni amani na wanasiasa wa CCM walioumizwa na awamu ya Tano

    Naomba radhi kwenye uzi, nitatumia majina ya viongozi ambao naamini wamefutwa kwenye ramani ya siasa si kwa kushindwa hoja, bali kwa matumizi makubwa ya mfumo uliokuwa imejichimbia kwenye shimo la uzalendo. Tuliambiwa matajiri wataishi kama masikini, tukashangilia; huku mataifa yaliyoendelea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Katiba yenye kutuwajibisha sote kwa Umma

    Tumeyasikia Ugiriki: Waziri mhusika wa usafirishaji wa serikali ya huko amejiuzulu. Ma stesheni master wamekamatwa. Nini kiwafanye wenye dhamana kwetu kuwajibika? Ndiyo maana watu watatekwa, pesa zitaibiwa, ajali zitatokea, nk, yaani mambo shaghala bagala. Uwajibikaji au matumaini ya...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Teuzi za viongozi wa ngazi za juu katika utumishi wa umma

    Mojawapo ya mambo ambayo hawa waitwao ā€˜viongozi’ wetu wanayaweza ni kuteua na kutengua watu wa kuzijaza nafasi za uongozi hususan serikalini na kwenye idara zake. Na jambo kubwa linalonichefua sana ni hii dhana ya kuonekana mtu ā€˜kaula’ anapoteuliwa na Rais kwenye nafasi yoyote ile ya kiuongozi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM inatumia pesa za umma kuwalipa Chadema ili kuonesha kuwa kuna demorasia nchini ili kuwalidhisha Mabeberu.

    Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki Huu ni uzandiki wa kisiasa. Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
  6. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Namna wenzetu wanavyoona aibu kuiba mali za Umma

    Kuna kipindi nilikwenda Japan kwa shughuli flani. So nikawa nacheck news kwenye television, na uzuri Station niliyokua naangalia ilikua inatumia lugha ya Kiingereza katika kurusha matangazo yake so nilielewa vizuri tu kilichokua kinazungumzwa. Mtangazaji alitangaza kwamba kuna maiti ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

    Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc. sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira. Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa fedha za umma TMRC

    Mkrugenzi Mtendaji wa taasisi ya TMRC achunguzwe kwa umakini. Hadi leo taasisi ya TMRC haina mfumo wa tehama unaoeleweka Fedha za Umma takriban shilling billion mbili zilitumika vibaya.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa China katika sekta ya afya ya umma barani Afrika unaendelea kutukuzwa na wenyeji

    Afya ni muhimu na ina thamani kubwa sana kwa binadamu. Bila ya mtu kuwa na afya njema hataweza kufanya chochote kile. Ndio maana nchi mbalimbali duniani zinaipa kipaumbele sekta ya afya ili kuhakikisha afya za watu zinakuwa imara, na endapo unatokea ugonjwa ziweze kukabiliana nao kwa haraka na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

    Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini. Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete. NB: Mimi siko genge lolote.
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Digitali ni Nyenzo Muhimu Katika Kuongeza Ufahamu na Ushiriki wa Umma Katika Haki za Kijamii

    Teknolojia ya digitali imerahisisha mambo mengi katika dunia ya leo. Si tu imerahisisha mawasiliano na kutoa fursa za ajira kwa vijana na kukuza biashara, bali imekuwa na umuhimu mkubwa katika kupaza sauti za wanyonge, kueneza taarifa, na kuongeza ushirikiano katika makundi mbalimbali ya watu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kudhibiti ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sio kudili na picha za ngono ambazo VPN inapiga kazi

    Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje? Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess? Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi. šŸ‘‡
  13. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania CUF-Chama Cha Wananchi, Taarifa kwa umma kuhusu mkutano wa hadhara kesho Magomeni Kanisani

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa huu upotevu wa pesa za umma tunaousikia huko bungeni, sioni umuhimu wa TAKUKURU ni Bora hii taasisi ifutwe!!

    Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!! Hatusikii kashikashi yoyote...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wanafunzi wa Shule za Msingi za Umma waruhusiwa kuvaa Suruali

    WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira ya Mkoa huo uliopo nyanda za juu Kusini, kuwa na baridi kali. Hayo yameelezwa na baadhi ya wazazi na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri ajira za watumishi wa umma ziwe za mikataba

    Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

    Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023 Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za ā€œKilio Cha Hakiā€ ambazo nilizungumzia sana haki jinai. Ukosekanaji wa Haki...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

  20. L

    JamiiForums Tanzania Watakiona chamoto watakaobainika Kuchezea fedha za Umma katika uongozi wa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia alishaweka wazi na kujipambanua kimaneno na kimatendo juu ya hasira zake Kali na maamuzi yake magumu kwa yeyote atakaye chezea fedha za umma,Hana Cha Nani Wala Nani katika Hilo,hamuogopi mtu Wala haangalii sura katika hili, Hana uvumilivu Wala Subira katika...
Back
Top Bottom