umeme

  1. E

    JamiiForums Tanzania UMEME 'KUSHTUKA', TANESCO WATUPE UFAFANUZI...

    Nimetumia neno 'kushtuka' kwa sababu huu si ukatikaji wa umeme uliozoeleka. Kwamba kwa siku za karibuni nimeshuhudia umeme ukikata na kurudi kwa sekunde moja au mbili; na hii imetokea zaidi ya mara tano katika kipindi cha saa 12. Hali hii nimeishuhudia nikiwa nimejituliza nyumbani siku ya...
  2. Darkish

    JamiiForums Tanzania Hivi bei ya umeme imeongezeka?

    Leo nimelipia umeme na kupata unit chache. Baada ya kufanya mahesabu nikagundua unit moja sasa ni shilingi 379 toka 356, hii ina maana hizo token 60 zimekuja na mabadiliko ya bei pia. Je, wadau ni kweli hata nyie haya mabadiliko ya bei yamewafikia? Soma Pia: Wabunge wataka makali bei ya umeme...
  3. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii chuma ya umeme iliyoteka mitandaoni ni aina gani?

    Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7. Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

    Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo. Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na EV, kwa umeme wa elfu 40 unatoka Dar hadi Dodoma, na kurudi tena Dar!

    Imagine kwa elfu 40 tu unaweza kwenda na kurudi Dodoma ukitokea Dar. Mfano, ukiwa na Tesla Model 3 yenye battery ndogo kabisa 57.5 kWh (hii ndio battery ndogo ipo kubwa Long Range ila tusiiongelee hapa), inamaana utatumia unit 57.5 tu kuijaza full charge. Na kwa bei ya sasa, unit moja ya umeme...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme

    Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo. Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Weka gari yako ya umeme itakayompoteza Lucid Air!

    Hii Lucid Air kutoka Lucid Motors, USA, ni chuma na nusu aisee, especially kwa wadau wa executive sedans. Naikubali katika sekta zote tatu kuu, muonekano, technology na performance! Kwa muonekano, chuma inavutia sana, kuanzia nje na ndani. Imekaa kistylish na kisasa ukifananisha na sedans...
  8. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania Je, haitoshi kusema Rais Samia ameshindwa kuwa bora sababu ya huduma mbovu ya umeme?

    Sijui ila kwa akili zangu naweza kusema kuwa kama sekta muhimu na mhimili wa maendeleo ya Tanzania TANESCO kushindwa kufikisha malengo ya wananchi ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, je, sekta nyingine zina hali gani? Binafsi akili yangu inanituma kusema Rais Samia ameshindwa kwani TANESCO ni...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Adeline Lyakurwa: Ndege alinasa kwenye nyaya za umeme, mafundi wamerekebisha, umeme umerejea Bariadi (Simiyu)

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa ikijirudia tangu wakati kuna Mgawo wa Umeme, ufafanuzi umetolewa na imeelezwa changamoto hiyo imetatuliwa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO- Simiyu yatuma Wataalam kufuatilia changamoto ya umeme Kata ya Muamatondo - Bariadi

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana...
  11. mwandende

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO kupitisha NGUZO NA WIRE ZA UMEME bila kumshirikisha mwenye shamba ni sawa?

    Habari wakuu, Mimi nina eneo langu kibaha ,maeneo ya serikali ya mtaa viziwaziwa shuleni,, Ukubwa wa eneo ni nusu hekta.. Shida niliyonayo ni kwamba ,,nimekuta TANESCO KIBAHA wamepitisha wire za umeme shambani kwangu ili kumpatia jirani nafasi ya kujenga eneo lake bila kunishirikisha wala...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

    Wakuu habari za Leo. Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme. Mnisaidie mashirika yote binafsi na ya serikali yanayohitaji watu wa electrical ili niweze kuyafatilia yote kwani mm ni mgeni...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka makali bei ya umeme ipungue

    Wabunge wameitaka Serikali kukokotoa upya bei ya umeme baada ya mradi wa kufua nishati hiyo wa Julius Nyerere (JNHPP) kukamilika ili kumpa nafuu Mtanzania. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Agosti 30, 2024, Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka amesema mradi wa JNHPP umeanza uzalishaji umeme wa...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kwa hilo la UMEME Nchi nzima hongera Serikali.

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa KUTIMIZA WAJIBU wake kwa kuhakikisha Tanzania nzima inao mtandao wa mwanga wa nishati ya umeme karibu Miji na Vijiji vyote. Tunaweza kuona ni jambo dogo lakini kwa wenzetu hiyo ni habari kubwa na maendeleo ya...
  15. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania kwa nini ishu ya watu kutekwa lawama haziendi kwa waziri husika bali ni Raisi moja kwa moja ? Mbona umeme na bando walikuwa wakilaumiwa Makamba& Nape

    Wasalaam wanaJf , Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape. Swali langu ni hilo !
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

    Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo. Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya kimya kimya ya kununua umeme (LUKU) kupitia mitandao ya simu

    Uzi uwe mfipi kabisa. Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu kimya kimya. Umeme wa elfu3 unakatwa TSH 90, Umeme wa elf 5 unakatwa TSH 100. Umeme wa elf 1 unakatwa...
  18. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kapinga asema Tsh. Bilioni 4.6 zitapeleka umeme migodini Mkoani Ruvuma

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma. Kapinga ameyasema hayo Agosti 18, 2024 wakati akizindua Kituo cha Mauzo ya Makaa ya Mawe ya kampuni ya Market Insight Limited (MILCOAL)...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali, ni sawa wamachinga kufanya biashara chini ya nyaya za umeme Karume?

    Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna nyaya za umeme mkubwa raia huwa wanasogezwa mbali kabisa, kwa nini hapa Karume hali ni tofauti...
Back
Top Bottom