Nataka kununua gari,kwa mtu aliyeuziwa na kampuni,hakubadili umiliki.

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,133
Wazoefu naomba msaada,nataka kununua gari kwa jamaa,lakini yeye aliuziwa na kampuni,ila hakubadili jina,linasoma la kampuni,,documents za mauziano anazo,naomba kujua taratibu za kufuata wakuu.
 
Hakikisha una vitu 2 kabla ya kununua.
1. Kampuni ikupe tax clearence ya 2023.
2. Wakupe muhtasari wa kikao cha wakuruge zo kuwa gari hiyo inauzwa.
3. Kadi ya gari original
Bila hiyo huwezi kufanya transfer.
 
Wazoefu naomba msaada,nataka kununua gari kwa jamaa,lakini yeye aliuziwa na kampuni,ila hakubadili jina,linasoma la kampuni,,documents za mauziano anazo,naomba kujua taratibu za kufuata wakuu.
Hakikisha hiyo kampuni haikupata tax exemption wakati wa kuiingiza nchini. Au huyo anayekuuzia akamilishe mauziano yake ya zamani ili wewe na ukamilishe mauziano yake na yeye.
 
Usilipe 100%

Zuia kiasi cha malipo labda 30% hivi

Kisha anza mchakato wa transfer kuja kwenye jina lako. Ukifanikiwa malizia balance.

Pia nenda Tra uangalia kama kampuni haikuwa na exemption ya kodi
 
Back
Top Bottom