umiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Iundwe Kampuni ya Uendeshaji wa Bandari, TPA na DP World ziwe na Umiliki Sawa (50/50), Azimio sio Mkataba wa Uendeshaji

    Ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe "Azimio sio Mkataba wa uendeshaji (concession agreement) wala sio Mkataba wa Uwekezaji (HGA). Azimio la Bunge ni ruhusa tu ya kuanza kujadiliana hiyo mikataba mingine. Azimio hili litakufa kibudu pasipokuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yanakuhitaji umiliki vitu vitatu tu

    Maisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:- Makazi -nyumba ya kuishi Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.k Na wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kununua gari,kwa mtu aliyeuziwa na kampuni,hakubadili umiliki.

    Wazoefu naomba msaada,nataka kununua gari kwa jamaa,lakini yeye aliuziwa na kampuni,ila hakubadili jina,linasoma la kampuni,,documents za mauziano anazo,naomba kujua taratibu za kufuata wakuu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simba ikizidiwa umiliki wa mpira linahitaji jawabu haraka

    Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke. SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA wanauwezo wa kupambana nalo. SIMBA ikizidiwa umiliki wa mpira kwa asilimia 60 au 70 inapoteza mwelekeo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

    Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana. Imekuwaje Google waseme Mo...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu mambo haya muhimu kisheria juu ya umiliki na uendeshaji wa kampuni binafsi Tanzania

    Habari wana JF Leo naomba nigusie maswala machache yanayohusu sheria na utendaji wa makampuni binafsi. Naamini umewahi kusikia juu ya wito wa kurasimisha biashara na makampuni. Wapo viongozi wa kiserikali na hata binafsi wamekuwa wakihamasisha wafanyabiashara kurasimisha mifumo yao ya biashara...
  8. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa moja ya Sifa ya kuwa Rais wao ni mpaka Umiliki PhD ya Kutishia / Kubembeleza Watoaji?

    Anyways kwakuwa sasa kwa Tanzania kama una Ndoto za kuja Rais wao basi Sharti ni lazima Umiliki PhD (Doctorate) iwe ya Academical au Honorary (ya Huruma, Utu na Upole) ili Uogopwe na Wapiga Kura. Na Mimi GENTAMYCINE najipanga sasa Kuwaroga Watoa PhD's maarufu nchini UDOM na UDSM ili wajikute tu...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

    Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile. Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu, ukinunua gari used nenda kabadilishe jina la umiliki

    Kuna jambo moja ambalo watu wengi huwa ni kama wanachukulia poa lakini kiuhalisia lina maana kubwa, jambo hili ni kubadili jina la umiliki wa gari au chombo chochote cha moto Nazungumza haya kwa kuwa nimeona mambo kibao yakitokea huko mitaani na menginie ni kwa watu wangu wa karibu. Unakuta...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kubadili umiliki wa gari

    Wakuu naomba msaada wa kujua kubadili kadi ya umili wa gari 1. Gari ina cc 1990 ya mwaka 2000 2. Nimenunua kwa mtu wa Mwanza mwaka jana,ila mimi naishi chanika dar 3. Niende TRA ipi kwa hapa Dar? 4. Nilinunua 8500,000/=niandae kama sh ngapi? 5. Nina karatasi ya mauziano ya kawaida tu ya mkono,na...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Benki Kuu ya Afrika Kusini inamilikiwa na watu binafsi? Ni miongoni mwa benki 8 zenye umiliki wa aina hiyo Duniani

    Kawaida Benki Kuu Duniani huwa zinamilikiwa na Serikali za nchi husika zikiratibu sera mbalimbali za kifedha ikiwemo kudhibiti kiwango cha fedha kinachoingia kwenye mzunguko na kuzisimamia benki binafsi zilizopo kwenye nchi husika. Benki kuu huwa zina nafasi ya kipekee kuimarisha uchumi wa nchi...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Utangulizi Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya  Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania. 1. Kukosa haki...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kubadilisha umiliki wa gari

    Naomba kujuzwa gharama za kubadili jina kwenye kadi ya gari niliyonunua.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yakamilisha utaratibu kurudisha umiliki wa mali/taasisi zilizokuwa za umma ikiwemo Hospital ya Dar Group

    Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani Mtumishi wa Serikali umiliki gari ya milioni 60, halafu unaendelea kuwa mtumishi

    Wakuu habari. Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi. Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa umiliki wa vilabu vya soka na maendeleo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa kwani linalenga katika kuleta mafanikio na maendeleo. Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Dondoo za hatua za kupata hati ya umiliki wa ardhi hapa Tanzania kwa mwaka 2022

    Utangulizi. Cheti cha umiliki wa ardhi. Ni nakala itolewayo kwa mtu ikionyesha haki yake ya kukodishiwa ardhi husika ndani ya miaka fulani. Anayepewa hati hii anakuwa amekodishiwa ardhi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ardhi hiyo husimamiwa na raisi wa Jamhuri kwa niaba ya watanzania wote...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Hii ni proof kuwa bila Marekani maisha hayawezekani

    Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them. Hata case ya Mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa China Tanzania Security wanaolinda mwendokasi siku hizi ni kina nani?

    Hawa China Tanzania Security ni kina nani wanalinda mwendokasi siku hizi? Maana BRT ilikua security ni Suma JKT sasa hawa wametokea wapi na ni kina nani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…