Mengi yamezungumzwa kuhusu ujenzi wa hilo Bwawa. La hivi karibuni ni pale Waziri husika alipodai mkondrasi wa ujenzi, ambaye ana utaalamu, ujuzi, uzoefu na uwezo mkubwa, ati hana mtambo wa kubeba (winch) wenye uwezo wa kusimika milango ya kuzuia maji yenye uzito wa tani 26. Au ni hadithi ile ile...
Wiki ijayo jumatatu terehe 29/11, Tanesco watakua na kampeni ya TUNAJIPANGA.
Lengo ikiwa ni kutambua changamoto ambazo wananchi wanazipata kwenye umeme.
Hili naliona ni suala la ajabu, sasa hivi kuna shida kubwa sana ya umeme Tanesco yapaswa wajikite kutatua changamoto hizi za umeme kuliko...
Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame ,
yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la...
Nawasalimu wanaJF.
Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi.
Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika...
Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya.
Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi?
Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita?
Nchi iliyojaa rasilimali tele, kama vile mito inayotiririka maji mwaka mzima, maziwa matatu makubwa...
Leo nilipata wasaha wa kupitia a
hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya...
Kampuni ya kutengeneza injini za anga na magari ya Uingereza Rolls-Royce imesema imeunda ndege yenye kasi zaidi duniani inayotumia umeme badala ya mafuta na imepewa jina la Spirit of Innovation, spidi yake ya mwisho inazimaliza kilometa 623 kwa saa.
"Kufuatia mpango wa dunia dhidi ya mabadiliko...
Spidi ya dunia kuhamia kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme badala ya mafuta imekolea na sasa kampuni ya magari ya Hyundai ya Korea Kusini imeonesha mfano wa magari yake ya umeme ambapo gari lao halitokuwa na usukani bali fimbo ya usukani ambayo itakua ikijikunja ili Mtu aweze kuendesha...
Dah! Wakuu, mitihani ni mingi jamani hawa wanawake zetu hawa. Niko mbali na home umeme umeisha, bint/slay queen anatuma msg LUKU imeisha.
Yeye kashinda home toka asubuhi yaani anashindwa nunua umeme kweli hadi apige simu. Hivi wadada mbona mko hivi? Ujue mnajidhalilisha? Aisee!
Haya nimenunua...
Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia...
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.
Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.
Source: ITV habari
Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele.
Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
Hakuna watu wanaoteseka na ukosefu wa maji na umeme kama Wanawake, wao ndio wanaohangaika visimani na ndoo kutwa nzima kutafuta maji kwa sababu wewe unayesimama jukwaani na kusema unawapigania umewakatia maji, sielewi hapa ni haki ipi hiyo ya Mwanamke unayoipigania ? Hivi haya mambo huwa...
1) Mheshimiwa Waziri wa Nishati January Makambaanadai kwamba:
a) Tatizo la Mgao wa Umeme limesababishwa na Uchakavu wa Miundombinu ambayo haijafanyiwa Matengenezo kwa miaka 5!!
b) Tanesco hawajafanya Matengenezo katika kipindi kilichopita cha miaka 5 (soma: Awamu ya 5) kwa sababu eti kila...
Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha.
Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.zania Zinahitajika kubadilishwa
Nchi yetu kwa sasa imepata changamoto ya upungufu wa mvua, hii ni kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), jambo lililopelekea upungufu wa uzalishaji wa umeme hapa nchini, hiyo ni kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na shirika letu la umeme hapa nchini (Tanesco) jana tarehe...
Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA.
Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi...
Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko.
Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo.
Leo Rais Samia, Makamu wa Rais na makundi yake yote hawawezi kukwepa mdororo huu wa maji na umeme. Tumerudi mwaka...