umeme

  1. JamiiForums Tanzania Doctor wa heshima na umeme wa mgao

    Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji. Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe. Umeme changamoto bado, mfumuko wa bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
  2. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zikiendelea kunyesha katika mabwawa, changamoto ya upungufu wa umeme itapungua

    Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme . Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
  3. JamiiForums Tanzania Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

    Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini? Kisingizio kinakuwa hali ya hewa. Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna...
  5. JamiiForums Tanzania Mgao wa Umeme; Kati ya Tarehe 1 - 29 Novemba ametumia Shilingi Milioni 15 kuwasha Generetor

    Hakika kila kitu kitapanda bei. Hapa kwenye biashara ya rafiki yangu ananambia ametumia milion 15 za kuwasha Generator kati ya Nov 1-29. Umeme wa kawaida huwa wanatumia milion 5 tu kwa mwezi. Sasa anafikilia kupandisha bei kama hari ikiendelea hivi na mwezi huu. Ila anaogopa kupoteza wateja...
  6. JamiiForums Tanzania TANESCO: Matatizo ya Umeme kutengemaa ifikapo Februari 2023

    ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana...
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO yaelezea jitihada zao za kuingiza megawati 90 ili kupunguza mgawo wa umeme

    Tamko la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu mchakato wao wa kupunguza changamoto ya uhaba wa umeme, wameelezea hatua waliyofikia hadi leo Novemba 28, 2022:
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO yafuatilia malalamiko ya ratiba mgawo wa Umeme

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema wanafuatilia malalamiko ya wateja wake ya kutofuatwa kwa ratiba ya mgawo wa umeme, wakiwemo wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa nyakati tofauti, wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wamekuwa wakiulalamikia mwenendo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Maharage Chande: Hatuogopi na tutafanya hiyo miradi na private sekta(Kununua umeme). TANESCO kuuza dhamana(Bonds)

    Maharage Chande: Fantastic question Zitto, nianze kwenye kuwapa watu binafsi. Ni kweli kama ulivyosema, TANESCO na wizara ya nishati kwa miaka mingi iliyopita, utekelezaji wa miradi kwenda kwa watu binafsi imekuwa inasuasua, inasuasua kwa sababu kihistoria kumekuwa na kujengeka uoga mwingi...
  10. JamiiForums Tanzania Unapolalamika mgao wa umeme jiulize wewe una miti mingapi kwako ya kuvuta mvua ili mito isikauke na kupata umeme?

    Ifike mahali sio kitu Ni kulaumu Serikali na kusahau kwamba wewe ndie muuaji maarufu wa miti na zaidi unakuta kwako hauna mti hata mmoja. Tubadilike mama Samia haleti mvua bali tutunze mazingira tutunze asili sio kuangamiza miti na kuamini kuwa ni uchafu.
  11. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Tanesco: Jamii ielewe, sekta binafsi kuzalisha umeme sio tatizo. Adai ndio namna ya kufikia malengo

    Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete huwa unaupeleka wapi umeme wa Tanzania?

    Neno "Megawatt" lilikuwa halijulikani kwa ngwini wengi mpaka Kikwete alipokuwa madarakani kama Rais. Kipindi cha JK ndiyo tukajua kumbe TANESCO ni shirika linalotegemea makampuni mengine kutupatia umeme. Ndiyo tukajua kumbe bila Dowans, Symbion, IPTL, Richmond hakuna umeme Tanzania. Magufuli...
  13. JamiiForums Tanzania Tanesco Kama mnaandaa hoja za kupiga dili kupitia mradi wa dharula wa kuzalisha umeme nazani mlishapata. Choteni mahela mtutoe kwenye mgao huu mkali.

    Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza maandamano kudai Umeme, Maji Dar

    Kufuatia kuwapo kwa mgawo wa maji na umeme katika Jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeandaa maandamano ya amani kwenda ofisi hizo ili kujua kiini cha tatizo. Maandamano hayo yaliyopangwa kufanyika Jumatatu Novemba 28, 2022 na Jumanne...
  15. JamiiForums Tanzania CCM 2013: Umeme kuuzwa nchi za nje mwakani

    Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
  16. JamiiForums Tanzania Sehemu ambazo hazipaswi kuwa na mgao wa umeme

    1. Hospitali 2. Kambi za jeshi 3. Vituo vya polisi 4. Magereza 5. Public installation
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa Arusha ameshindwa kujibu swali la mbunge wa Arusha mjini kuhusu mgao wa umeme

    Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji. Ninajiuliza sipati...
  18. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya kujaribu kuwekeza kwenye vyanzo vingine vya umeme tofauti na umeme wa maji Tanzania

    Nchi yetu imetegemea umeme wa maji kwa muda mrefu sasa licha ya ukweli kuwa zipo njia mandala nyingi na mazingira yanayoruhusu kupatikana kwa nishati mbadala. Ni kama tumejiaminisha kuwa umeme ni mpaka utokane na maji “Hydro-electric power” tu. Tafiti zinaonesha yapo maeneo yanayoweza kutumika...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Elfu ishirini kila siku ya umeme mpaka 2025! Laana mbaya inawahusu wafanya maamuzi Serikalini

    Kombe la dunia ndio habari inayotamba kwa sasa. Mataifa 32 yenye ubora wa viwango vya soka yanachuana mpaka zinabaki timu mbili halafu zinagombea kombe siku ya fainali. Mpira ni mchezo wenye kupendwa kuliko michezo mingine yoyote ile. Hawa tunaowaona wamejaa majukwaani na matarumbeta yao wakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO yaelezea undani wa tatizo la umeme wa mgao, yataja uhaba wa maji na matengezo ya mitambo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amezungumia kinachoendelea kuhusu mgao wa umeme Nchini akitaja sababu na mipango yao ya wanachokifanya ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza. Amesema kuna upungufu wa Megawats 300 hadi 350 kwa siku kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…