umeme

  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anajua kuhusu hii umeme kukatika, nini kinaendelea au shida nini??

    Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni. Hebu...
  2. JamiiForums Tanzania Kama tu French Revolution ya 1789 ilitokana na Bei ya Mkate kupanda hata Kwingineko Tozo, Mgawo wa Maji na Umeme unaweza Kuivuruga nchi

    Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
  3. JamiiForums Tanzania Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

    1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Taifa lolote likiwa na 'Crisis' ya Maji na Umeme 'Kiusalama' kutangaza 'State of Emergency' ni Kosa au Kujidhalilisha?

    Na je, Maadui ( wenye Utaalam na walioiva Kimedani ) hawawezi kutumia Crisis ya Kukosekana kwa Maji na Umeme katika Taifa lolote duniani katika Kujipanga Kimashambulizi na hata Kuliharibu ( Kuliteketeza ) Taifa na Kizazi chake? ONYO Katika haya Maelezo yangu hapa sijaitaja nchi yoyote ile sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Ili kukabiliana na tatizo la umeme nchini, Serikali ingetumia mpango kazi huu

    Kilio cha umeme kimetamalaki kila kona nchini kwa sasa na Hii inasababishwa na serikali kutumia chanzo kikuu kimoja cha umeme KWA zaidi ya asilimia 90 ya mikoa yote. Chanzo chetu kikuu cha umeme ni maji na Sasa ukame ndio kisingizio kikuu,serikali inapaswa kuwekeza Katika vyanzo vingine vya...
  6. JamiiForums Tanzania Bora tukose umeme na Maji kuliko watu kupotea na kuokotwa kwenye Viroba baharini Coco Beach

    Salaam Wakuu, Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi". Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi. Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala...
  7. JamiiForums Tanzania Bado Sukuma Gang wanakomeshwa? Umeme na maji unakatwa Sukuma Gang pekee yao? Maji yanakatwa kwa Sukuma Gang tu?

    Mara baada ya Hayati Magufuli kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia sana. Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa. Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi ya ovyo sana hii umeme hakuna, maji yanatoka kwa mashaka

    Nashindwa kuelewa kabisa Yani kwamba kuna mgao wa umeme au laaa. Tangu asubuhi huku Msasani hakuna umeme na hakuna taarifa zozote, hiyo haitoshi Jana maji hakuna leo yapo, umeme hakuna. Sasa haya Maji Sijui yanapandaje Kwenye tenki . Sometimes unashikwa na hasira hakuna shughuli yoyote Maana...
  9. JamiiForums Tanzania Old is Gold: Nyimbo Wagosi wa kaya umeme na maji

    Nyimbo inamiaka 20 sasa!
  10. JamiiForums Tanzania La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
  11. JamiiForums Tanzania Tujaribu kuongeza uzalishaji wa umeme wa gesi ili kutatua tatizo la kukatika kwa umeme

    Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi. Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafahamu changamoto ya umeme nchini, tuombe mvua zinyeshe. Hata yeye anaumia

    Ndugu zangu kumekuwa na malalamiko juu ya changamoto ya umeme Hapa Nchini, Hali iliyosababishwa kwa kiasi kikubwa na Hali ya ukame iliyoikumba nchi yetu na kupelekea kupungua kwa kina Cha maji katika mabwawa yetu ya kuzalishia umeme, Sote tunafahamu umuhimu wa umeme katika uchumi wetu, umuhimu...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P. Magufuli kutawazwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania. Huyu alianza kwa kuharibu mfumo wa kisiasa na...
  14. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia linaanza Nov 20, 2022 lakini Tanzania umeme hakuna

    Poleni na tabu za kuishi bila umeme na maji Tanzania! Ndugu zangu, kwa mara ya kwanza kombe la dunia linanikuta sio mwanafunzi, naishi kwangu na kazi nzuri, na niko na utulivu angalau. Nilitamani sana niangalie hili kombe kwa furaha na utulivu sana. Nikiwaza umeme unavokatika muda mwingi...
  15. JamiiForums Tanzania Movie ya Rango ilitabiri huu Mgao wa maji na Umeme utaisha lini

    Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by December mambo yatakuwa shwari. Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza. Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

    Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja. Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme, watu hauwezi, aah umekatwa sasa. Nimeota haya leo
  17. JamiiForums Tanzania Ukame, Nchi jirani zote Maji, Umeme vyote vipo, Why Tanzania tu?

    Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi desert lkn kwa nini Nairobi maji yapo? Kwa nini Uganda kwa patron Museveni umeme na maji vyote vipo? Kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yafanikiwa kurudisha Maji na Umeme Kiev

    Baada ya Urusi kupiga miundo mbinu ya maji na umeme huko Kiev. Maengineer na Mafundi wa Ukraine wanefanikiwa kurudisha umeme na Maji katika mji mzima wa Kiev. Hayo yamesemwa na Mayor wa jiji la Kiev. Wakati huohuo Ukraine imesema imefanikiwa kudondosha Drone 8 za Urusi ilizopewa na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yakiri Umeme hautoshi, TANESCO ina upungufu wa Megawati 190

    Serikali imekiri kuwa na upungufu wa umeme kwa megawati 190 na ndiyo sababu za kukatika au kuwa na mgawo wa mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 2, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato wakati akitoa maelezo kama alivyotakiwa na Spika wa bunge Dk Tulia Akson. Dk...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa ndiyo chanzo kikuu cha shida ya Umeme na Maji Tanzania

    UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME? Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini. Hii ni kutokana na maji kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…