TANESCO wanachotufanyia sasa hivi tutamkumbuka Magufuli, wakazi wa Keko siku ya 3 hakuna umeme

Tanesco wamejisahau sana haiwezekani Leo inaenda siku 4 hakuna umeme mtaani tanesco wanazunguka tu mtaani na ngazi zao ukipiga simu zao za call center zote wamezima

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Si mlimchukia Magufuli na bado tutamkumbuka sana Rais aliyewahi kutokea Tanzania na Afrika nzima. Sasa hivi hii nchi MUNGU tu atatuvusha uzembe na upigaji umerudi tena. Watanzania tuombe sana yupo mmoja mfia nchi tumuombe MUNGU 2025 apitishwe huyo.
 
Nani huyo mkuu
Si mlimchukia magufuri na bado tutamkumbuka sana raisi aliyewai kutokea tanzania na africa nzima. Sasa hivi hii nchi MUNGU tu atatuvusha uzembe na upigaji umerudi tena . Watz tuombe sana yupo mmoja mfia nchi tumuombe MUNGU 2025 apitishwe huyo.
 
Ngoja niwasaidie kabla hawajaja 🐒
Tunaomba
1. Jina Kamili
2. Namba ya simu
3. Mkoa ,Wilaya, Kata na mtaa unaoishi
3. Mkoa wa Pwani.
Wilaya ya Kibaha
Kata ya Kongowe
Kijiji Cha Kigelo
Umeme unakatika kila siku hata leo 07/02/22
Meneja wa mkoa atuambie tumemkosea Nini?
Juzi umeme ulikatika kuanzia ijumaa usiku Hadi Jana jumapili mchana nyama na samaki vya mwezi mzima vimeoza tumetupa. Wengine tuliacha kula Maharage jkt.
Msitulazimishe kula MAHARAGE
 
Tanesco wamejisahau sana haiwezekani Leo inaenda siku 4 hakuna umeme mtaani tanesco wanazunguka tu mtaani na ngazi zao ukipiga simu zao za call center zote wamezima

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

Poleni sana majirani zangu, sisi majirani zenu huku Chang'ombe umeme umekatwa kuanzia Jumamosi jioni umerudishwa Jumapili saa2 usiku

Tumebaki kumkumbuka Hayati JPM

Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele Jemedari wetu
 
Huku ulikatwa siku moja Tu ukarudi saa mbili basi haujakatwa tena muda mrefu mpk leo
 
3. Mkoa wa pwani.
Wilaya ya Kibaha
Kata ya Kongowe
Kijiji Cha Kigelo
Umeme unakatika kila siku hata leo 07/02/22
Meneja wa mkoa atuambie tumemkosea Nini?
Juzi umeme ulikatika kuanzia ijumaa usiku Hadi Jana jumapili mchana nyama na samaki vya mwezi mzima vimeoza tumetupa. Wengine tuliacha kula Maharage jkt.
Msitulazimishe kula MAHARAGE
Unafikiri basi mimi nahusika....Akija jamaa wa TANESCO ana uwezekano mkubwa wa kutokusikiliza mpaka umpatie 1. Jina Kamili 2. Namba ya Simu...nilishawauliza kama wakijua eneo mtu alipo haitoshi kushughulikia tatizo wakaniambia ni mpaka wapate taarifa kamili🐒
 
Then Makamba na Maharage wajipange maana watu wao hawapokei simu kila Mara nilitaka kuwapa jina na simu yangu.
 
Back
Top Bottom